AMKATA KICHWA MDOGO WAKE APATE UTAJIRI
![](http://api.ning.com:80/files/rFFi-SX8PjWUERZfkEHhW37P*IZ30uirr7PRvP9UrLqJaHAT6Wg324P6mzvSUc3yAdDhrMoT*QZQks5DWWi5u5JNhMn5WZiS/madai.jpg)
Stori: Dustan Shekidele, Morogoro. UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni! Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamng’ang’ania mfanyabiashara maarufu wa Wilaya ya Mvomero, Johnson Damian Mkude (39) akituhumiwa kumkata kichwa mdogo wake wa kuzaliwa, Mathias kisha kuondoka nacho kwenda kwa mganga kwa kile kilichodaiwa ni kufanyiwa dawa ili awe bilionea, Uwazi lina mkasa wote. Marehemu Mathias aliyeuawa kwa kukatwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania21 Feb
Amkata mpwa wake sehemu za siri
NA AMON MTEGA, SONGEA
MKAZI wa Kijiji cha Majimaji kilichopo Tunduru mkoani Ruvuma, Patrick Vitus (70), amekatwa sehemu zake za siri na kuachwa zikining’inia.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi kwa njia ya simu jana, Ofisa Mtendaji wa kijiji hicho, Hussein Mkali, alisema Patrick alikatwa sehemu zake hizo na mpwa wake Zainabu Said (32), baada ya kumkatalia kwenda kumfuata mumewe aliyekuwa kwa mke mdogo.
Alisema tukio hilo lilitokea juzi saa tisa usiku katika maeneo ya mashamba ya kijiji hicho...
11 years ago
Bongo509 Jul
Diamond atoa sababu za kuwatumia wazungu kwenye video ya ‘Mdogo mdogo’, script iliandikwa na Adam Kuambiana na ‘baby’ wake (Wema)
10 years ago
Habarileo13 Apr
Gwajima akana utajiri wake
ASKOFU Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, amesema yeye si tajiri kama inavyodhaniwa, bali alichonacho ikiwa ni pamoja na nyumba, magari na helikopta ni baraka tu za Mungu, lakini kama ni utajiri, anatarajia siku moja utamshukia.
10 years ago
Habarileo24 Apr
Dewji kugawa utajiri wake
MFANYABIASHARA na mwanasiasa maarufu nchini, Mohammed Dewji (39) anatarajia kuanzisha taasisi yake ya Mohammed Foundation mwezi ujao, itakayotoa misaada mbalimbali kwa jamii na ametenga mabilioni ya fedha.
9 years ago
BBCSwahili04 Sep
Rais Buhari atangaza utajiri wake
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Lowassa aweka wazi utajiri wake
10 years ago
CloudsFM31 Oct
ASKARI POLISI AMKATA VIDOLE VINNE MFANYAKAZI WAKE KWA PANGA AKIMTUHUMU KWA KUMWIBIA DEKI YA VIDEO.
JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia askari wake WP Fatuma wa Kituo cha Polisi Igogo wilayani Nyamagana kwa kosa la kumjeruhi mtumishi wake wa ndani kwa mkumkata vidole vyake vinne vya mkono wa kulia kwa panga, akimtuhumu kumwibia Deki ya Video nyumbani kwake.
Tukio hilo la kujeruhiwa kijana Steven Magessa (18), lilitokea Oktoba 20 mwaka huu katika kijiji cha Magange Mugumu wilayani Serengeti mkoani Mara nyumbani kwao kijana huyo aliyekuwa amekimbilia huko baada ya kudaiwa kumwibia...
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Zuckerberg kutoa utajiri wake ‘kwa maskini’