Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Update: Octopizzo azungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kudanganya kumshirikisha August Alsina, sikiliza alichojibu (Audio)

Octopizzo anaendelea kutawala vichwa vya habari Afrika Mashariki, kitu ambacho ndio lengo lake haswa kwasababu inampa ‘kiki’ hasa wakati huu ambao ameachia video mpya. Kinachomfanya azidi kuzungumziwa ni kuhusu swala la wimbo ambao mwanzo alidai amefanya na August Alsina mpaka uongozi wa msanii huyo ulipokuja kukanusha, na ukapatikana ushahidi wa wimbo mwingine unaofanana na huo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Octopizzo hakudanganya tu kumshirikisha August Alsina, upo ushahidi hata wimbo ‘This Could Be Us’ ameuiba!

Rapper wa Kenya Octopizzo anazidi kuumbuka kutokana na wimbo wake wa ‘This Could Be us’ ambao hapo awali alidai kuwa amemshirikisha staa wa Marekani, August Alsina. Baada ya uongozi wa August kukanusha msanii wao hakushirikishwa kwenye wimbo huo, lilibaki fumbo la ile sauti kwenye ya kiitikio ni ya nani kama si muimbaji huyo wa Marekani, […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Octopizzo aachia video ya wimbo aliomshirikisha staa wa Marekani, August Alsina

Rapper anayeiwakilisha Afrika Mashariki, Octoppizo kutoka Kenya ameachia rasmi video ya wimbo wake uliovuja mwaka jana “This Could Be Us”, ambao amemshirikisha mwimbaji wa R&B kutoka Marekani, August Alsina. Habari mbaya kwa mashabiki waliokuwa na hamu ya kumuona August Alsina katika video hii ni kuwa, kwa bahati mbaya mtaisikia sauti yake tu kwasababu hajaonekana katika […]

 

9 years ago

Bongo5

Khloe Kardashian azungumza kwa mara ya kwanza toka Lamar Odom apate matatizo

Mdogo wake Kim Kardashian, Khloe amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza toka aliyekuwa mume wake, mcheza kikapu wa Marekani Lamar Odom kupata matatizo ya afya baada ya kudaiwa kutumia kiasi kikubwa cha Cocaine. Khloe ambaye amekuwa hospitali akimuangalia Lamar muda mwingi toka alipolazwa, ametumia website yake kuwashukuru mashabiki, marafiki na familia kwa support […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Jokate Mwegelo Afunguka kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Uhusiano Wake na Alikiba

Wengi wanaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba kwasasa ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi. Tetesi na hisia juu ya wawili hao kuzama kwenye dimbwi la mahaba zinachangiwa na picha zao kadhaa zinazoenea kwenye mtandao picha wa Instagram.

Lakini hatimaye Jokate amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia mahojiano yake na Global TV. “Ni kwasababu Alikiba anapenda sana muziki na anajua muziki na anajua style mbalimbali.

Halafu ukitaka kuwa the best you obviously need to be...

 

9 years ago

Bongo5

Video: August Alsina akosolewa kwa kitendo cha kumpapasa ‘nyonyo’ shabiki wa kike jukwaani

Mwimbaji wa R&B wa Marekani, August Alsina amekosolewa na mashabiki wengi kwa kitendo cha kumpapasa matiti shabiki wa kike jukwaani mbele ya umati mkubwa tena bila ridhaa yake. Weekend iliyopita Ijumaa ya Sept.25, Alsina alitumbuiza kwenye tamasha la Freebandz Music Fest huko Baton Rouge. Akiwa jukwaani alimuita shabiki wa kike na kuendelea kufanya show huku […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: August Alsina — Song Cry

Msanii wa muziki wa R&B Marekani, August Alsina amechia wimbo wake mpya unaitwa “Song Cry”. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: August Alsina – Song Cry

august-song-cry2

Mwanamuziki wa R&B August Alsina ametoa video mpya ya wimbo “Song Cry” kutoka kwenye albamu yake ya pili “This Thing Called Life” iliyozinduliwa Desemba 11 mwaka huu.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: August Alsina Ft. Lil Wayne — Why I Do It

August Alsina reunites with fellow New Orleans native Lil Wayne for his latest single “Why I Do It.” It’s got a butter-soft, horn-driven instrumental that matches Alsina’s smooth R&B vocals. As for Wayne’s verse, he may have just come up with the new “fanute” when he tells us to stop “boogling” on him. Try getting […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani