Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Akana kumfanyia unyama yaya wake



SUBIRA SAID NA EVA MBESELE, TSJ MWANAMKE Amina Maige, mkazi wa Dar es Salaam, anayedaiwa kumfanyia ukatili msichana wake wa kazi, kwa kumng'ata meno sehemu mbalimbali na kumsababishia majeraha amekana mahakamani kutenda kitendo hicho. Amina alikana kumfanyia hivyo, Yusta Kashinde, jana katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, mbele ya Hakimu Yohana Yongolo, wakati akisomewa maelezo ya awali. Akimsomea maelezo hayo, Wakili wa Serikali, Tumaini Mfikwa, alidai Amina (42), mkazi wa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Gwajima akana utajiri wake

Josephat GwajimaASKOFU Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, amesema yeye si tajiri kama inavyodhaniwa, bali alichonacho ikiwa ni pamoja na nyumba, magari na helikopta ni baraka tu za Mungu, lakini kama ni utajiri, anatarajia siku moja utamshukia.

 

11 years ago

Habarileo

Akana kumng'ata 'housegirl' wake

MKAZI wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam, Amina Maige(42) anayetuhumiwa kumng’ata mfanyakazi wake wa ndani, amepandishwa kizimbani kusomewa maelezo ya awali baada ya upelelezi wa kesi hiyo kukamilika.

 

10 years ago

CloudsFM

Stara Thomas akana kufumaniwa na mpenzi wake

Aliyekuwa mwimbaji muziki wa gospel na baadaye kurudi kwenye Bongo Fleva,Stara Thomas amekana habari zilizoenea hivi karibuni kuwa amefumaniwa na mpenzi wake nyumbani kwake. Akizungumza na Soudy Brown kupitia Uheard alisema kuwa mwanamke kama yeye hawezi kufumaniwa na kwamba mpenzi wake wa sasa kinachomsumbua ni wivu wa kimapenzi bila kumtaja jina mpenzi wake huyo wa sasa.
Aidha ameongeza kuwa hayuko tayari zungumzia suala hilo kwa sasa ndiyo maana amekaa kimya tangu habari hizo zitoke...

 

10 years ago

GPL

YOUNG KILLER AKANA DEMU WAKE KUWA CHINI YA 18

Chande Abdallah
MSANII wa muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ amekanusha madai kuwa demu wake anayejulikana kwa jina la Halimaty ana miaka chini ya 18.Akipiga stori na Ijumaa kuhusiana na ishu hiyo, Young Killer anashangaa watu kudai demu wake huyo ni ‘under age’ wakati ukweli ana miaka 20. Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ akiwa na demu...

 

10 years ago

Mwananchi

Wasanii kumfanyia ‘send-off’ JK

Dar es Salaam. Shirikisho la Muziki Tanzania linaandaa tamasha maalum la kumuaga na kumpongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kuinua tasnia ya muziki kwa kipindi cha miaka 10 ya uongozi wake.

 

10 years ago

GPL

MASTAA KUMFANYIA PATI LOWASA

Stori: Mwandishi Wetu
SIKU chache baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kutangazwa kuwa anaongoza katika kinyang’anyiro cha urais 2015, mastaa mbalimbali wanaomuunga mkono wameandaa mkakati wa kumfanyia sherehe ya kumpongeza. Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper. Chanzo makini kilichopo ndani ya kamati ya wasanii hao wa Bongo Movies, kitendo cha Taasisi ya Twaweza kutangaza kuwa Lowassa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Best Records kumfanyia makubwa Kayala

UONGOZI wa Studio ya Best Records iliyopo Salasala jijini Dar es Salaam, imesema itazirekodi kwa ubora wa hali ya juu nyimbo saba za mwimbaji wa injili nchini, George Kayala, ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani