Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video ya PSY ‘Gangnam Style’ yavunja kikomo cha ‘video counter’ ya views za Youtube

Video ya Mkorea PSY ‘Gangnam Style’ iliyotoka 2012 ilivunja rekodi kwa kuwa video iliyotazamwa kuliko zote (muda wote) kwenye mtandao wa Youtube, lakini sasa imevunja kiwango cha mwisho cha ‘video counter’ ya Youtube. Youtube wamesema kuwa video hiyo imetazamwa zaidi ya mara bilioni 2.5 mpaka Dec 4, 2014, hivyo wamelazimika kuongeze namba kwenye ‘video counter’ […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Engadget

YouTube may counter TikTok with a feed of video 'Shorts'

YouTube may counter TikTok with a feed of video 'Shorts'  EngadgetYouTube plans to launch in-app TikTok rival before end of 2020 - Business Insider  Business InsiderGoogle plans TikTok rival in the form of YouTube Shorts, report says  CNETYouTube is developing a rival to TikTok  CNBCYouTube 'Shorts' is Google's answer to TikTok, says report  The Next WebView Full coverage on Google News

 

9 years ago

MillardAyo

Unaikumbuka hii ya mshika kibendera kushangilia goli na mchezaji kwa kucheza Gangnam Style? (+Video)

Achana na mzuka wa goli wakati mwingine unaweza jikuta unashangilia pasipo kupenda, unakumbuka headlines za marefa kushangilia magoli, unakumbuka ile hit single ya Gangnam Style ya msanii wa Korea PSY ambayo ilikuwa katika headlines za Dunia kwa kila mtu kuipenda. Licha ya kuwa wengi walikuwa wanaichukulia kama ya comedy. Naomba nikusogezee video ya muda kidogo ambayo […]

The post Unaikumbuka hii ya mshika kibendera kushangilia goli na mchezaji kwa kucheza Gangnam Style? (+Video) appeared...

 

10 years ago

Bongo5

Video mpya ya Diamond ‘Ntampata Wapi’ imevuka views laki moja Youtube ndani ya saa 24

Video mpya ya Diamond platnumz ‘Ntampata wapi’ imekuwa na mapokeo mazuri kiasi cha kuwavutia watu wengi kutaka kuitazama kila wanaposikia kuwa imetoka. Video hiyo iliyoanza kuchezwa na vitu vikubwa vya nje kikiwemo MTV Base juzi kabla haijasambazwa kwenye vituo vya hapa nyumbani jana, mpaka sasa imefanikiwa kupata views 116,967 kwenye mtandao wa Youtube, ikiwa ni […]

 

9 years ago

Bongo5

Rekodi mpya ya Youtube yafikiwa, huyu ni mtu wa kwanza kufikisha views bilioni 10 za video zake!

PewDiePie kwa wale ambao hawamfahamu ndio mtu mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Youtube. Hadi sasa PewDiePie ana zaidi ya subscribers milioni 39. Weekend hii mtu huyo alifikisha views bilioni 10 za video zake zote kwa pamoja, kitu ambacho kimevunja rekodi ya mtandao wa Youtube kwakuwa imevuka kaunta yake (kikomo cha views). Hii si […]

 

10 years ago

Bongo5

P-Square waweka rekodi ya kuwa wasanii wa kwanza wa Afrika kufikisha views milioni 30 Youtube kupitia video ya ‘Personally’

Video ya hit single ya ‘Personally’ imelifanya kundi la mapacha wa Nigeria, P-Square kuweka rekodi ya kuwa wasanii wa kwanza wa Afrika kufikisha views milioni 30 kwenye mtandao wa Youtube. Video hiyo ambayo iliongozwa na kaka yao Jude Engees Okoye na director mkubwa wa Nigeria, Clarence Peters ilipandishwa Youtube June, 2013. Mpaka sasa imefikisha views […]

 

9 years ago

Bongo5

Sugua Gaga ya Shaa yawa video ya muziki ya kwanza kutoka Afrika Mashariki kufikisha views milioni 20 kwenye Youtube

Video ya wimbo wa Shaa, Sugua Gaga imekuwa video ya kwanza ya mwanamuziki kutoka Afrika Mashariki kufikisha views zaidi ya milioni 20 kwenye mtandao wa Youtube. Video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma iliwekwa kwenye mtandao huo March 24, 2014. Hadi Jumanne hii, video hiyo ilikuwa imetazamwa mara 20,311,199. Video ya pili iliyotazamwa zaidi ni ya […]

 

9 years ago

Bongo5

P-Square wavunja rekodi tena kwa video yao ‘Personally’ kuwa ya kwanza Afrika kufikisha views M50 Youtube

Kundi la P-Square kutoka Nigeria linaendelea kuvunja rekodi waliyoiweka wenyewe kupitia video ya hit single yao ‘Personally’. Rekodi mpya ilivyowekwa na Peter na Paul Okoye wa P-Square, wamekuwa wasanii wa kwanza kutoka Afrika kufikisha views milioni 50 kwenye mtandao wa Youtube kupitia video ya ‘Personally’, . November 2014, P-Square waliweka rekodi kwa mara ya kwanza […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: PSY aachia video mpya ‘Daddy’

PSY new

Mkorea PSY ambaye video ya wimbo wake ‘Gangnam Style’ ilivunja rekodi ya Youtube, ameachia video mpya ‘Daddy’. ‘Daddy’ ni wimbo wa kwanza kutoka kwenye album yake mpya anayotarajia kuitoa. Video hii inmejaa vituko kama ilivyo kawaida kwa video zake.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

BBCSwahili

Gangnam wavunja rekodi ya YouTube

Wimbo huo Umetazamwa mara bilioni mbili. Nambari kubwa ya watu kuwahi kutazama wimbo au chochote kwenye Youtube.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani