Wilfred Zaha afunguka kuhusiana na uhusiano wake na binti wa David Moyes
Kiungo wa Crystal Palace, Wilfred Zaha amefunguka na kusema hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti wa aliyekuwa kocha wa Manchester United, David Moyes. Zaha amesema hayo alipohojiwa na Sportsmail na kusema, hajawahi hata kukutana na Lauren ambaye alizushiwa kwamba alikuwa na uhusiano naye kimapenzi, hali iliyosababisha Moyes kutompanga kwenye mechi kibao. Hata hivyo, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBC02 Apr
Ivory Coast international winger Wilfred Zaha shares a health message about coronavirus.
9 years ago
Bongo531 Dec
David Moyes ametoa mtazamo wake kuhusu kocha Louis van Gaal
![2FAFDCED00000578-3379123-David_Moyes_has_placed_his_support_behind_Manchester_United_bele-a-108_1451493821789](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2FAFDCED00000578-3379123-David_Moyes_has_placed_his_support_behind_Manchester_United_bele-a-108_1451493821789-300x194.jpg)
Kocha wa zamani wa Everton na Manchester United, David Moyes ameeleza mtazamo wake kuhusu kocha wa sasa wa United Louis van Gaal. David Moyes amesema Van Gaal anastahili kupewa muda zaidi huku akiamini kuwa Manchester United inaweza kuzoa mafanikio chini ya Mdachi huyo.
Mashabiki wa United tayari wamepoteza imani kwa Van Gaal huku wakishuhudia klabu yao iliyokosa soka la kuburudisha ikifunga magoli 13 tu msimu huu kwenye Premier League. Lakini licha ya shutuma za mashabiki na wachambuzi wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/klmPPeYfCPg-wCpnv2ZYWcjzMGME2LbvZuP24B0qG8FJxE*JbaA7IN2onkz*6Ri6I1nScvX1U9B8MbSMaB3oJ0W0SilmL9dh/flora60.jpg)
FLORA MVUNGI AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA DUDE
10 years ago
CloudsFM08 Apr
Nay Wa Mitego afunguka uhusiano wake na Shamsa Ford
Staa wa Bongo Fleva,Elibarik Emmanuel ‘Nay Wa Mitego’amefunguka uhusiano wake na mwigizaji wa filamu za Kibongo,Shamsa Ford baada ya picha kadhaa kuzagaa mtandaoni wakiwa kimahaba wakipigana mabusu.Akipiga Stori na Clouds Fm alisema kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yoyote kwa sasa siyo tu Shamsa Ford, na nafasi ipo kwa yoyote anatakayekubali kuwa mpenzi wake.
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Aunt Ezekiel afunguka kuhusu uhusiano wake na Waziri Nyalandu
10 years ago
Bongo Movies09 Jun
Jokate Mwegelo Afunguka kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Uhusiano Wake na Alikiba
Wengi wanaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba kwasasa ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi. Tetesi na hisia juu ya wawili hao kuzama kwenye dimbwi la mahaba zinachangiwa na picha zao kadhaa zinazoenea kwenye mtandao picha wa Instagram.
Lakini hatimaye Jokate amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia mahojiano yake na Global TV. “Ni kwasababu Alikiba anapenda sana muziki na anajua muziki na anajua style mbalimbali.
Halafu ukitaka kuwa the best you obviously need to be...
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
Rekodi ya David Moyes
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
David Moyes atimuliwa na Manchester U