Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YOUNG KILLER AKANA DEMU WAKE KUWA CHINI YA 18

Chande Abdallah
MSANII wa muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ amekanusha madai kuwa demu wake anayejulikana kwa jina la Halimaty ana miaka chini ya 18.Akipiga stori na Ijumaa kuhusiana na ishu hiyo, Young Killer anashangaa watu kudai demu wake huyo ni ‘under age’ wakati ukweli ana miaka 20. Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ akiwa na demu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

UHUSIANO WA YOUNG KILLER NA MPENZI WAKE WATIMIZA MIAKA NANE

p>Ni mara chache sana kwa masupastaa kufunguka kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi, ni wachache sana ambao wako tayari kuweka mambo wazi kama msanii Young Killer ambaye ana ameweka wazi uhusiano wake na mwanadada Halimaty.‘’Halimaty ni mpenzi wangu nipo naye zaidi ya miaka nane,amekuwa zaidi ya rafiki’’alisema Young Killer kwenye shoo ya After Skul Bash iliyofanyika Jumamosi iliyopita kwenye viwanja vya Escape One,Mikocheni.

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa

Baada kuwa kimya kwa takribani miaka miwili, Kundi la Mtu Chee lililokuwa linaundwa na rappers watatu, Ibrahim Mandingo a.k.a Country Boy, David Genzi a.k.a Young Dee pamoja na Boniventure Kabogo a.k.a Stamina linarudi rasmi likiwa na mabadiliko. Country Boy Member na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo Country Boy amesema kuwa Mtu Chee imepata member […]

 

9 years ago

Bongo5

Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee

mtu chee2Kulikuwa na utata kuhusu member mpya wa kundi la Mtu Chee ambalo hapo mwanzo liliundwa na rappers watatu, Stamina, Young D na Country Boy. Baada ya taarifa za Young Dee kuondoka kwenye kundi hilo, kulikuwa na taarifa kuwa Young Killer ambaye ameshiriki kwenye wimbo mpya wa kundi hilo, ‘Mtu Tatu’, kuwa ndio member mpya wa […]

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram

Wiki iliyopita mmoja wa waanzilishi wa kundi la Mtu Chee, Country Boy alisema kuwa Young Dee amejiengua kwenye kundi hilo na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer. Wiki hii kuna cover imeanza kusambazwa ya ngoma mpya ya Mtu Chee ambayo kweli wanaonekana Country Boy, Stamina na Young Killer. Bongo5 imemtafuta Young Killer kutaka kufahamu kuhusu […]

 

10 years ago

GPL

YOUNG DEE: AKANA MADAI YA KUKACHA SHULE

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Young Dee akiwa katika studio za Global TV online. makala: Chande Abdallah
Leo hii kwenye Live Chumba cha Habari ya Global Publishers tunaye bwa’ mdogo machachari anayewakilisha vilivyo kwenye muziki wa Hip Hop, Young Dee. Dogo anafanya poa na nyimbo zake kadhaa kama: Dada Anaolewa, Tunapeta, Fununu na Siyo Mchoyo. Katika mahojiano na safu hii inayorushwa pia kupitia Global Tv Online,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Young Killer arudi shule

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Erick Msodoki ‘Young Killer’, ametimiza ndoto zake za kurudi shule ambapo sasa anasomea teknolojia ya mawasiliano (IT). Nyota huyo chipukizi ambaye amejizolea umaarufu kupitia...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Young Killer — Mtanzania

Msanii Young Killer ameachia wimbo mpya unaitwa “Mtanzania” ikiwa ni kuhamasisha amani katika kipindi hiki cha kuelekea katika Uchaguzi wimbo umetaarishwa katika studio za Kiri Records na Producer Rash Don. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani