Sikiliza AUDIO ya Mahojiano na Ahmed Mngazija ambae ni mmoja kati ya waathirika wa madawa ya kulevya Zanzibar
Haya ni MAHOJIANO na Ahmed Mngazija a.k.a (Pongonyongo) jinsi alivyojiingiza bila ya kutegemea katika janga la madawa ya kulevya. Ahmed azungumzia mengi juu ya maisha ya wengi walioathirika na mihadarati kisiwani ZanzibarSikujua wala sikutambua lakini nilipomsikiliza kwa makini ndipo nilipofunguka na kuelewa zaidi juu ya ndugu zetu waliotumbukia bila ya kutegemea katika uvutaji wa madawa ya kelevya, na kwa kweli wanahitaji kupewa msaada mkubwa wa kuwaponyesha na majanga haya.Jiunge nasi kwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSikiliza Audio ya Mahojiano na Ernest Napoleon, Muigizaji wa filamu ya ‘Going Bongo
5 years ago
MichuziSERIKALI KUANZISHA KLINIKI SHIKIZI NNE ZA KUTOLEA HUDUMA ZA METHADONE KWA WAATHIRIKA WA MADAWA YA KULEVYA
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto iko mbioni kuanzisha huduma shikizi za tiba ya methadone kwa waathirika wa madawa ya kulevya ya Heroine.
Hayo yamesemwa na Dkt. Erasmus Mndeme Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Rufaa ya Kitaifa ya Magonjwa ya Akili - Milembe alipokuwa akiwasilisha taarifa ya huduma za tiba kwa waathirika wa madawa ya kulevya kupitia dawa ya methadone na utekelezaji wa majukumu ya Kituo cha kuhudumia...
10 years ago
MichuziSikiliza Audio ya Mahojiano ya Swahilivilla na Mwanamama 'Power Black Nyati 'Jike Jeuri',
9 years ago
Bongo502 Oct
Tekno kwa Diva: Wewe ni msichana mrembo kwanini huna mpenzi?” Sikiliza mahojiano yao ya kuvutia hapa (Audio)
11 years ago
MichuziUZINDUZI WA KAMATI YA KITAALAMU YA TUME YA KURATIBU NA UDHIBITI WA MADAWA YA KULEVYA ZANZIBAR
Na Ramadhan Ali-Maelezo ZANZIBAR Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib Ferej (pichani) amesema juhudi za Serikali ya kuwasogezea wananchi maendeleo hazitokuwa na tija iwapo wimbi la vijana wa Zanzibar watatumika kusafirisha dawa za kulevya na wataendelea kuwa wahanga wa matumizi ya dawa hizo. Amesema hatma ya maendeleo ya Taifa itategemea zaidi vijana wenye mwelekeo mzuri wa tabia na waliojiepusha na matumizi ya mihadharati ambayo inahatarisha afya...
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...
11 years ago
Michuzi07 Aug
Sikiliza Mahojiano na Mtaalamu wa Uchumaji Asumini Bi Kijakazi Hassan
Katika Mahojiano haya na mtaalamu wa utunzaji wa Miasumini Kijakazi Hassan Mustafa ambae ni mkaazi wa Mwembetanga...
11 years ago
GPLMADHARA YA MADAWA YA KULEVYA-2