ASKARI POLISI AMKATA VIDOLE VINNE MFANYAKAZI WAKE KWA PANGA AKIMTUHUMU KWA KUMWIBIA DEKI YA VIDEO.
JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia askari wake WP Fatuma wa Kituo cha Polisi Igogo wilayani Nyamagana kwa kosa la kumjeruhi mtumishi wake wa ndani kwa mkumkata vidole vyake vinne vya mkono wa kulia kwa panga, akimtuhumu kumwibia Deki ya Video nyumbani kwake.
Tukio hilo la kujeruhiwa kijana Steven Magessa (18), lilitokea Oktoba 20 mwaka huu katika kijiji cha Magange Mugumu wilayani Serengeti mkoani Mara nyumbani kwao kijana huyo aliyekuwa amekimbilia huko baada ya kudaiwa kumwibia...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Jela kwa kumwibia mpenzi wake
10 years ago
CloudsFM05 Feb
ASKARI AUAWA KWA PANGA AKIMUOKOA MTOTO HUKO DODOMA
Polisi mkoani Dodoma wanamsaka mkazi wa Chang’ombe Juu, Tisi Malya kwa kumuua askari polisi kwa kumcharanga mapanga wakati akijaribu kumuokoa mtoto wa miezi minane aliyekuwa anataka kuuawa na mtu huyo.
![](http://api.ning.com/files/nNOqzuU--h-uEEBiOCalhnYRgBH0LlRYVJFuDWxPNgk3gp33izCExG5EWgaHTacgCHhuC9AJRwR59EUpVN3MrFHeEQOMU8cB/POLISI.jpg?width=750)
![](http://api.ning.com/files/nNOqzuU--h-bigVeJA7VRywinS9lHXYfcsSpxe*IvX2GZifrXKzGL2ftt2iRO8ZqtC5WSTBW5KnJNZKBiJzmLnF*hW-Z49vY/POLISI1.jpg?width=750)
10 years ago
CloudsFM16 Jan
MBUNGE MACHEMLI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUTOMLIPA MSHAHARA MFANYAKAZI WAKE KWA MIAKA MITATU.
Machemuli amefunguliwa shauri la madai katika mahakama hiyo na kupewa nakala ya kuitwa yenye Na MCA/MZ/UK/524/2014 katika mahakama hiyo baada ya kufunguliwa kesi na Rehema Hamis (Mhudumu) kwa madai ya kutomlipa mshahara wake kwa miezi 35 ikiwa ni kiasi cha Sh milioni 3,680,000 alizotakiwa...
10 years ago
Habarileo04 Mar
5 kortini kwa kumdhalilisha askari polisi
WAFANYABIASHARA watatu na wanachuo watano wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida wakikabiliwa na mashitaka ya kumdhalilisha kupindukia askari polisi wa kike na kumsababishia maumivu makali mwilini.
10 years ago
Habarileo25 Apr
20 mbaroni kwa kumpiga askari polisi
WATU 20 wamekamatwa na Polisi baada ya kumjeruhi askari aliyekuwa doria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo alisema watu hao 20 wanatuhumiwa kumpiga na kitu butu kichwani Askari Polisi mwenye namba F 3328 Cpl Ramadhani akiwa kwenye doria na mwenzake.
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Aua mke kwa rungu akimtuhumu kuchepuka
Kamanda wa polisi wa mkoa, Kamishina Msaidizi, ACP. Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake (hawapo pichani).
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU wawili wamekufa mkoani Singida katika matukio tofauti yaliyotokea mwishoni mwa wiki, likiwemo la mwanamke mmoja kupigwa na rungu na mumewe kutokana na kile kinachodhaniwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Kamanda wa polisi wa mkoa, Kamishina Msaidizi Thobias Sedoyeka alisema kuwa tukio la kwanza lililotokea kijiji cha Songambele kata...
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Mtuhumiwa amuua askari polisi kwa jiwe
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iad4jOhX0Z2ZrjeRCNNcJaQKsTGYNVxqYg2-yR4tGYqU9gFqezdvPboVpnwmH5qSVaj-cLBQbdKsYVPVUmkpgBf3tY*rOW9l/polisi.jpg?width=650)
MOROGORO: 20 MBARONI KWA KUMPIGA ASKARI POLISI