Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHOGA; HATA WEWE UNAWEZA KUMTOA ‘OUT’ MUMEO!

Shoga yangu, kwa uweza wa Jalia ni matumaini yangu kwamba hali yako ni nzuri na unaendelea kupambana na maisha kwa sababu bila kufanya hivyo ni wazi utakwama na kujikuta ukiishia kuwa ombaomba jambo ambalo siyo zuri. Kwa upande wangu nipo bukheri wa afya na nipo ofisini nakuandalia mada ya wiki ijayo lengo likiwa lilelile la kupeana elimu ya uhusiano na kukosoana pale inapotokea wenzetu wanakwenda ndivyo sivyo. Leo shoga yangu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

HATA WEWE UNAWEZA KUWA KAMA DULLAH USIKATE TAMAA!!

Hiyu ni Dulla Starfitness wa Brooklyn. NY  ndoto zake kuwa bingwa wa NPC Brooklyn Grand Prix, katika mashindano yaliyo fanyika mwezi wa kumi  Dulla aliingia kwenye top 5. Sasa anajifua zaidi hili atimize ndoto zake za kuwa champion wa Bikini and Physique kwenye mashindano yanayokuja.
Mashindano yaliyopita akiwa na vazi la ufukweni.

 

9 years ago

MillardAyo

Hata wewe unaweza kuungana na Diva the Bawse siku ya Christmas kuikamilisha hii..

Kwa wale watu wa ‘Ala za Roho’ ya Clouds FM najua jina la Diva sio geni kwao, mtu wa nguvu kabisa ambaye huwa anadondosha love stories kuanzia saa nne usiku Jumatatu mpaka Alhamisi. Love yake inaendelea na yuko tayari kuisogeza kwa watu wengine pia, Christmas ni Ijumaa ijayo, siku chache zimebaki kuifikia lakini mrembo Diva kaona […]

The post Hata wewe unaweza kuungana na Diva the Bawse siku ya Christmas kuikamilisha hii.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!

Shoga, ni matumaini yangu hali yako ipo poa na unaendelea kusaka ugali wa kula watoto kama kawaida.
Kwa upande wangu namshukuru Mwenyezi Mungu, afya yangu, wanangu na mume wangu ni nzuri kabisa.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kuyafanyia kazi yote uliyofundishwa na kungwi wako ili umpagawishe mumeo na kumfanya atulie nyumbani, leo nimekuandalia kitu tofauti. Nafanya hivyo ili kuufungua ubongo wako katika suala...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MTOTO ASIKUTENGANISHE NA MUMEO!

Shoga zangu, ni matumaini yangu kwamba nyote mtakuwa na afya njema na mapambano ya maisha yanaendelea vizuri licha ya kuwa na changamoto za hapa na pale.Kwa upande wangu ondoeni shaka, afya yangu ni njema na mume na watoto wetu wapo poa kabisa. Leo shoga zangu nimeamua kuzungumza nanyi kuhusu uzembe unaofanywa na baadhi ya wenzetu baada ya kupata watoto na kusahau kabisa majukumu yao kwa waume zao.Nimeamua kuzungumza nanyi ishu...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MUMEO ANAKURIDHISHA MCHEPUKO WA NINI?

Asalaam alaykhum shoga yangu! Kwa upande wangu nipo vizuri sana kuanzia kiafya pamoja na kiuchumi.
Shoga, kabla sijaanza kukueleza nilichokuandalia leo, napenda kumpa pole mama wa mabinti wawili wakazi wa mkoani Pwani kwa masaibu yaliyowapata ya kubakwa na baba yao mzazi. Hakika tukio hilo limenihuzunisha sana mbaya zaidi ni pale baadhi ya ndugu wa mumewe wanampomtishia maisha mama huyo kwa kitendo cha kumfikisha mumewe kwenye...

 

10 years ago

GPL

SHOGA USIMWAMBIE MUMEO UMECHOKA, UTAACHWA!

Shoga, baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kutotoa nafasi kwa nduguzo kuwa karibu sana na mumeo, leo nitazungumza nanyi kuhusu athari za kumwambia mumeo umechoka.Kuchoka ninakokuzungumzia si kule kwa kufanya kazi za nyumbani kama kupika, kufua, kuuza duka, kuwa bize na watoto nk. Mada yangu ni mahususi kwa wenzetu ambao huwanyima waume zao ‘chakula cha usiku’ kwa madai kwamba wamechoka hivyo hawahitaji...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MLILIE MUMEO ASIWAWAZE WENGINE!

Asalaam alaykhm mashoga zangu! Kwa uwezo wa Mola ni matumaini yangu nyote mu wazima na mnaendelea vyema na majukumu ya kimaisha na malezi ya familia. Kwa upande wangu nipo vizuri kiafya na kazi inakwenda murua, japo changamoto ni sehemu ya maisha yetu.
Shoga zangu, leo nimewaandalia ‘topiki’ yenye kichwa hicho hapo juu. Ni kweli kabisa mwanamke unapaswa kumlilia mumeo ili kumteka asiwawaze wengine. Ukiacha kulia,...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: KWA NINI MUMEO AKUSALITI?

Kama ilivyoada binadamu kujuliana hali, napenda kuwafahamisha kwamba hali yangu ni nzuri sijui kwa upande wenu.
Shoga zangu, kwa kuwa nchi yetu inajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais utakaofanyika Oktoba mwaka huu, napenda kuwashauri msijiweke mbali na kila kinachojiri kuhusiana na ishu hiyo ili kuelewa mambo mbalimbali ya kisiasa kabla ya kuwachagua viongozi wetu hususan rais. Leo shoga zangu nimekuja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani