Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


michepuko sio dili, baki njia kuu

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kuelekea Valentines Day - Michepuko sio dili

Hili ni gari...Chukulia hili gari kama usafiri wako katika kuendesha mahusiano yako na yule mweza umpendae. Humu ndani ya gari kuna familia yako yote na wewe ndiye dereva...Njia utakayochagua kulipitisha hili gari,ndio njia watakayopita familia yako Gari hili lina matairi yanayokaribia kugusa ardhi...ni kama unaendesha Lamboghini vile...Very delicate! Endesha gari lako katika Njia iliyonyooka,utakutana na mabonde na milima,lakini usipokwepa hivi na kuingia njia za uchochoroni usikojua kuna...

 

11 years ago

GPL

SHOGA, MCHEPUKO NI UMALAYA BAKI NJIA KUU

HEYA heya, acha nicheke miye kwani sidaiwi na mtu, navuta hewa ya bure ya nini kujibana, najiachia nitakavyo. Kama hewa ingekuwa inauzwa kama luku mbona wengi tungepumua kwa mahesabu kama wagonjwa wa pumu. Ushaanza kusema nina maneno mengi kama vile nimebemendwa, aiiih! Jamani mbona hivyo?
Kwani kucheka ni kwa wenye meno tu na siye wenye mapengo tusicheke?  Tuvumiliane basi mate yakiwarukia muone kama pafyumu. Ushaanza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto wa kiume Culcutta sio dili

Polisi Mashariki mwa mji wa Calcutta nchini India, wanachunguza tukio la mwanamke ambaye huzaa watoto wa kiume watupu.

 

9 years ago

Mtanzania

Wakorintho wapili kuzindua Mchepuko sio dili

Alex+MsamaNa Mwandishi Wetu

KWAYA ya Wakorintho Wapili ya Wilayani Mafinga, mkoani Iringa, inatarajia kuzindua albamu yake ya Mchepuko sio dili kwenye tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, amesema albamu hiyo ya Mchepuko sio dili ina nyimbo nane ambazo zinafikisha ujumbe  wa neno la Mungu kwa jamii.

Msama alizitaja nyimbo hizo ni pamoja na Tanzania, Mchepuko sio...

 

10 years ago

Bongo Movies

Sammy White : Nimeigiza Sio Dili Kuokoa Mauaji

Mwigizaji chipukizi wa Filamu za kibongo, Samson Samwel ‘Sammy White’ anafunguka kwa kusema kuwa anapaza kilio cha mauaji ya Albino kwa kuigiza filamu ya Sio Dili kama ni sehemu ya elimu kwa wauaji wa Albino kwa imani za kishirikina na ubaguzi kwa jamii yake yenye matatizo ya ngozi.

“Vifo vimeshamiri kwa sisi watu wenye matatizo ya Albinizim kama kuuliwa kwa imani za kishirikina mimi nasema Sio Dili, pia kuna unyanyapaa kwetu katika mahusiano na watu wengine unaweza kupendwa na binti ambaye...

 

9 years ago

Michuzi

Wakorintho wapili kuzindua Mchepuko sio dili Tamasha la Krismasi

KWAYA ya Wakorintho Wapili ya Wilayani Mafinga mkoani Iringa inatarajia kuzindua albamu yake ya Mchepuko sio dili kwenye tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama albamu hiyo ina nyimbo nane ambazo zinafikisha ujumbe  wa neno la Mungu kwa jamii.Msama alizitaja nyimbo hizo ni pamoja na Tanzania, Mchepuko sio dili, Watenda mabaya, Ee bwana, Yahwe tunakuinua,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Filamu ya 'Sio Dili' Inayoongelea Tatizo la Mauaji ya Albino Kuingia Sokoni

Kampuni ya K Films Production ya jijini Dar es Salaam inatarajia kuachia filamu kali na ya kusisimua ya Sio Dili inayoongelea tatizo la mauaju ya Albino Tanzania ambayo yanatikisa nchi nzima, akiongea na FC amesema kuwa sinema hiyo ni funzo.

“Filamu ya Sio Dili ni kazi yangu katika harakati za kupambana na mauaji ya Albino ambayo yanahusisha imani ya kishirikina ni kazi nzuri inayoelimisha jamii kuachana na imani potofu,”anasema Kinye Mkali.

Sinema hiyo inawashirikisha wasanii nyota kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani