David Moyes atimuliwa na Manchester U
Mkufunzi mkuu na meneja wa klabu ya Manchester United David Moyes ametimuliwa baada ya kushikilia usukani kwa miezi 10
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog23 Apr
David Moyes atimuliwa rasmi na Manchester United
Moyes amekuwa na Man U kwa miezi kumi pekee
Na Mwandishi Wetu
MKUFUNZI Mkuu na Meneja wa Klabu kongwe duniani Manchester United David Moyes ametimuliwa rasmi na klabu kutokana na kufanya vibaya baada ya kushikilia usukani wa klabu hiyo kwa miezi kumi tu.
Klabu hiyo hapo awali ilikuwa imekataa kuzungumzia udaku wa magazeti ya Uingereza kwamba Moyes atafutwa kazi kabla ya msimu kumalizika mwaka huu.
Moyes, mwenye umri wa miaka 50, aliteuliwa na Ferguson kumrithi alipostaafu mwaka jana...
9 years ago
Bongo510 Nov
David Moyes atimuliwa kama kocha wa Real Sociedad
![Moyes2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Moyes2-300x194.jpg)
David Moyes ametimuliwa kama kocha wa klabu ya Real Sociedad ya Hispania, mwaka mmoja baada ya kuinoa.
Kocha huyo mwenye miaka 52 aliyefanya timu yake imalize msimu uliopita wa ligi ya La Liga katika nafasi ya 12, alijiunga nayo November 2014.
Maelezo kutoka Sociedad yamedai kuwa imeamua kuusitisha mkataba wa Moyes. Kocha msaidizi, Billy McKinlay naye amefungashiwa virago.
Moyes alichukuliwa na Sociedad baada ya kutimuliwa kama kocha wa Manchester United April 2014.
Jiunge na Bongo5.com...
11 years ago
Michuzi21 Apr
David Moyes: Manchester United 'no comment' on boss reports
![Moyes and Manchester United's turbulent season](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/73242000/jpg/_73242403_474853041.jpg)
Manchester United say David Moyes has not been sacked but declined to comment when asked about the manager's longer-term future.
National newspapers say the club will dispense with the Scot's services following a poor season. However a United spokesperson would only confirm Moyes has not been sacked. When pressed on whether the manager would leave before the end of the season, the spokesperson added, "we do not comment on speculation". None of the newspapers are...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MOYES ATIMULIWA NA MAN UNITED
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
Rekodi ya David Moyes
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
David Moyes afutwa kazi Real Sociedad
9 years ago
StarTV10 Nov
David Moyes atupiwa virago Real Sociedad.
Kufuatia matokeo mbaya ya klabu ya Real Sociedad kwenye ligi kuu ya Hispania La liga , kocha David Moyes ametupiwa virago ikiwa ni siku moja aadhimishe mwaka mmoja ndani ya klabu hiyo.
Moyes mwenye miaka 52 aliyechukua wadhifa huo Novemba 10 2014 na kuiwezesha timu ya Real Sociedad kushikam nafasi ya 12 msimu uliopita,mambo yamekuwa magumu msimu huu baada ya kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Las Palmas jumamosi iliyopita.
Mtandao wa klabu hiyo umesema kuwa umefikia uamuzi wa kusitisha ajira ya...
10 years ago
Bongo503 Nov
David Moyes kuwa kocha wa Real Sociedad ya Hispania?
10 years ago
Bongo511 Nov
David Moyes akamata kazi ya kuinoa Real Sociedad