FLORA MVUNGI AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA DUDE
![](http://api.ning.com:80/files/klmPPeYfCPg-wCpnv2ZYWcjzMGME2LbvZuP24B0qG8FJxE*JbaA7IN2onkz*6Ri6I1nScvX1U9B8MbSMaB3oJ0W0SilmL9dh/flora60.jpg)
Tunamalizia makala haya tuliyoyaanza wiki iliyopita. Flora amefunguka mengi yahusuyo safari yake ya kisanaa! ENDELEA… UHUSIANO NA DUDE Mwandishi: Kuna tetesi kwamba ulikuwa na uhusiano na Dude na alitaka akuoe? Flora: Dude namheshimu sana na mara nyingi alikuwa ananipenda kwa sababu nilikuwa mtiifu sana kwake naona ndiyo sababu ya watu kuzungumza maneno hayo. Sikuwahi kufikiria kuolewa na Dude au kuwa na uhusiano...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo526 Sep
H.Baba na mke wake Flora Mvungi watapeana tuzo Jumamosi hii
10 years ago
Bongo519 Jan
H.Baba na mke wake Flora Mvungi wanatarajia kupata mtoto wa pili
10 years ago
CloudsFM08 Apr
Nay Wa Mitego afunguka uhusiano wake na Shamsa Ford
Staa wa Bongo Fleva,Elibarik Emmanuel ‘Nay Wa Mitego’amefunguka uhusiano wake na mwigizaji wa filamu za Kibongo,Shamsa Ford baada ya picha kadhaa kuzagaa mtandaoni wakiwa kimahaba wakipigana mabusu.Akipiga Stori na Clouds Fm alisema kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yoyote kwa sasa siyo tu Shamsa Ford, na nafasi ipo kwa yoyote anatakayekubali kuwa mpenzi wake.
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Aunt Ezekiel afunguka kuhusu uhusiano wake na Waziri Nyalandu
9 years ago
Bongo502 Nov
Wilfred Zaha afunguka kuhusiana na uhusiano wake na binti wa David Moyes
![article-3297483-2DF6117C00000578-956_308x310](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/article-3297483-2DF6117C00000578-956_308x310-94x94.jpg)
10 years ago
Bongo Movies09 Jun
Jokate Mwegelo Afunguka kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Uhusiano Wake na Alikiba
Wengi wanaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba kwasasa ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi. Tetesi na hisia juu ya wawili hao kuzama kwenye dimbwi la mahaba zinachangiwa na picha zao kadhaa zinazoenea kwenye mtandao picha wa Instagram.
Lakini hatimaye Jokate amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia mahojiano yake na Global TV. “Ni kwasababu Alikiba anapenda sana muziki na anajua muziki na anajua style mbalimbali.
Halafu ukitaka kuwa the best you obviously need to be...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz61mtUTz9nD1KEnSjyJcN5-XP71nTWmkMQWKBqdImnp28FrxBbHG1U*YlvRqtMCB9ylOJUvJcMylsToEEssBdg52/flora.jpg)
FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Flora Mvungi: Sijabahatisha
NYOTA wa filamu za Kibongo ‘Bongo Movie’ aliyegeukia muziki wa Bongo Fleva, Flora Mvungi, amesema hajaingia katika tasnia ya muziki huo kwa kubahatisha, kwani alianza kuimba kabla watu hawajamfahamu kupitia...