Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UHUSIANO WA YOUNG KILLER NA MPENZI WAKE WATIMIZA MIAKA NANE

p>Ni mara chache sana kwa masupastaa kufunguka kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi, ni wachache sana ambao wako tayari kuweka mambo wazi kama msanii Young Killer ambaye ana ameweka wazi uhusiano wake na mwanadada Halimaty.‘’Halimaty ni mpenzi wangu nipo naye zaidi ya miaka nane,amekuwa zaidi ya rafiki’’alisema Young Killer kwenye shoo ya After Skul Bash iliyofanyika Jumamosi iliyopita kwenye viwanja vya Escape One,Mikocheni.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

YOUNG KILLER AKANA DEMU WAKE KUWA CHINI YA 18

Chande Abdallah
MSANII wa muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ amekanusha madai kuwa demu wake anayejulikana kwa jina la Halimaty ana miaka chini ya 18.Akipiga stori na Ijumaa kuhusiana na ishu hiyo, Young Killer anashangaa watu kudai demu wake huyo ni ‘under age’ wakati ukweli ana miaka 20. Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ akiwa na demu...

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer ataja mafanikio aliyopata kwenye muziki ndani ya miaka mitatu

YounG KILLER

Young Killer Msodoki ni msanii kutoka Rock City, Mwanza aliyeibuliwa kwenye shindano la Fiesta Super Nyota la mwaka 2012, na hadi mwaka huu anafikisha miaka mitatu kwenye muziki.

YounG KILLER

Rapper huyo ameshare na Bongo5 mafanikio aliyoyapata toka alivyoingia rasmi kwenye muziki miaka mitatu iliyopita.

“Mafanikio ambayo nimeyapata kwanza ni kujuana na watu ambao nilikuwa naamini wanaweza wakaja kuwa watu muhimu katika maisha yangu na nilikuwa nikipenda nije kukutana nao,” alisema Young Killer.

“Kitu...

 

10 years ago

Bongo5

Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa

Baada kuwa kimya kwa takribani miaka miwili, Kundi la Mtu Chee lililokuwa linaundwa na rappers watatu, Ibrahim Mandingo a.k.a Country Boy, David Genzi a.k.a Young Dee pamoja na Boniventure Kabogo a.k.a Stamina linarudi rasmi likiwa na mabadiliko. Country Boy Member na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo Country Boy amesema kuwa Mtu Chee imepata member […]

 

10 years ago

Bongo5

Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee

mtu chee2Kulikuwa na utata kuhusu member mpya wa kundi la Mtu Chee ambalo hapo mwanzo liliundwa na rappers watatu, Stamina, Young D na Country Boy. Baada ya taarifa za Young Dee kuondoka kwenye kundi hilo, kulikuwa na taarifa kuwa Young Killer ambaye ameshiriki kwenye wimbo mpya wa kundi hilo, ‘Mtu Tatu’, kuwa ndio member mpya wa […]

 

10 years ago

Bongo5

Diva amlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse amemlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita. Diva ametumia Instagram kuandika ujumbe mrefu unaosikitisha kueleza ni kwa kiasi gani anamkosa mtu huyo: 12 years My Love 12 years , hata siamini, kama ni kitabu yaan naandika nashindwa Malizia, wanasema kwenye Maisha unapenda Mara Moja tu, ama kweli Mara […]

 

10 years ago

Vijimambo

MSICHANA WA MIAKA 21 AUAWA NA MPENZI WAKE KISHA KUMFUKIA CHINI YA KITANDA





Tukio moja lilimeibua hisia kubwa kwa wakazi wa kijiji cha Isyongo kaunti ya nyamira nchini Kenya, baada ya Polisi kufukua maiti ya msichana mmoja Feidhi Omega 21, iliyokuwa imezikwa chini ya uvungu wa kitanda.

Taarifa zinasema kuwa binti huyo alimtembelea mpenzi wake wiki mbili zilizopita lakini hakurudi nyumbani kwao ndipo mama yake alipoanza kumtafuta na kuelekezwa kwa mpenzi wake Daniel Nyabuti, huku akiwa na matumaini ya kumkuta mtoto wake akiwa hai, walipofika nyumbani kwa kijana huyo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanandoa watimiza miaka 80 pamoja

Wanandoa kutoka Bournemouth kusini mwa England, wanasherehekea miaka 80 ya ndoa yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani