SHOO YA KRISMAS DAR LIVE, AMA KWELI DIAMOND HAKUNAGA!
![](http://api.ning.com:80/files/k3CULkKWsLZ7MeW52e*NjnGNwYXimGL6hVfZoR6def7vfI8tIxVJ3V02fBXhhAuUETo2RbMTq5wRiYvRrmp*T*X5NpuXOrj1/FRONT.jpg?width=650)
Stori: Waandishi Wetu Pamoja na watu kuwa wengi hadi wengine kurudishwa nyumbani, lile Tamasha la Wafalme limekamilika na shoo kabambe iliyotolewa na wafalme wawili, mkali wa Afro Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye kila mtu alikubali kwamba hakuna kama yeye Bongo na mfalme Mzee Yusuf. Mkali wa Afro Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’akiwapagawisha mashabiki wake. Shoo hiyo ya kihistoria...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLPAM D AFANYA KWELI SHOO YA MWANA DAR LIVE
11 years ago
GPLPROFESA JAY AFANYA KWELI SHOO YA KRISMASI DAR LIVE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XCoElX7q3j2KSSmqIR64kd1-sNce3oYpuB2y-Ep-gJGTzt-5QqDsfi4xAZZDDf5V3BHCJTmrX2QcIQv3OJXWLhd6qTqJ2AIZ/SHOOYAWAFALME.jpg)
DIAMOND NA MZEE YUSUF KUWASHA MOTO DAR LIVE KRISMAS
10 years ago
GPLSHOO YA DIAMOND DAR LIVE YAACHA HISTORIA
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Shoo ya kifalme Diamond ndani ya Dar live leo
Simba wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
MWANDISHI WETU
Dar es Salaam
SIKUKUU ya Krismasi si ndiyo leo? Jibu ni ‘ndiyooooo!’, sasa habari kamili ni kuwa wakazi wa Dar es Salaam na maeneo ya jirani, wote wanatarajiwa kukutana kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem ambapo Simba wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ atakuwa akifanya makamuzi.
Diamond, staa ambaye anasadikika kupata umaarufu mkubwa nje ya mipaka ya nchi zaidi ya wasanii wengi wa Bongo Fleva katika...
10 years ago
GPL26 Dec
9 years ago
Global Publishers26 Dec
10 years ago
GPLLIVE KUTOKA DAR LIVE: BURUDANI ZA MWANZO KABLA YA SHOO YA MWANA DAR LIVE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzn4ICuAlE7IHWgfWFNSIFFXZM0D5cbHBbLAKkrLUTtSmHWlT-wJK3KByVdp6xiSwL*khOuKSYJxZtHN-ZMam-dvRYOS5LRc/diamond2.jpg?width=650)
DIAMOND AFANYA MAJARIBIO DAR LIVE TAYARI KWA SHOO KALI YA TAMASHA LA WAFALME LEO USIKU