Azam FC njia kuu
WANALAMBALAMBA Azam FC jana walizidi kudhihirisha kuwa wabishi na kuzidi kujikita kileleni baada ya kuilaza Simba kwa mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika kwenye Uwanja wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJUQ-OWx0*hdJtfI9XV6a0swtynsx5xz6L9ugqV5PyeWBYBlztVHAocD4sWZrCxJi2ENF3Pp5f7yyH0M0m6N8ft7n/mahaba.jpg?width=650)
HAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU-2
Kipengele cha “Heshimu Penzi Lake, Linda Penzi Lakoâ€, ndicho ambacho nilikuwa naendelea kukichambua katika toleo lililopita. Wakati tunaendelea, nakusisitizia kwamba baki njia kuu, kwa maana ukiteleza mara moja inaweza kukugharimu maisha yako yote kurejesha furaha yake bila mafanikio. Siku zote unapoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi, lengo la juu kabisa la kwako wewe, linatakiwa liwe kumfanya mwenzi wako afurahi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QsQ1m7RyND3gsCmCH*sasFzNwL0g*5b5FybSuPna7I1nLNHDwLbB3qybu*PGVt1J3f*KdVgce2b3xxY7f8HP1M1us0i3kjuI/mahaba.jpg)
HAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU- 6
Asimuliaye mvua imemnyeshea, Mama Dennis yalishamkuta, alichepuka mara moja lakini matokeo aliyoyapata yalikuwa ni makubwa mno na yakamfanya ajute maisha yake yote na mpaka sasa, haamini kama kovu hilo litakuja kufutika. Katika simulizi yake, wiki iliyopita alieleza jinsi ambavyo aliweza kuongozana na dereva taksi anayeitwa Sospeter ambaye hujulikana kwa kifupi kama Sos. Walienda kwenye nyumba ya rafiki wa dereva huyo na kufanya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ug6ORo4NSNSCX5e50AxH*oV7zetA1CSYASyfOiK1MgWRLvgWgFT5zrEqkVx2r9q0Vd1TWW8khnOuyAGH8DVDR3X2SXIul6go/MAHABA.jpg)
HAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU-7
INAENDELEA TOKA TOLEO LILILOPITA. “Alisema ‘Mungu asante kumbe mke wangu bado yupo hai’, aliponikumbatia nami nilimshika kwa nguvu, nikatumia nafasi hiyo kumuomba msamaha kwa usaliti niliomfanyia, maana nilishatambua anajua kila kitu, sikutaka kumzungusha, nilihitaji zaidi msamaha wake. “Bila kutarajia, mume wangu aliniambia amenisamehe na akanionya nisirudie tena. Kikafuata kipindi cha kubembelezana,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRlQcG3YjV9eDeHif2zjqF6iDva0fvHJLbcBKnP9iRMvb*N6kGFrho9Tu-CThMf4KbhtPGhC57RJ5Jv89uMC6cOU/MAHABA.jpg)
HAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU-6
Tukio linaweza kujiri leo lakini likasababisha mtafaruku ndani ya ndoa kwa miaka yote iliyobaki, kwa maana hiyo chukua tahadhari na ujichunge. Hakikisha hubanduki njia kuu. Mama Dennis anaendelea kusimulia kisa chake cha kusaliti ndoa, kwani hicho kina mafundisho makubwa sana. Nakuomba ukifuatilie, maana ni vizuri sana kujifunza kwa mifano. Alihadaika kwa penzi la dereva taksi anayeitwa Sospeter maarufu kama Sos, yaliyompata...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YWMj-J29SNy8eitmUabMN12TCOwycIJTZl4NPrgdQz5DfSZ4HvM2Z9wwABQDGsYMajGV*DJpRYQIUxtDJtvRQeMYsjLndpUo/mahaba.jpg)
HAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU- 5
KUNA manufaa makubwa ya kuheshimu ndoa/penzi lako. Kikubwa ni utulivu wa akili yako mwenyewe. Tambua kwamba unapochepuka, unakuwa unajiingizia mzigo kichwani ambao hauna sabababu yoyote. Utakuwa mtu wa wasiwasi wa kujitakia. Ukipigiwa simu mbele ya mwezi wako unaanza kuchachawa. Ukisasahau simu nyumbani akili inaruka kwa kuchanganyikiwa. Badala ya kulala unakuwa kama mlinzi, unamvizia mwenzio alale asije kushika simu yako....
9 years ago
Mwananchi05 Sep
Azam FC: Ni wakati wa kuamua ipi njia sahihi
Hakuna aliyewahi kuwaza kuwa ingetokea timu ambayo kwa misimu minne mfululizo ingezitenganisha Yanga na Simba katika nafasi mbili za juu.
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Jela kwa kushindwa kubaki njia kuu
MWALIMU wa Shule ya Msingi Misunkumilo, Kata ya Namanyere, wilayani Nkasi, mkoani Rukwa, Oswald Kapota (33) amehukumiwa kwenda jela miezi sita kwa kosa la kutelekeza familia yake na kwenda kuishi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYnWRDfMGC1kZQ4Jnvk-x55PcAKoc2gKo*qyo0xmhOmqaJGybS83frZLWwCo6dt-cHqHlGihP1W8auBpNw9JWukB/image.jpeg?width=650)
11 years ago
Michuzi10 Feb
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania