Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diva amlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse amemlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita. Diva ametumia Instagram kuandika ujumbe mrefu unaosikitisha kueleza ni kwa kiasi gani anamkosa mtu huyo: 12 years My Love 12 years , hata siamini, kama ni kitabu yaan naandika nashindwa Malizia, wanasema kwenye Maisha unapenda Mara Moja tu, ama kweli Mara […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

UHUSIANO WA YOUNG KILLER NA MPENZI WAKE WATIMIZA MIAKA NANE

p>Ni mara chache sana kwa masupastaa kufunguka kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi, ni wachache sana ambao wako tayari kuweka mambo wazi kama msanii Young Killer ambaye ana ameweka wazi uhusiano wake na mwanadada Halimaty.‘’Halimaty ni mpenzi wangu nipo naye zaidi ya miaka nane,amekuwa zaidi ya rafiki’’alisema Young Killer kwenye shoo ya After Skul Bash iliyofanyika Jumamosi iliyopita kwenye viwanja vya Escape One,Mikocheni.

 

10 years ago

Vijimambo

MSICHANA WA MIAKA 21 AUAWA NA MPENZI WAKE KISHA KUMFUKIA CHINI YA KITANDA





Tukio moja lilimeibua hisia kubwa kwa wakazi wa kijiji cha Isyongo kaunti ya nyamira nchini Kenya, baada ya Polisi kufukua maiti ya msichana mmoja Feidhi Omega 21, iliyokuwa imezikwa chini ya uvungu wa kitanda.

Taarifa zinasema kuwa binti huyo alimtembelea mpenzi wake wiki mbili zilizopita lakini hakurudi nyumbani kwao ndipo mama yake alipoanza kumtafuta na kuelekezwa kwa mpenzi wake Daniel Nyabuti, huku akiwa na matumaini ya kumkuta mtoto wake akiwa hai, walipofika nyumbani kwa kijana huyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

MAPYA YAJITOKEZA: Yadaiwa kuwa “Mpenzi” wa LULU aliyefariki alikuwa mume wa mtu.

Habari zinazoendelea kutufikia kwenye meza yetu zinadai kuwa marehemu Seki aliyefariki ghafla hapo jana  ambaye pia anadaiwa kuwa mpenzi wa mwanadada Elizabeth Michael – LULU alikuwa ni mume wa mtu na ameacha mjane na watoto.

Kwa mujibu wa mtoa habari wetu huyu marehemu Lusekelo maarufu kama seki alikuwa ni mfanyabiashara hapa mjini mwenye biashara kadhaa na alikuwa na uwezo mzuri tu wa kifedha.

Habari za uhakika zinasema kuwa Chanzo cha kifo cha Bw Seck kilisababishwa na kumuokoa mtoto...

 

9 years ago

Bongo5

Tekno kwa Diva: Wewe ni msichana mrembo kwanini huna mpenzi?” Sikiliza mahojiano yao ya kuvutia hapa (Audio)

Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM kinachoendeshwa na Diva The Bawse kimeendelea kuvuka boda. Siku za hivi karibuni mtangazaji huyo maarufu amekuwa akihoji wasanii wengi wa nje ya Tanzania wakiwemo Iyanya, Patoranking, Maurice Kirya na sasa amezungumza na hitmaker wa Duro, Tekno Miles wa Nigeria. Kwenye mahojiano hayo Diva amemuuliza staa huyo kuhusu […]

 

9 years ago

Mwananchi

CCM itakumbukwa kwa lipi miaka MITANO iliyopita?

Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Ni usemi wa wahenga ambao Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kuutumia katika kuandaa ilani yake ya Uchaguzi Mkuu ya 2015-2020.

 

10 years ago

Michuzi

Chikawe: Niliamua kugombea urais miaka mitano iliyopita

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe (pichani), ambaye ni mmoja wa wanachama wa CCM waliochukua fomu za kugombea kiti cha urais, amesisitiza kuwa uamuzi wa kugombea nafasi hiyo aliufikia miaka mitano iliyopita na kuwaomba wana-CCM kuwapuuza wale wanaosema hakupanga kuomba nafasi hiyo.
Waziri Chikawe, ambaye amekamilisha kazi ya kusaka wadhamini katika mikoa 15 ya Tanzania Bara na Zanzibar kama taratibu zinavyoelekeza, amesema uamuzi wake wa kugombea nafasi hiyo aliufanya baada ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Wazazi wampata mtoto wao aliyeibiwa miaka 32 iliyopita China

Familia moja China, aliyoibiwa mtoto wao wa kiume katika hoteli mwaka 1988 imempata baada ya miaka 32.

 

11 years ago

KwanzaJamii

kilimo cha Ngoro kilianzishwa miaka 300 iliyopita Mbinga

Na Albano Midelo NGORO pichani juu  ni aina ya kilimo kinachohifadhi mazingira kwa njia ya asili ambacho kinaaminika kilianza kutumika na wakulima wa kabila la wamatengo wilayani Mbinga mkoani Ruvuma zaidi ya miaka 300 iliyopita. Kilimo cha ngoro kilianzishwa na wazee maarufu wa kabila la wamatengo waliotokea nchini Malawi katika karne ya 17 ambapo tayari vizazi zaidi ya 10 vimepita hivi sasa tangu kilimo cha ngoro kilipoanzishwa wilayani Mbinga. Moja ya madhumuni ya kuanzisha kilimo hiki ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani