Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HATA WEWE UNAWEZA KUWA KAMA DULLAH USIKATE TAMAA!!

Hiyu ni Dulla Starfitness wa Brooklyn. NY  ndoto zake kuwa bingwa wa NPC Brooklyn Grand Prix, katika mashindano yaliyo fanyika mwezi wa kumi  Dulla aliingia kwenye top 5. Sasa anajifua zaidi hili atimize ndoto zake za kuwa champion wa Bikini and Physique kwenye mashindano yanayokuja.
Mashindano yaliyopita akiwa na vazi la ufukweni.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

HATA KAMA YUKO MBALI, UNAWEZA KUWA KARIBU NAYE! - 3

TUNAENDELEA kujifunza mbinu za kumsogeza mwenzi wako karibu. Tumeshaona mengi katika matoleo yaliyopita. Rafiki zangu, wakati mwingine majukumu ya kikazi husababisha wenzi au wanandoa wakaa mbalimbali. Jambo hilo huwa changamoto kubwa sana kwa wengi, hushindwa kujua namna ya kuboresha uhusiano wao ili waweze kuendelea kuwa na uhusiano wenye nguvu. Katika matoleo yaliyopita tuliona jinsi mwanamke anavyoweza kufanya kwa mwanaume...

 

11 years ago

GPL

HATA KAMA YUKO MBALI, UNAWEZA KUWA KARIBU NAYE! - 2

UMBALI katika uhusiano, mara nyingi husababisha hofu. Fikra za usaliti hutawala sana kwa wenzi wanaoishi mbali. Lakini vipi, mwenzako asisafiri au asiishi mbali kwa kuhofia hayo wakati kitendo hicho kinasababishwa na jukumu la kikazi? Ndugu zangu, baadhi yetu, kama hatutakuwa makini, umbali huweza kuchochea usaliti. Lakini kuna njia ambazo zikitumika kwa usahihi, husaidia kuliweka penzi hai na kuzidi kuwa na mshawasha mkubwa....

 

9 years ago

GPL

SHOGA; HATA WEWE UNAWEZA KUMTOA ‘OUT’ MUMEO!

Shoga yangu, kwa uweza wa Jalia ni matumaini yangu kwamba hali yako ni nzuri na unaendelea kupambana na maisha kwa sababu bila kufanya hivyo ni wazi utakwama na kujikuta ukiishia kuwa ombaomba jambo ambalo siyo zuri. Kwa upande wangu nipo bukheri wa afya na nipo ofisini nakuandalia mada ya wiki ijayo lengo likiwa lilelile la kupeana elimu ya uhusiano na kukosoana pale inapotokea wenzetu wanakwenda ndivyo sivyo. Leo shoga yangu...

 

9 years ago

MillardAyo

Hata wewe unaweza kuungana na Diva the Bawse siku ya Christmas kuikamilisha hii..

Kwa wale watu wa ‘Ala za Roho’ ya Clouds FM najua jina la Diva sio geni kwao, mtu wa nguvu kabisa ambaye huwa anadondosha love stories kuanzia saa nne usiku Jumatatu mpaka Alhamisi. Love yake inaendelea na yuko tayari kuisogeza kwa watu wengine pia, Christmas ni Ijumaa ijayo, siku chache zimebaki kuifikia lakini mrembo Diva kaona […]

The post Hata wewe unaweza kuungana na Diva the Bawse siku ya Christmas kuikamilisha hii.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Bongo5

Julio adai hatokata tamaa na muziki hata kama haumlipi

Mshiriki wa BBA Julio

Staa wa muziki na mshiriki wa shindano la Big Brother Africa 2012, Julio Batalia, amesema hategemei muziki umlipe kwani bado yupo kwenye hatua za kujitangaza.

Julio

Julio ameiambia Bongo5, kuwa ingawa muziki umekuwa wa gharama kubwa katika maandalizi, hana budi kuendelea kufanya hivyo hivyo ili kujitenga.

“Mimi naamini muziki ni process ya muda mrefu,” amesema. “Kwahiyo mafanikio huenda yakachelewa lakini yatakuja tu. Kwahiyo mimi nipo katika stage hiyo sijali sana muziki unilipe kwa sasa kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMBO YA WIKIEND HAYO KAMA WEWE KAPO YA NGUVU HII INAKUHUSU UNAWEZA KUTUPIA HIVI KIROHO SAFI TU


Kama wewe couple ya nguvu weekend hii unaweza kutupia kama hivi ukiwa na mama mwenye nyumba wako kiroho safi. Wale wenye wivu wajinyoge na toilet paper  habari ndiyo hii jipendeni kwani maisha ni hapa hapa dunia.

Weekend yako fanya kama unasahau stress za schedule vile na tupieni.

 

10 years ago

CloudsFM

KALA JEREMIAH: NIMEOTESHWA KUANDIKA “USIKATE TAMAA”

Staa wa Hip Hop,Kala Jeremiah ambaye hivi karibuni alilamba mkataba wa kuwa balozi wa kampuni moja ya vinywaji kwa mwaka wa pili mfululizo. Kala Jeremiah ana mipango ya kuachia ngoma mpya inaitwa ‘’Usikate Tamaa’’, ina aminika kuwa itashika kushika katika level za Dear god, Kala anasema idea ya ngoma hiyo imeanzia ndotoni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani