Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof Lipumba ndani ya Rwanda kigali sikiliza mahojiano haya kifupi anasema baada ya kuulizwa swali na mwandishi



Swali: Prof kujiuzuru kwako uenyekiti CUF kunahusishwa na wewe kutumika na CCM kuisambaratisha UKAWA,je ni kweli?majibu kifupi toka kwa Prof Lipumba."...kwanza sijakimbia nyumbani ila nitarudi baada ya wiki moja nipo hapa Kigali nafanya uchunguzi je nijinsi gani Tanzaia inaweza kujifunza toka na maendeleo wanayo yapata Rwanda...
Siwezi kutumika na CCM ila mimi na Dk Slaa na Mbatia tulikutana nyumbani kwangu na kukubaliana kuwa Dk Slaa ndio awe Mgombea urais wa Ukawa
sasa chakushangaza safari...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MKUTANO WA PROF. LIPUMBA WAHAIRISHWA BAADA YA WANACHAMA KUZINGIRA OFISI YA CHAMA HICHO

Ilikuwa leo Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim azungumze na Wanahabari asubuhi hii ila mkutano huo umehairishwa hadi siku nyingine tena. Wananchi wa chama cha wananchi CUF wamezingira ofisi za chama hicho wakiongozwa na wazee wakitaka kujua hatima ya wenyekiti wao Prof.Ibrahim Lipumba aliyedawai kutaka kujiuzulu.Magdalena Sakaya ameulizwa Prof. Lipumba alitaka kuzungumza nini na akajibu wao hawajui kitu alichotaka kuwaambia wananchi Sababu kubwa ya kusitishwa mkutano, Magdalena amesema Wazee wa...

 

10 years ago

Vijimambo

UNANINI CHA KUSEMA JUU YA MANENO HAYA YA PROF ANNA TIBAIJUKA KWA WAPIGA KULA WAKE BAADA KUZOMEWA MBELE YA KINANA HUKO BUKOBA.

JE mnachuliaje uamuzi alichokua Mbunge wa Muleba Kusini (CCM) na aliewahi kuwa waziri wa Ardhi nyumba na makazi, Profesa Anna Tibaijuka jana baada ya kuzomewa mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, ambapo alisema haya“Kama hamnitaki siyo lazima niwe mbunge wenu, mnaruhusiwa kubadili. Huyo aliyewapa viroba asubuhi hii ili mje mnitie aibu mbele ya katibu mkuu wa chama nawaambia hiyo dhambi itawatafuna,” alisema. “Mimi sitafuti kazi na wala sina njaa... na kama hela ya kula ninayo....

 

10 years ago

Raia Tanzania

Profesa Lipumba aibukia Kigali

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unawanyima demokrasia wananchi kwa kuwa watakuwa na wagombea urais wawili kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Akizungumza na kituo cha runinga cha Azam juzi baada ya vyombo kadhaa vya habari kuandika uvumi kwamba ametoweka nchini kwa shinikizo huku akiwa amefadhaika, Profesa Lipumba alikanusha taarifa hizo na kuonyesha masikitiko yake jinsi Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa)...

 

9 years ago

Bongo5

Video: R.Kelly aondoka katikati ya Interview baada ya kuulizwa maswali ‘negative’

r-kelly-huffpost

Hakuna msanii ambaye huwa anapenda kuulizwa maswali ‘negative’ anapokuwa kwenye mahojiano ya redio au televisheni hasa kama ni kipindi anacho-promote wimbo au album mpya.

R.kelly interview

Jumatatu wiki hii (Dec 21) , R.Kelly ambaye alikuwa ana-promote album mpya ‘Buffet’ aliyoachia hivi karibuni alijikuta akikatisha mahojiano aliyokuwa akifanyiwa na mtangazaji Caroline Modarressy-Tehrani wa Huffington Post Live.

Hali ilichafuka dakika chache toka mahojiano yaanze baada ya mtangazaji kumuuliza maswali...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

Sikiliza Mahojiano na Mtaalamu wa Uchumaji Asumini Bi Kijakazi Hassan

Blog ya Swahilivilla Siku ya Jumamosi July 19 2014 ilifanikiwa kufanya Mahojiano na mtaalamu wa uchumaji wa mauwa ya asumini Alwatan Kijakazi Hassan Mustafa, a.k.a (Kijakazi) ambae alielezeaa mengi kuhusu umuhimu wa Asumini pamoja na utunzani wake.Mtaalamu wa uchumaji asumin Alwatan Kijakazi Hassan Mustafa akiwa katika harakati za uchumaji wa mauwa ya yenye harufu nzuri asumin.
Katika Mahojiano haya na mtaalamu wa utunzaji wa Miasumini Kijakazi Hassan Mustafa ambae ni mkaazi wa Mwembetanga...

 

10 years ago

Michuzi

Sikiliza Audio ya Mahojiano na Ernest Napoleon, Muigizaji wa filamu ya ‘Going Bongo

 Cheif wa swahilivilla blog Abou Shatry  na Ernest NapoleonBlog ya swahilivilla imepata furasa ya kufanya mahojiano na muigizaji, muongozaji na muandishi wa  filam ya kwanza Afrika Mashariki kukubalika kuuzwa kupitia iTunes ‘Going Bongo Ernest Napoleon a-filamu-ya-kwanza-afrika-mashariki-kukubalika-kuuzwa-kupitia-itunes-07-2014/Pata filamu hiyo ya kihistoria kwenye iTunes bit.ly/goingbongoitunes ama DVD bit.ly/goingbongodvd. Check trailer hapa bit.ly/goingbongotrailer, share na wenzio.Jiunge...

 

11 years ago

TheCitizen

M23 recruits in Rwanda as Kigali says report ‘flawed’

>The UN Security Council brushed aside Rwandan protests to release a report Thursday saying Democratic Republic of Congo rebels are recruiting fighters inside Rwanda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani