Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hata wewe unaweza kuungana na Diva the Bawse siku ya Christmas kuikamilisha hii..

Kwa wale watu wa ‘Ala za Roho’ ya Clouds FM najua jina la Diva sio geni kwao, mtu wa nguvu kabisa ambaye huwa anadondosha love stories kuanzia saa nne usiku Jumatatu mpaka Alhamisi. Love yake inaendelea na yuko tayari kuisogeza kwa watu wengine pia, Christmas ni Ijumaa ijayo, siku chache zimebaki kuifikia lakini mrembo Diva kaona […]

The post Hata wewe unaweza kuungana na Diva the Bawse siku ya Christmas kuikamilisha hii.. appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HATA WEWE UNAWEZA KUWA KAMA DULLAH USIKATE TAMAA!!

Hiyu ni Dulla Starfitness wa Brooklyn. NY  ndoto zake kuwa bingwa wa NPC Brooklyn Grand Prix, katika mashindano yaliyo fanyika mwezi wa kumi  Dulla aliingia kwenye top 5. Sasa anajifua zaidi hili atimize ndoto zake za kuwa champion wa Bikini and Physique kwenye mashindano yanayokuja.
Mashindano yaliyopita akiwa na vazi la ufukweni.

 

9 years ago

GPL

SHOGA; HATA WEWE UNAWEZA KUMTOA ‘OUT’ MUMEO!

Shoga yangu, kwa uweza wa Jalia ni matumaini yangu kwamba hali yako ni nzuri na unaendelea kupambana na maisha kwa sababu bila kufanya hivyo ni wazi utakwama na kujikuta ukiishia kuwa ombaomba jambo ambalo siyo zuri. Kwa upande wangu nipo bukheri wa afya na nipo ofisini nakuandalia mada ya wiki ijayo lengo likiwa lilelile la kupeana elimu ya uhusiano na kukosoana pale inapotokea wenzetu wanakwenda ndivyo sivyo. Leo shoga yangu...

 

9 years ago

Bongo5

Diva kusaidia watoto yatima siku ya Christmas

11917989_166629733673746_101973509_n

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva Gissele Malinzi aka The Bawse kupitia Diva Giving For Charity na Foundation yake ya Diva Foundation anatarajia kutoa msaada kwenye vituo vinavyolea watoto yatima.

11917989_166629733673746_101973509_n

Ili kufanikisha shughuli hiyo, Diva anaomba watu mbalimbali wamuunge mkono.

Kama una msaada wako wasiliana naye kwa number 0656 336919. Diva pia anapigwa tafu na Sigwa Herbal Clinic.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMBO YA WIKIEND HAYO KAMA WEWE KAPO YA NGUVU HII INAKUHUSU UNAWEZA KUTUPIA HIVI KIROHO SAFI TU


Kama wewe couple ya nguvu weekend hii unaweza kutupia kama hivi ukiwa na mama mwenye nyumba wako kiroho safi. Wale wenye wivu wajinyoge na toilet paper  habari ndiyo hii jipendeni kwani maisha ni hapa hapa dunia.

Weekend yako fanya kama unasahau stress za schedule vile na tupieni.

 

11 years ago

GPL

HATA KAMA YUKO MBALI, UNAWEZA KUWA KARIBU NAYE! - 2

UMBALI katika uhusiano, mara nyingi husababisha hofu. Fikra za usaliti hutawala sana kwa wenzi wanaoishi mbali. Lakini vipi, mwenzako asisafiri au asiishi mbali kwa kuhofia hayo wakati kitendo hicho kinasababishwa na jukumu la kikazi? Ndugu zangu, baadhi yetu, kama hatutakuwa makini, umbali huweza kuchochea usaliti. Lakini kuna njia ambazo zikitumika kwa usahihi, husaidia kuliweka penzi hai na kuzidi kuwa na mshawasha mkubwa....

 

11 years ago

GPL

HATA KAMA YUKO MBALI, UNAWEZA KUWA KARIBU NAYE! - 3

TUNAENDELEA kujifunza mbinu za kumsogeza mwenzi wako karibu. Tumeshaona mengi katika matoleo yaliyopita. Rafiki zangu, wakati mwingine majukumu ya kikazi husababisha wenzi au wanandoa wakaa mbalimbali. Jambo hilo huwa changamoto kubwa sana kwa wengi, hushindwa kujua namna ya kuboresha uhusiano wao ili waweze kuendelea kuwa na uhusiano wenye nguvu. Katika matoleo yaliyopita tuliona jinsi mwanamke anavyoweza kufanya kwa mwanaume...

 

10 years ago

Bongo5

Nyota Ndogo: Unaweza kutunga nyimbo ukailia hela hata miaka 20

Kuna wasanii wengi ambao mpaka leo wanaendelea kunufaika kupitia kazi zao ambazo walizifanya miaka mingi iliyopita. Na kuna wengine ambao walitangulia mbele za haki lakini ndugu zao bado wanaendelea kufaidi matunda ya kazi zao. Msanii wa Kenya, Nyota Ndogo amesimulia jinsi hit song yake ‘Watu Na Viatu’ inavyoendelea kumpa maisha hadi sasa licha ya kuwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani