AMA KWELI MCHEPUKO SIYO DILI

Dustan Shekidele, Morogoro MH! ‘Haga gangi’ (haya mengine)! Simon Manase (22) ambaye ni dereva wa bodaboda, mkazi wa Kijiji cha Nguyami, wilayani Gairo mkoani hapa amecharangwa mapanga mwilini na kukatwa mkono wa kulia na mtu aliyetajwa kwa jina la Frank akidai kumfumania na mkewe vichakani. Kijana Simon Manase (22) aliyecharangwa mapanga baada ya kufumaniwa na mke wa mtu vichakani. Ishu hiyo inadaiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Wakorintho wapili kuzindua Mchepuko sio dili
Na Mwandishi Wetu
KWAYA ya Wakorintho Wapili ya Wilayani Mafinga, mkoani Iringa, inatarajia kuzindua albamu yake ya Mchepuko sio dili kwenye tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, amesema albamu hiyo ya Mchepuko sio dili ina nyimbo nane ambazo zinafikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa jamii.
Msama alizitaja nyimbo hizo ni pamoja na Tanzania, Mchepuko sio...
11 years ago
GPL
MCHEPUKO SI NDIYO DILI, KWA NINI UWE UPANDE MMOJA!-2
9 years ago
Michuzi
Wakorintho wapili kuzindua Mchepuko sio dili Tamasha la Krismasi

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama albamu hiyo ina nyimbo nane ambazo zinafikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa jamii.Msama alizitaja nyimbo hizo ni pamoja na Tanzania, Mchepuko sio dili, Watenda mabaya, Ee bwana, Yahwe tunakuinua,...
11 years ago
GPL
MCHEPUKO SI NDIYO DILI, KWA NINI UWE UPANDE MMOJA!
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Unagombana na dili? ...Hizi siyo akili
11 years ago
GPL
AMA KWELI UZEE MWISHO CHALINZE!
10 years ago
GPL
SHOO YA KRISMAS DAR LIVE, AMA KWELI DIAMOND HAKUNAGA!
5 years ago
BBCSwahili27 Feb
Uchaguzi ACT-Wazalendo: Je, Zitto vs Jussa ni mchuano wa kweli ama mipango ya ndani?
10 years ago
GPL27 Apr