David Moyes kuwa kocha wa Real Sociedad ya Hispania?
Klabu ya Hispania, Real Sociedad imemfukuza kocha wao Jagoba Arrasate siku ya Jumapili baada ya kufungwa na Malaga siku ya Jumamosi. Chaguo lao la kwanza kuziba nafasi hiyo ni kocha wa zamani wa Manchester United na Everton, David Moyes. Moyes kwa sasa yupo nchini Qatar, ambapo anafanya kazi BeIN Sports, na inaeleweka kuwa anafikiria nafasi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Nov
David Moyes atimuliwa kama kocha wa Real Sociedad
![Moyes2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Moyes2-300x194.jpg)
David Moyes ametimuliwa kama kocha wa klabu ya Real Sociedad ya Hispania, mwaka mmoja baada ya kuinoa.
Kocha huyo mwenye miaka 52 aliyefanya timu yake imalize msimu uliopita wa ligi ya La Liga katika nafasi ya 12, alijiunga nayo November 2014.
Maelezo kutoka Sociedad yamedai kuwa imeamua kuusitisha mkataba wa Moyes. Kocha msaidizi, Billy McKinlay naye amefungashiwa virago.
Moyes alichukuliwa na Sociedad baada ya kutimuliwa kama kocha wa Manchester United April 2014.
Jiunge na Bongo5.com...
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
David Moyes afutwa kazi Real Sociedad
9 years ago
StarTV10 Nov
David Moyes atupiwa virago Real Sociedad.
Kufuatia matokeo mbaya ya klabu ya Real Sociedad kwenye ligi kuu ya Hispania La liga , kocha David Moyes ametupiwa virago ikiwa ni siku moja aadhimishe mwaka mmoja ndani ya klabu hiyo.
Moyes mwenye miaka 52 aliyechukua wadhifa huo Novemba 10 2014 na kuiwezesha timu ya Real Sociedad kushikam nafasi ya 12 msimu uliopita,mambo yamekuwa magumu msimu huu baada ya kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Las Palmas jumamosi iliyopita.
Mtandao wa klabu hiyo umesema kuwa umefikia uamuzi wa kusitisha ajira ya...
10 years ago
Bongo511 Nov
David Moyes akamata kazi ya kuinoa Real Sociedad
9 years ago
Dewji Blog10 Nov
Real Sociedad wamtimua kazi Moyes
Kocha wa zamani wa Real Sociedad, David Moyes.
Kocha mpya wa Real Sociedad, Eusebio Sacristan.
Rais wa Real Sociedad, Jokin Aperribay.
Na Rabbi Hume
Kocha wa zamani wa Manchester United na Everton, David Moyes amefukuzwa kazi kutoka katika klabu ya Real Sociedad baada ya kupokea kichapo cha goli mbili(2) kwa bila kutoka Las Palmas.
Habari za kufukuzwa kwa kocha huyo zilisambaa katika mitandao ya kijamii tangu jana baada ya kufungwa na Las Palmas lakini hakukuwa na taarifa kamili hadi...
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika …
Baada ya kuwepo na tetesi za muda mrefu kuhusu uongozi wa klabu ya Real Madrid kutoridhishwa na mwenendo wa timu yao January 4, umetangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Rafael Benitez. Real Madrid walitangaza kumfuta kazi Benitez na Zidane kutajwa kurithi nafasi hiyo kwa muda hadi mwisho wa msimu. Kufuatia kuteuliwa kwa Zidane […]
The post Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika … appeared first on...
9 years ago
Bongo505 Jan
David Beckham aonesha furaha yeke ya Zidane kuteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, huu ndo ujumbe alio andika
![1704013-36078683-2560-1440](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/1704013-36078683-2560-1440-300x194.jpg)
Baada ya klabu ya Real Madrid kutangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Rafael Benitez. Real Madrid walitangaza kumfuta kazi Benitez na Zidane kutajwa kurithi nafasi hiyo kwa muda hadi mwisho wa msimu.
Mchezaji mwenzake wa zamani David Beckham hakuweza kuficha kuonesha furaha yake kwa kupost picha yao ya zamani na ujumbe wenye kuoneshwa kufurahishwa na nguli huyo wa kifaransa kuchukua mikoba hiyoo.
“Unaweza kumpata mtu bora zaidi yake? mtu ambaye alikuwa bora kiwanjani na...
9 years ago
Bongo531 Dec
David Moyes ametoa mtazamo wake kuhusu kocha Louis van Gaal
![2FAFDCED00000578-3379123-David_Moyes_has_placed_his_support_behind_Manchester_United_bele-a-108_1451493821789](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2FAFDCED00000578-3379123-David_Moyes_has_placed_his_support_behind_Manchester_United_bele-a-108_1451493821789-300x194.jpg)
Kocha wa zamani wa Everton na Manchester United, David Moyes ameeleza mtazamo wake kuhusu kocha wa sasa wa United Louis van Gaal. David Moyes amesema Van Gaal anastahili kupewa muda zaidi huku akiamini kuwa Manchester United inaweza kuzoa mafanikio chini ya Mdachi huyo.
Mashabiki wa United tayari wamepoteza imani kwa Van Gaal huku wakishuhudia klabu yao iliyokosa soka la kuburudisha ikifunga magoli 13 tu msimu huu kwenye Premier League. Lakini licha ya shutuma za mashabiki na wachambuzi wa...
10 years ago
BBCSwahili11 Nov
Sociedad wamwita Moyes