MCHEPUKO SI NDIYO DILI, KWA NINI UWE UPANDE MMOJA!-2
![](http://api.ning.com:80/files/Ugvao0mAfe57T623xvr9vSTX6L6JPUi2aQ0oJBJLcKIeLcLH0ndzkVjg0wMp*OJrds7qArabdc6U1KnxuHdpf1HXUFkJC4w9/mahaba.jpg)
Tunaendelea na mada yetu nzuri tuliyoianza wiki iliyopita. Somo tajwa hapo juu ni muhimu sana. Wanaume wamekuwa wakilifanya suala la mchepuko kuwa halali yao, wanawaona wanawake ni wakosaji pindi wanapochepuka. Mchepuko ni halali yao. ENDELEA… Michepuko ikishakuwa mingi, ni rahisi kushindwa kupafomu vizuri nyumbani na hapo ndipo tatizo linapohamia kwa mke. Mke anakosa haki yake kwa muda mrefu, ataanza kumlalamikia mumewe...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2VGrzzXedu192RdrMAStuZGbF2zzPOztiE4AUy7hrwwbP70R-uG9g5r9T39fHQGKukbnYLGKGi*RtRFzi4SlBZoIEbWaWT3Z/MAHABA.jpg)
MCHEPUKO SI NDIYO DILI, KWA NINI UWE UPANDE MMOJA!
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-l4wBrMEIEmM/Uwb4DWRDwEI/AAAAAAAFOg8/k3tZyNl3UvA/s72-c/unnamed+(85).jpg)
UZUNDUZI WA MRADI MKUBWA WA NJIA MPYA YA MAWASILIANO UNAOUNGANISHA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA UPANDE MMOJA NA UNGUJA NA PEMBA KWA UPANDE MWINGINE
![](http://4.bp.blogspot.com/-l4wBrMEIEmM/Uwb4DWRDwEI/AAAAAAAFOg8/k3tZyNl3UvA/s1600/unnamed+(85).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-g-OgqaEa89g/Uwb4DpEbuWI/AAAAAAAFOhA/GUU2DXbdpiA/s1600/unnamed+(86).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Bp86vAV3KKM/Uwb4DyadJEI/AAAAAAAFOhI/cD7-0S0AG-4/s1600/unnamed+(87).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Tu3f7Yl8Sl4/Uwb4EkQ95bI/AAAAAAAFOhQ/9NbPTflJ6g8/s1600/unnamed+(88).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rf021BwezXFXmbBwjcaVakY5ZIhNA4d-Zb6TZVmijjduIaeLbyvAZndbP6GJ*57bmQLm-kc0ZYzrXTUSWqgDnWoTq8mEX3e3/BACKAMANI.jpg)
AMA KWELI MCHEPUKO SIYO DILI
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Wakorintho wapili kuzindua Mchepuko sio dili
Na Mwandishi Wetu
KWAYA ya Wakorintho Wapili ya Wilayani Mafinga, mkoani Iringa, inatarajia kuzindua albamu yake ya Mchepuko sio dili kwenye tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, amesema albamu hiyo ya Mchepuko sio dili ina nyimbo nane ambazo zinafikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa jamii.
Msama alizitaja nyimbo hizo ni pamoja na Tanzania, Mchepuko sio...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Hawawezi kuwa upande wa wananchi na mafisadi kwa wakati mmoja
KUNA msemo usemao kwamba huwezi kuila keki yako halafu ukabakiwa nayo. Mtu mwenye keki ana uamuzi mmoja kati ya miwili. Uile keki yako nayo itoweke, au usiile ubakiwe nayo. Lakini...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-dnZmx6exAac/VnFlC8s2d_I/AAAAAAADDxI/pp9JH3d93yY/s72-c/Alex-Msama-640x458.jpg)
Wakorintho wapili kuzindua Mchepuko sio dili Tamasha la Krismasi
![](http://2.bp.blogspot.com/-dnZmx6exAac/VnFlC8s2d_I/AAAAAAADDxI/pp9JH3d93yY/s320/Alex-Msama-640x458.jpg)
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama albamu hiyo ina nyimbo nane ambazo zinafikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa jamii.Msama alizitaja nyimbo hizo ni pamoja na Tanzania, Mchepuko sio dili, Watenda mabaya, Ee bwana, Yahwe tunakuinua,...
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Marufuku ya kampeni isiwe ya upande mmoja
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ6*YcsC3scmmbdQqhiCODcgls2ZLwJGaZT4JiNwlsOCKRsloDcMwCfrT1BisOW0zGPF73EUUnekHjZDyH3UZW8QW/LOVE.jpg?width=650)
SHOGA: MUMEO ANAKURIDHISHA MCHEPUKO WA NINI?
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-VHAED0M_p9o/VRWLkIxKWgI/AAAAAAAAq0s/RZ8lQcmz5-A/s72-c/bub.jpg)
Je kwa nini wanawake huwa na furaha zaidi wakati wa kufunga ndoa? Hizi hapa chini ndiyo sababu
![](http://3.bp.blogspot.com/-VHAED0M_p9o/VRWLkIxKWgI/AAAAAAAAq0s/RZ8lQcmz5-A/s640/bub.jpg)
Wakatiwa kufunga ndoa wanawake wengi huonyesha furaha zao kwa namna tofauti. Wako ambao kutokana na furaha ya kuolewa wanashindwa kujizuia na kuanza kulia siyo kwa huzuni bali kwa furaha iliyopitiliza, wengine honyesha furaha zao kwa kucheza mziki kwa furaha na kumbusu mume wake wa maisha kwa mfululizo kama vile anachezea mdoli akiwa haamini kile kinachomtokea nk.Kwa upande wa mume naye huwa na furaha kwa upande wake lakini furaha hiyo haizidi furaha ya mke, hiyo ni kwa sababu mwanaume...