Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZUNDUZI WA MRADI MKUBWA WA NJIA MPYA YA MAWASILIANO UNAOUNGANISHA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA UPANDE MMOJA NA UNGUJA NA PEMBA KWA UPANDE MWINGINE

 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technolojia, Profesa Makame Mbarawa akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Mradi wa njia mpya ya mawasiliano inayounganisha Dar es Salaam kwa upande mmoja na Unguja na Pemba kwa upande mwingine kwenye sherehe zilizofanyika Pemba hivi karibuni.  Wawakilishi wa balozi mbalimbali na viongozi wa serikali wakiwa kwenye uzinduzi rasmi wa Mradi huo  Wageni mbalimbali  wakiwa kwenye uzinduzi huo mjini Pemba.  Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technolojia,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Azam yaenda Kisiwani Pemba kwa shingo upande

Zanzibar. Klabu ya Azam imeweka mgomo baridi kwenda Pemba, kwa kile ilichoeleza kuwa wao ni mabingwa watetezi hawawezi kuifuata timu iliyoingia robo fainali kwa upendeleo.

 

10 years ago

GPL

MCHEPUKO SI NDIYO DILI, KWA NINI UWE UPANDE MMOJA!

Bila shaka mu wazima wa afya wasomaji wa safi hii. Ni siku nyingine tena Mungu ametujalia tunakutana katika safu yetu na kujuzana mawili matatu yahusuyo maisha yetu ya uhusiano. Muhimu kupeana darasa maana ni moja ya kujifunza vitu vipya au kukumbushana vile ambavyo tayari tunavifahamu. Hakika hakuna asiyejua mchepuko katika kizazi cha leo. Watu wanachepuka kwenye ndoa na hata kwenye uchumba. Anayechepuka huwa akilini mwake ana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hawawezi kuwa upande wa wananchi na mafisadi kwa wakati mmoja

KUNA msemo usemao kwamba huwezi kuila keki yako halafu ukabakiwa nayo. Mtu mwenye keki ana uamuzi mmoja kati ya miwili. Uile keki yako nayo itoweke, au usiile ubakiwe nayo. Lakini...

 

10 years ago

GPL

MCHEPUKO SI NDIYO DILI, KWA NINI UWE UPANDE MMOJA!-2

Tunaendelea na mada yetu nzuri tuliyoianza wiki iliyopita. Somo tajwa hapo juu ni muhimu sana. Wanaume wamekuwa wakilifanya suala la mchepuko kuwa halali yao, wanawaona wanawake ni wakosaji pindi wanapochepuka. Mchepuko ni halali yao.
ENDELEA… Michepuko ikishakuwa mingi, ni rahisi kushindwa kupafomu vizuri nyumbani na hapo ndipo tatizo linapohamia kwa mke. Mke anakosa haki yake kwa muda mrefu, ataanza kumlalamikia mumewe...

 

10 years ago

Mwananchi

Marufuku ya kampeni isiwe ya upande mmoja

Rais Jakaya Kikwete juzi alipiga marufuku vyama vya siasa na asasi za kiraia kufanya kampeni za kuhamasisha wananchi kuhusu Katiba Inayopendekezwa, akisema kufanya hivyo ni kuvunja Sheria ya Kura ya Maoni kwa kuwa muda wake haujafika.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtikila achukua fomu ya urais kwa shingo upande

Wakati Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party (DP), Christopher Mtikila akigoma kusaini fomu za kugombea urais akitaka ufafanuzi wa mgombea binafsi, Mwenyekiti wa UPDP, Fahmi Dovutwa amekwama kwenye lifti za jengo lililopo katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi (NEC) kutokana na kukatika umeme.

 

10 years ago

GPL

ADC KUSHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KWA SHINGO UPANDE

Mwenyekiti wa ADC, Said Abdallah, akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani). Abdallah  akionyesha baadhi ya vipengele ambavyo vinabana vyama vya upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

TEC: Hatuna upande Katiba mpya

RAIS wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa, amesema kuwa kanisa halina msimamo wa pamoja katika suala la muundo wa Serikali ya Muungano unaopendekezwa kwenye Katiba mpya. Badala...

 

9 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAENDELEA KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA MAWASILIANO

  Ofisa Mkuu wa Idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania, Keith Tukei (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo katika maduka ya Shoppers plaza Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.Wengine katika picha kushoto ni mteja wa kwanza kufika kupata huduma katika duka hilo Bw.Argylle Tsvakai na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia. Mteja wa kwanza kufika katika duka jipya la Vodacom Tanzania Bw.Argylle Tsvakai...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani