Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHOGA, MCHEPUKO NI UMALAYA BAKI NJIA KUU

HEYA heya, acha nicheke miye kwani sidaiwi na mtu, navuta hewa ya bure ya nini kujibana, najiachia nitakavyo. Kama hewa ingekuwa inauzwa kama luku mbona wengi tungepumua kwa mahesabu kama wagonjwa wa pumu. Ushaanza kusema nina maneno mengi kama vile nimebemendwa, aiiih! Jamani mbona hivyo?
Kwani kucheka ni kwa wenye meno tu na siye wenye mapengo tusicheke?  Tuvumiliane basi mate yakiwarukia muone kama pafyumu. Ushaanza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

SHOGA: MUMEO ANAKURIDHISHA MCHEPUKO WA NINI?

Asalaam alaykhum shoga yangu! Kwa upande wangu nipo vizuri sana kuanzia kiafya pamoja na kiuchumi.
Shoga, kabla sijaanza kukueleza nilichokuandalia leo, napenda kumpa pole mama wa mabinti wawili wakazi wa mkoani Pwani kwa masaibu yaliyowapata ya kubakwa na baba yao mzazi. Hakika tukio hilo limenihuzunisha sana mbaya zaidi ni pale baadhi ya ndugu wa mumewe wanampomtishia maisha mama huyo kwa kitendo cha kumfikisha mumewe kwenye...

 

9 years ago

GPL

SHOGA; KIGUU NA NJIA CHAKO KITAMKIMBIZA MUMEO NYUMBANI!

Shoga, leo ni Jumanne nyingine ambapo tunakutana katika hiki kilinge chetu tunachokitumia kupeana darasa la namna ya kuishi na familia zetu hususan waume zetu ambao tulikubali kwa ihari yetu kuungana nao na kuwa mwili mmoja. Hata hivyo, kabla sijasonga mbele kuhusu nilichopanga kuzungumza nawe, niwasisitize mpatapo nafasi msiache kwenda kuhudhuria kwenye mikutano ya kampeni katika kipindi hiki cha lala salama kusikiliza sera za...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!

Shoga, ni matumaini yangu hali yako ipo poa na unaendelea kusaka ugali wa kula watoto kama kawaida.
Kwa upande wangu namshukuru Mwenyezi Mungu, afya yangu, wanangu na mume wangu ni nzuri kabisa.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kuyafanyia kazi yote uliyofundishwa na kungwi wako ili umpagawishe mumeo na kumfanya atulie nyumbani, leo nimekuandalia kitu tofauti. Nafanya hivyo ili kuufungua ubongo wako katika suala...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam FC njia kuu

WANALAMBALAMBA Azam FC jana walizidi kudhihirisha kuwa wabishi na kuzidi kujikita kileleni baada ya kuilaza Simba kwa mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika kwenye Uwanja wa...

 

11 years ago

GPL

HAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU- 6

Asimuliaye mvua imemnyeshea, Mama Dennis yalishamkuta, alichepuka mara moja lakini matokeo aliyoyapata yalikuwa ni makubwa mno na yakamfanya ajute maisha yake yote na mpaka sasa, haamini kama kovu hilo litakuja kufutika. Katika simulizi yake, wiki iliyopita alieleza jinsi ambavyo aliweza kuongozana na dereva taksi anayeitwa Sospeter ambaye hujulikana kwa kifupi kama Sos. Walienda kwenye nyumba ya rafiki wa dereva huyo na kufanya...

 

11 years ago

GPL

HAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU-6

Tukio linaweza kujiri leo lakini likasababisha mtafaruku ndani ya ndoa kwa miaka yote iliyobaki, kwa maana hiyo chukua tahadhari na ujichunge. Hakikisha hubanduki njia kuu. Mama Dennis anaendelea kusimulia kisa chake cha kusaliti ndoa, kwani hicho kina mafundisho makubwa sana. Nakuomba ukifuatilie, maana ni vizuri sana kujifunza kwa mifano. Alihadaika kwa penzi la dereva taksi anayeitwa Sospeter maarufu kama Sos, yaliyompata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani