Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sikiliza Mahojiano na Mtaalamu wa Uchumaji Asumini Bi Kijakazi Hassan

Blog ya Swahilivilla Siku ya Jumamosi July 19 2014 ilifanikiwa kufanya Mahojiano na mtaalamu wa uchumaji wa mauwa ya asumini Alwatan Kijakazi Hassan Mustafa, a.k.a (Kijakazi) ambae alielezeaa mengi kuhusu umuhimu wa Asumini pamoja na utunzani wake.Mtaalamu wa uchumaji asumin Alwatan Kijakazi Hassan Mustafa akiwa katika harakati za uchumaji wa mauwa ya yenye harufu nzuri asumin.
Katika Mahojiano haya na mtaalamu wa utunzaji wa Miasumini Kijakazi Hassan Mustafa ambae ni mkaazi wa Mwembetanga...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mtabiri na mtaalamu wa nyoya Hassan Yahya hussein ajitosa kugombea udiwani kata ya mzimuni, Magomeni, Dar es salaam

Bingwa wa Utabiri nchini na Mtaalamu wa Nyota, hapa nchini ambaye ni  Mrithi na mtoto wa Marehemu Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Leo Amejitosa Rasmi na kuchukua Fomu kuomba Ridhaa  kupeperusha Bendera ya CCM Katika Kata ya Mzimuni akigombea UDIWANI

 

10 years ago

Michuzi

Sikiliza Audio ya Mahojiano na Ernest Napoleon, Muigizaji wa filamu ya ‘Going Bongo

 Cheif wa swahilivilla blog Abou Shatry  na Ernest NapoleonBlog ya swahilivilla imepata furasa ya kufanya mahojiano na muigizaji, muongozaji na muandishi wa  filam ya kwanza Afrika Mashariki kukubalika kuuzwa kupitia iTunes ‘Going Bongo Ernest Napoleon a-filamu-ya-kwanza-afrika-mashariki-kukubalika-kuuzwa-kupitia-itunes-07-2014/Pata filamu hiyo ya kihistoria kwenye iTunes bit.ly/goingbongoitunes ama DVD bit.ly/goingbongodvd. Check trailer hapa bit.ly/goingbongotrailer, share na wenzio.Jiunge...

 

10 years ago

Mwananchi

Mahojiano na Mhe Alhaj Ali Hassan Mwinyi

Katika mahojiano yake na mwandishi wa habari yaliyofanyika tarehe 11/05/2015 kuhusu Kiswahili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alisema kuwa inaaminika kuwa Kiswahili ni lugha ya asili ya Afrika. Hii ni lugha inayozungumzwa na watu wengi zaidi kusini mwa Jangwa la Sahara.

 

11 years ago

Michuzi

Sikiliza Audio ya Mahojiano ya Swahilivilla na Mwanamama 'Power Black Nyati 'Jike Jeuri',

Karibuni katika kusikiliza AUDIO ya Mahojiano na Mwanamama Maisara Juma Salah a.k.a Power Black Nyati 'Jike Jeuri', Kiboko wa Wanaume aeleza mengi kuhusu utumiaji wa nguvu zake, kama kuzuwia pikipiki kwa nyele, ubebaji mfuko wa saruji kwa meno, pamoja na kumbeba mwanamke kwa mkono wake mmoja ama kupasuliwa Jiwe kwenye kifua chake.Baada ya kuwatoa 'knock out' mabaunsa wawili, ilibidi aongezeke mwingine wawe watatu lakini bado walishindwa kupeleka kidole cha Jike Jeuri' chini wakati akifanya...

 

11 years ago

Vijimambo

Sikiliza AUDIO ya Mahojiano na Ahmed Mngazija ambae ni mmoja kati ya waathirika wa madawa ya kulevya Zanzibar

Haya ni MAHOJIANO na Ahmed Mngazija a.k.a (Pongonyongo) jinsi alivyojiingiza bila ya kutegemea katika janga la madawa ya kulevya. Ahmed azungumzia mengi juu ya maisha ya wengi walioathirika na mihadarati kisiwani ZanzibarSikujua wala sikutambua lakini nilipomsikiliza kwa makini ndipo nilipofunguka na kuelewa zaidi juu ya ndugu zetu waliotumbukia bila ya kutegemea katika uvutaji wa madawa ya kelevya, na kwa kweli wanahitaji kupewa msaada mkubwa wa kuwaponyesha na majanga haya.Jiunge nasi kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano na Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi kuhusu KISWAHILI

Kiswahili inaaminika kuwa lugha asili ya Afrika inayozungumzwa na watu wengi zaidi kusini mwa jangwa la Sahara.
Ni lugha ya taifa kwa nchi za Kenya na Tanzania na pia yazungumzwa kwenye nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Burundi, Rwanda, Uganda, Visiwa vya Comoro na nchi nyingine
Ikizungumzwa na watu wanaokadiriwa kufikia milioni 100 hivi sasa, Kiswahili ndio lugha pekee ya kiAfrika iliyo miongoni mwa lugha rasmi za Umoja wa Afrika.
Ni lugha muhimu katika habari, shule, kazi za...

 

10 years ago

Vijimambo

Prof Lipumba ndani ya Rwanda kigali sikiliza mahojiano haya kifupi anasema baada ya kuulizwa swali na mwandishi



Swali: Prof kujiuzuru kwako uenyekiti CUF kunahusishwa na wewe kutumika na CCM kuisambaratisha UKAWA,je ni kweli?majibu kifupi toka kwa Prof Lipumba."...kwanza sijakimbia nyumbani ila nitarudi baada ya wiki moja nipo hapa Kigali nafanya uchunguzi je nijinsi gani Tanzaia inaweza kujifunza toka na maendeleo wanayo yapata Rwanda...
Siwezi kutumika na CCM ila mimi na Dk Slaa na Mbatia tulikutana nyumbani kwangu na kukubaliana kuwa Dk Slaa ndio awe Mgombea urais wa Ukawa
sasa chakushangaza safari...

 

10 years ago

Bongo5

Tekno kwa Diva: Wewe ni msichana mrembo kwanini huna mpenzi?” Sikiliza mahojiano yao ya kuvutia hapa (Audio)

Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM kinachoendeshwa na Diva The Bawse kimeendelea kuvuka boda. Siku za hivi karibuni mtangazaji huyo maarufu amekuwa akihoji wasanii wengi wa nje ya Tanzania wakiwemo Iyanya, Patoranking, Maurice Kirya na sasa amezungumza na hitmaker wa Duro, Tekno Miles wa Nigeria. Kwenye mahojiano hayo Diva amemuuliza staa huyo kuhusu […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani