Jokate Mwegelo Afunguka kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Uhusiano Wake na Alikiba
Wengi wanaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba kwasasa ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi. Tetesi na hisia juu ya wawili hao kuzama kwenye dimbwi la mahaba zinachangiwa na picha zao kadhaa zinazoenea kwenye mtandao picha wa Instagram.
Lakini hatimaye Jokate amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia mahojiano yake na Global TV. “Ni kwasababu Alikiba anapenda sana muziki na anajua muziki na anajua style mbalimbali.
Halafu ukitaka kuwa the best you obviously need to be...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Aunt Ezekiel afunguka kuhusu uhusiano wake na Waziri Nyalandu
Umewahi kusikia mwigizaji Aunt Ezekiel akihusishwa na uhusiano na Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu? Basi mwigizaji huyo amefunguka na kuwajia juu wale wote wanaomchafua na kudai kuwa hakuna kama baba wa mtoto wake Mose Iyobo.
9 years ago
VijimamboBenard Membe Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Kuanguka Mbio za Urais- CCM
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amefunguka kwa mara ya kwanza na kuweka wazi kilichotokea mjini Dodoma na kusababisha ashindwe katika uteuzi wa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Membe amekuwa kada wa tatu kueleza hadharani jinsi uteuzi huo ulivyoendeshwa ambao Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, aliibuka kidedea kati ya makada 42 waliojitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa.Makada wengine waliojitokeza hadharani kuelezea mchakato huo ni...
9 years ago
Bongo514 Sep
AY akutana na mdogo wake kwa mara kwanza baada ya miaka 16
Rapper Ambwene Yessayah aka AY amekutana na mdogo wake wa kiume kwa mara ya kwanza baada ya miaka 16. AY ameiambia 255 ya XXL kupitia Clouds FM kuwa kuonana na mdogo wake huyo kunaenda sambamba na siku ambayo baba yake mzee Yessayah anatimiza miaka 12 toka afariki dunia. “Tulikuwa hatujawahi kuwasiliana na wala kuongea kwenye […]
10 years ago
GPLFLORA MVUNGI AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA DUDE
Tunamalizia makala haya tuliyoyaanza wiki iliyopita. Flora amefunguka mengi yahusuyo safari yake ya kisanaa!
ENDELEA… UHUSIANO NA DUDE
Mwandishi: Kuna tetesi kwamba ulikuwa na uhusiano na Dude na alitaka akuoe?
Flora: Dude namheshimu sana na mara nyingi alikuwa ananipenda kwa sababu nilikuwa mtiifu sana kwake naona ndiyo sababu ya watu kuzungumza maneno hayo. Sikuwahi kufikiria kuolewa na Dude au kuwa na uhusiano...
5 years ago
MichuziKIWANDA KURUDISHA SHUKRANI KWA RAIS MAGUFULI KWA KUGAWA CHAKI BURE ...DC JOKATE MWEGELO ATOA NENO
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani Jokate Mwegelo(aliyevaa nguo nyekundu),Katibu Tawala wa wilaya hiyo Tella Mwampamba(kulia) wakiwa na baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa kiwanda cha kutengeneza chaki cha Mkongoma General Supply Ltd wakishuhudia taa zikiwaka baada ya Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) wilayani humo kupeleka umeme katka kiwanda hicho.
Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Mkongoma General Supply Ltd Geoffrey Mkongoma (kulia) akifafanua jambo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania