Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tekno kwa Diva: Wewe ni msichana mrembo kwanini huna mpenzi?” Sikiliza mahojiano yao ya kuvutia hapa (Audio)

Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM kinachoendeshwa na Diva The Bawse kimeendelea kuvuka boda. Siku za hivi karibuni mtangazaji huyo maarufu amekuwa akihoji wasanii wengi wa nje ya Tanzania wakiwemo Iyanya, Patoranking, Maurice Kirya na sasa amezungumza na hitmaker wa Duro, Tekno Miles wa Nigeria. Kwenye mahojiano hayo Diva amemuuliza staa huyo kuhusu […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Audio: Sikiliza interview ya Maurice Kirya na Diva

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse amefanya interview na staa wa Uganda, Maurice Kirya. Wasikilize hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Audio: Sikiliza interview ya Diva na msanii wa Nigeria, Seyi Shay

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva the Bawse amefanya mahojiano na muimbaji wa Nigeria, Seyi Shay. Sikiliza interview hiyo ya kuvutia hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Michuzi

Sikiliza Audio ya Mahojiano na Ernest Napoleon, Muigizaji wa filamu ya ‘Going Bongo

 Cheif wa swahilivilla blog Abou Shatry  na Ernest NapoleonBlog ya swahilivilla imepata furasa ya kufanya mahojiano na muigizaji, muongozaji na muandishi wa  filam ya kwanza Afrika Mashariki kukubalika kuuzwa kupitia iTunes ‘Going Bongo Ernest Napoleon a-filamu-ya-kwanza-afrika-mashariki-kukubalika-kuuzwa-kupitia-itunes-07-2014/Pata filamu hiyo ya kihistoria kwenye iTunes bit.ly/goingbongoitunes ama DVD bit.ly/goingbongodvd. Check trailer hapa bit.ly/goingbongotrailer, share na wenzio.Jiunge...

 

10 years ago

Michuzi

Sikiliza Audio ya Mahojiano ya Swahilivilla na Mwanamama 'Power Black Nyati 'Jike Jeuri',

Karibuni katika kusikiliza AUDIO ya Mahojiano na Mwanamama Maisara Juma Salah a.k.a Power Black Nyati 'Jike Jeuri', Kiboko wa Wanaume aeleza mengi kuhusu utumiaji wa nguvu zake, kama kuzuwia pikipiki kwa nyele, ubebaji mfuko wa saruji kwa meno, pamoja na kumbeba mwanamke kwa mkono wake mmoja ama kupasuliwa Jiwe kwenye kifua chake.Baada ya kuwatoa 'knock out' mabaunsa wawili, ilibidi aongezeke mwingine wawe watatu lakini bado walishindwa kupeleka kidole cha Jike Jeuri' chini wakati akifanya...

 

10 years ago

Vijimambo

Sikiliza AUDIO ya Mahojiano na Ahmed Mngazija ambae ni mmoja kati ya waathirika wa madawa ya kulevya Zanzibar

Haya ni MAHOJIANO na Ahmed Mngazija a.k.a (Pongonyongo) jinsi alivyojiingiza bila ya kutegemea katika janga la madawa ya kulevya. Ahmed azungumzia mengi juu ya maisha ya wengi walioathirika na mihadarati kisiwani ZanzibarSikujua wala sikutambua lakini nilipomsikiliza kwa makini ndipo nilipofunguka na kuelewa zaidi juu ya ndugu zetu waliotumbukia bila ya kutegemea katika uvutaji wa madawa ya kelevya, na kwa kweli wanahitaji kupewa msaada mkubwa wa kuwaponyesha na majanga haya.Jiunge nasi kwa...

 

9 years ago

Bongo5

Tekno amchana mrembo huyu wa Bongo aliyedanganya amelala naye

Gigy

Msanii wa Nigeria, Tekno amemchana model wa video na msanii mchanga, Gigy Money aliyezusha kuwa amelala naye kwa kupost picha Instagram akiwa naye chumbani.

Gigy
Gigy Money alipost picha hii Instagram akiwa chumbani na Tecno

Katika kuhakikisha kuwa wanaelewa ujumbe wake, Tekno aliandika ujumbe wake wa Kiswahili (ofcourse aliandikiwa na mtu, wengi wanahisi ameandikiwa na Lulu)

“Hahahahaha we malaya umelala na manager wangu alafu ukaletwa chumbani kwangu maana uliomba upige picha na mimi. Sahivi...

 

9 years ago

Bongo5

Update: Octopizzo azungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kudanganya kumshirikisha August Alsina, sikiliza alichojibu (Audio)

Octopizzo anaendelea kutawala vichwa vya habari Afrika Mashariki, kitu ambacho ndio lengo lake haswa kwasababu inampa ‘kiki’ hasa wakati huu ambao ameachia video mpya. Kinachomfanya azidi kuzungumziwa ni kuhusu swala la wimbo ambao mwanzo alidai amefanya na August Alsina mpaka uongozi wa msanii huyo ulipokuja kukanusha, na ukapatikana ushahidi wa wimbo mwingine unaofanana na huo […]

 

10 years ago

GPL

OYA MWANA, NGUVU HUNA MKWANJA HUNA..HATA MKWARA?

Saluti kwa wanangu wote tunaochekiana kwa mafoni deile kupeana madini ya kuwalisha masela. Inakuwaje kwa kitaa hiyo ya bee machalii? Ni mpango mzima? Selaa huku kwa fasi ya tauni Bongo tambarare watu tunakabana makoo ileile. Ilimradi tu mwisho wa dei vichwa visomeke. Ama nini? Kaa humu wewe uwe mjanja wangu. Ebana tudei no mboyoyo mingi kozi laifu liko resi hatare. Kuna mwanangu Chuma au Benz ana bonge la talenti kwenye gemu la...

 

9 years ago

MillardAyo

Hata wewe unaweza kuungana na Diva the Bawse siku ya Christmas kuikamilisha hii..

Kwa wale watu wa ‘Ala za Roho’ ya Clouds FM najua jina la Diva sio geni kwao, mtu wa nguvu kabisa ambaye huwa anadondosha love stories kuanzia saa nne usiku Jumatatu mpaka Alhamisi. Love yake inaendelea na yuko tayari kuisogeza kwa watu wengine pia, Christmas ni Ijumaa ijayo, siku chache zimebaki kuifikia lakini mrembo Diva kaona […]

The post Hata wewe unaweza kuungana na Diva the Bawse siku ya Christmas kuikamilisha hii.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani