HAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU- 5
KUNA manufaa makubwa ya kuheshimu ndoa/penzi lako. Kikubwa ni utulivu wa akili yako mwenyewe. Tambua kwamba unapochepuka, unakuwa unajiingizia mzigo kichwani ambao hauna sabababu yoyote. Utakuwa mtu wa wasiwasi wa kujitakia. Ukipigiwa simu mbele ya mwezi wako unaanza kuchachawa. Ukisasahau simu nyumbani akili inaruka kwa kuchanganyikiwa. Badala ya kulala unakuwa kama mlinzi, unamvizia mwenzio alale asije kushika simu yako....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLHAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU-6
11 years ago
GPLHAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU-7
11 years ago
GPLHAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU- 6
11 years ago
GPLHAKIKISHA HUBANDUKI NJIA KUU-2
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Azam FC njia kuu
WANALAMBALAMBA Azam FC jana walizidi kudhihirisha kuwa wabishi na kuzidi kujikita kileleni baada ya kuilaza Simba kwa mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika kwenye Uwanja wa...
11 years ago
GPLSHOGA, MCHEPUKO NI UMALAYA BAKI NJIA KUU
11 years ago
GPL11 years ago
Michuzi10 Feb
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Jela kwa kushindwa kubaki njia kuu
MWALIMU wa Shule ya Msingi Misunkumilo, Kata ya Namanyere, wilayani Nkasi, mkoani Rukwa, Oswald Kapota (33) amehukumiwa kwenda jela miezi sita kwa kosa la kutelekeza familia yake na kwenda kuishi...