Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gwajima akana utajiri wake

Josephat GwajimaASKOFU Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, amesema yeye si tajiri kama inavyodhaniwa, bali alichonacho ikiwa ni pamoja na nyumba, magari na helikopta ni baraka tu za Mungu, lakini kama ni utajiri, anatarajia siku moja utamshukia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Gwajima akana kumtusi Pengo

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Mchungaji Josephat Gwajima, amekana kumtusi Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.

Gwajima alikana jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Wilfred Dyansobela, baada ya kusomewa maelezo ya awali ya kesi inayomkabili.

Akisoma maelezo hayo, Wakili wa Serikali Joseph Maugo, alidai mshitakiwa ni Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo katika viwanja vya Tanganyika...

 

10 years ago

Mwananchi

Gwajima akana kortini kumtusi Kardinali Pengo

>Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amekana kumtolea lugha chafu Askofu wa Kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati akisomewa maelezo ya awali katika Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam jana.

 

10 years ago

Habarileo

Dewji kugawa utajiri wake

Mbunge wa Singida Mjini, Mohammed Dewji akizungumza na wananchi wa jimbo lake.MFANYABIASHARA na mwanasiasa maarufu nchini, Mohammed Dewji (39) anatarajia kuanzisha taasisi yake ya Mohammed Foundation mwezi ujao, itakayotoa misaada mbalimbali kwa jamii na ametenga mabilioni ya fedha.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais Buhari atangaza utajiri wake

Rais wa Nigeria ametangaza ana $150,000 kwenye benki, hatua hiyo ya kutangaza utajiri wake ikilenga kuendeleza uwazi serikalini.

 

11 years ago

Mwananchi

Lowassa aweka wazi utajiri wake

>Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema madai kwamba yeye ni tajiri hayana ukweli wowote. Amesema yeye ni mfugaji na anamiliki ng’ombe zaidi ya 800 katika Jimbo la Monduli, mkoani Arusha.

 

9 years ago

BBCSwahili

Zuckerberg kutoa utajiri wake ‘kwa maskini’

Mwasisi wa Facebook Mark Zuckerberg na mkewe Priscilla Chan wamesema watatoa 99% ya hisa zao kwenye kampuni kuwasaidia binadamu.

 

10 years ago

GPL

AMKATA KICHWA MDOGO WAKE APATE UTAJIRI

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro.
UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni! Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamng’ang’ania mfanyabiashara maarufu wa Wilaya ya Mvomero, Johnson Damian Mkude (39) akituhumiwa kumkata kichwa mdogo wake wa kuzaliwa, Mathias kisha kuondoka nacho kwenda kwa mganga kwa kile kilichodaiwa ni kufanyiwa dawa ili awe bilionea, Uwazi lina mkasa wote. Marehemu Mathias aliyeuawa kwa kukatwa...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Akana kumfanyia unyama yaya wake



SUBIRA SAID NA EVA MBESELE, TSJ MWANAMKE Amina Maige, mkazi wa Dar es Salaam, anayedaiwa kumfanyia ukatili msichana wake wa kazi, kwa kumng'ata meno sehemu mbalimbali na kumsababishia majeraha amekana mahakamani kutenda kitendo hicho. Amina alikana kumfanyia hivyo, Yusta Kashinde, jana katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, mbele ya Hakimu Yohana Yongolo, wakati akisomewa maelezo ya awali. Akimsomea maelezo hayo, Wakili wa Serikali, Tumaini Mfikwa, alidai Amina (42), mkazi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Akana kumng'ata 'housegirl' wake

MKAZI wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam, Amina Maige(42) anayetuhumiwa kumng’ata mfanyakazi wake wa ndani, amepandishwa kizimbani kusomewa maelezo ya awali baada ya upelelezi wa kesi hiyo kukamilika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani