Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shoo ya kifalme Diamond ndani ya Dar live leo

ymCTBkpSimba wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

MWANDISHI WETU
Dar es Salaam
SIKUKUU ya Krismasi si ndiyo leo? Jibu ni ‘ndiyooooo!’, sasa habari kamili ni kuwa wakazi wa Dar es Salaam na maeneo ya jirani, wote wanatarajiwa kukutana kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem ambapo Simba wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ atakuwa akifanya makamuzi.

Diamond, staa ambaye anasadikika kupata umaarufu mkubwa nje ya mipaka ya nchi zaidi ya wasanii wengi wa Bongo Fleva katika...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIAMOND AFANYA MAJARIBIO DAR LIVE TAYARI KWA SHOO KALI YA TAMASHA LA WAFALME LEO USIKU

Msanii Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya majaribio ya vifaa ndani ya jukwaa la Dar Live. Diamond Platnumz na madansa wake wakifanya maandalizi katika jukwaa la kupanda na kushuka la Dar…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA MBALIMBALI ZA SHOO YA KRISMASI NDANI YA DAR LIVE

Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi, Joh Makini, akiwapagawisha mashabiki wa Hip Hop waliofurika katika Uwanja wa…

 

10 years ago

GPL

SHOO YA DIAMOND DAR LIVE YAACHA HISTORIA

Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akipozi katika picha na mashabiki baada ya shoo ya nguvu Dar Live. Diamond akiwa na tuzo pamoja na cheti baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Ijumaa Sexiest Bachelor.…

 

10 years ago

GPL

SHOO YA KRISMAS DAR LIVE, AMA KWELI DIAMOND HAKUNAGA!

Stori: Waandishi Wetu
Pamoja na watu kuwa wengi hadi wengine kurudishwa nyumbani, lile Tamasha la Wafalme limekamilika na shoo kabambe iliyotolewa na wafalme wawili, mkali wa Afro Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye kila mtu alikubali kwamba hakuna kama yeye Bongo na mfalme Mzee Yusuf. Mkali wa Afro Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’akiwapagawisha mashabiki wake. Shoo hiyo ya kihistoria...

 

10 years ago

GPL

LIVE KUTOKA DAR LIVE: BURUDANI ZA MWANZO KABLA YA SHOO YA MWANA DAR LIVE

Waimbaji wa Mashauzi Classic wakiwa stejini. Msanii wa Bongo Fleva, Aisha Amsha Popo akifanya vitu vyake katika steji ya Dar Live usiku huu.…

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF WAAHIDI KUANGUSHA SHOO YA KUFA MTU DAR LIVE SIKUKUU YA X-MAS

Wanamuziki Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' na Mzee Yusuf (kushoto) wakipozi baada ya kufanya mahojiano na wanahabari leo. Wanamuziki hao wakionyesha mbwebwe zao mbele ya wanahabari (hawapo pichani).…

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA KUTUA LEO NCHINI, TAYARI KWA SHOO YAKE JUMAMOSI HII DAR LIVE

Baadhi ya wanamuziki wa Malaika Music Band wakipozi kwa picha wakati wakimsubiri Bella kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo. Wanamuziki wa Malaika Music Band wakipozi na Mwandishi wa tovuti hii, Gabriel Ng'osha. PREZIDAA wa Malaika Music Band, Christian Bella, anatarajiwa kutua jijini Dar muda wowote kuanzia sasa akitokea nchini Sweden. Baadhi ya mashabiki pamoja na wasanii wenzake wa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani