Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHOGA: MUMEO ANAKURIDHISHA MCHEPUKO WA NINI?

Asalaam alaykhum shoga yangu! Kwa upande wangu nipo vizuri sana kuanzia kiafya pamoja na kiuchumi.
Shoga, kabla sijaanza kukueleza nilichokuandalia leo, napenda kumpa pole mama wa mabinti wawili wakazi wa mkoani Pwani kwa masaibu yaliyowapata ya kubakwa na baba yao mzazi. Hakika tukio hilo limenihuzunisha sana mbaya zaidi ni pale baadhi ya ndugu wa mumewe wanampomtishia maisha mama huyo kwa kitendo cha kumfikisha mumewe kwenye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHOGA: KWA NINI MUMEO AKUSALITI?

Kama ilivyoada binadamu kujuliana hali, napenda kuwafahamisha kwamba hali yangu ni nzuri sijui kwa upande wenu.
Shoga zangu, kwa kuwa nchi yetu inajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais utakaofanyika Oktoba mwaka huu, napenda kuwashauri msijiweke mbali na kila kinachojiri kuhusiana na ishu hiyo ili kuelewa mambo mbalimbali ya kisiasa kabla ya kuwachagua viongozi wetu hususan rais. Leo shoga zangu nimekuja na...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!

Shoga, ni matumaini yangu hali yako ipo poa na unaendelea kusaka ugali wa kula watoto kama kawaida.
Kwa upande wangu namshukuru Mwenyezi Mungu, afya yangu, wanangu na mume wangu ni nzuri kabisa.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kuyafanyia kazi yote uliyofundishwa na kungwi wako ili umpagawishe mumeo na kumfanya atulie nyumbani, leo nimekuandalia kitu tofauti. Nafanya hivyo ili kuufungua ubongo wako katika suala...

 

11 years ago

GPL

SHOGA, MCHEPUKO NI UMALAYA BAKI NJIA KUU

HEYA heya, acha nicheke miye kwani sidaiwi na mtu, navuta hewa ya bure ya nini kujibana, najiachia nitakavyo. Kama hewa ingekuwa inauzwa kama luku mbona wengi tungepumua kwa mahesabu kama wagonjwa wa pumu. Ushaanza kusema nina maneno mengi kama vile nimebemendwa, aiiih! Jamani mbona hivyo?
Kwani kucheka ni kwa wenye meno tu na siye wenye mapengo tusicheke?  Tuvumiliane basi mate yakiwarukia muone kama pafyumu. Ushaanza...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MTOTO ASIKUTENGANISHE NA MUMEO!

Shoga zangu, ni matumaini yangu kwamba nyote mtakuwa na afya njema na mapambano ya maisha yanaendelea vizuri licha ya kuwa na changamoto za hapa na pale.Kwa upande wangu ondoeni shaka, afya yangu ni njema na mume na watoto wetu wapo poa kabisa. Leo shoga zangu nimeamua kuzungumza nanyi kuhusu uzembe unaofanywa na baadhi ya wenzetu baada ya kupata watoto na kusahau kabisa majukumu yao kwa waume zao.Nimeamua kuzungumza nanyi ishu...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MLILIE MUMEO ASIWAWAZE WENGINE!

Asalaam alaykhm mashoga zangu! Kwa uwezo wa Mola ni matumaini yangu nyote mu wazima na mnaendelea vyema na majukumu ya kimaisha na malezi ya familia. Kwa upande wangu nipo vizuri kiafya na kazi inakwenda murua, japo changamoto ni sehemu ya maisha yetu.
Shoga zangu, leo nimewaandalia ‘topiki’ yenye kichwa hicho hapo juu. Ni kweli kabisa mwanamke unapaswa kumlilia mumeo ili kumteka asiwawaze wengine. Ukiacha kulia,...

 

10 years ago

GPL

SHOGA USIMWAMBIE MUMEO UMECHOKA, UTAACHWA!

Shoga, baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kutotoa nafasi kwa nduguzo kuwa karibu sana na mumeo, leo nitazungumza nanyi kuhusu athari za kumwambia mumeo umechoka.Kuchoka ninakokuzungumzia si kule kwa kufanya kazi za nyumbani kama kupika, kufua, kuuza duka, kuwa bize na watoto nk. Mada yangu ni mahususi kwa wenzetu ambao huwanyima waume zao ‘chakula cha usiku’ kwa madai kwamba wamechoka hivyo hawahitaji...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MPE MASHAMSHAM MUMEO ATULIE NYUMBANI!

Nisiku nyingine ya Jumanne ambayo tunakutana tena katika kilinge chetu hiki, karibu tuwe pamoja.
Leo shoga yangu nataka kuzungumza nawe kuhusu mada yenye kichwa hicho hapo juu, naamini nitakapofika mwisho utakuwa umepata darasa la kutosha. Nimeamua kutiririka na mada hiyo baada ya baadhi ya wenzetu kuwalalamikia waume zao kwamba hakuna siku wanayotulia nyumba wao wapo bize tu!Shoga yetu mmoja mkazi wa Ubungo Maziwa aliniambia...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: UKIMDHARAU MUMEO WENZAKO WATAMCHUKUA JUMLA

Shoga, awali ya yote napenda kuwaasa kwamba ukifika muda wa kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Kupiga Kura kwenye maeneo yenu, jitokezeni kwa wingi  kujiandikisha ili mpate fursa ya kuwachagua viongozi mnaowataka akiwemo rais kwani bila kufanya hivyo hamtapata nafasi hiyo. Baada ya kutoa rai hiyo, sasa ngoja nirejee kwenye jambo nililokusudia kuzungumza nanyi linalohusu dharau dhidi ya waume zetu tabia ambayo inafanywa...

 

10 years ago

GPL

SHOGA; VAA RANGI HIZI UMPAGAWISHE MUMEO!

Nimatumaini yangu kila mmoja wenu atakuwa amejiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mfumo wa kielektroniki wa BVR, anasubiri siku ya uchaguzi ifike ili aweze kumchagua kiongozi anayemtaka. Nawapongeza sana kwa kufanikisha zoezi hilo licha ya kugubikwa na changamoto kibao ambazo awali zilikatisha tamaa, hongereni jamani kwa kupata vitambulisho hivyo muhimu, vitunzeni vizuri. Baada ya kusema hayo sasa narejea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani