Wakorintho wapili kuzindua Mchepuko sio dili Tamasha la Krismasi
KWAYA ya Wakorintho Wapili ya Wilayani Mafinga mkoani Iringa inatarajia kuzindua albamu yake ya Mchepuko sio dili kwenye tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama albamu hiyo ina nyimbo nane ambazo zinafikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa jamii.Msama alizitaja nyimbo hizo ni pamoja na Tanzania, Mchepuko sio dili, Watenda mabaya, Ee bwana, Yahwe tunakuinua,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Wakorintho wapili kuzindua Mchepuko sio dili
Na Mwandishi Wetu
KWAYA ya Wakorintho Wapili ya Wilayani Mafinga, mkoani Iringa, inatarajia kuzindua albamu yake ya Mchepuko sio dili kwenye tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, amesema albamu hiyo ya Mchepuko sio dili ina nyimbo nane ambazo zinafikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa jamii.
Msama alizitaja nyimbo hizo ni pamoja na Tanzania, Mchepuko sio...
10 years ago
GPLAMA KWELI MCHEPUKO SIYO DILI
10 years ago
GPLMCHEPUKO SI NDIYO DILI, KWA NINI UWE UPANDE MMOJA!-2
10 years ago
GPLMCHEPUKO SI NDIYO DILI, KWA NINI UWE UPANDE MMOJA!
9 years ago
MichuziKwaya ya Wakorintho wa pili kushiriki tamasha la shukrani
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama alisema uongozi wa kwaya hiyo umekubali kushiriki katika tamasha hilo baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 nchini kote.
“Kwaya ya Wakorintho wa pili wameanza kuthibitisha...
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Watoto wa kiume Culcutta sio dili
11 years ago
Michuzi10 Feb
11 years ago
MichuziKuelekea Valentines Day - Michepuko sio dili
10 years ago
Bongo Movies21 May
Sammy White : Nimeigiza Sio Dili Kuokoa Mauaji
Mwigizaji chipukizi wa Filamu za kibongo, Samson Samwel ‘Sammy White’ anafunguka kwa kusema kuwa anapaza kilio cha mauaji ya Albino kwa kuigiza filamu ya Sio Dili kama ni sehemu ya elimu kwa wauaji wa Albino kwa imani za kishirikina na ubaguzi kwa jamii yake yenye matatizo ya ngozi.
“Vifo vimeshamiri kwa sisi watu wenye matatizo ya Albinizim kama kuuliwa kwa imani za kishirikina mimi nasema Sio Dili, pia kuna unyanyapaa kwetu katika mahusiano na watu wengine unaweza kupendwa na binti ambaye...