Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


David Moyes atimuliwa kama kocha wa Real Sociedad

Moyes2

David Moyes ametimuliwa kama kocha wa klabu ya Real Sociedad ya Hispania, mwaka mmoja baada ya kuinoa.

Moyes2

Kocha huyo mwenye miaka 52 aliyefanya timu yake imalize msimu uliopita wa ligi ya La Liga katika nafasi ya 12, alijiunga nayo November 2014.

Maelezo kutoka Sociedad yamedai kuwa imeamua kuusitisha mkataba wa Moyes. Kocha msaidizi, Billy McKinlay naye amefungashiwa virago.

Moyes alichukuliwa na Sociedad baada ya kutimuliwa kama kocha wa Manchester United April 2014.

Jiunge na Bongo5.com...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

David Moyes kuwa kocha wa Real Sociedad ya Hispania?

Klabu ya Hispania, Real Sociedad imemfukuza kocha wao Jagoba Arrasate siku ya Jumapili baada ya kufungwa na Malaga siku ya Jumamosi. Chaguo lao la kwanza kuziba nafasi hiyo ni kocha wa zamani wa Manchester United na Everton, David Moyes. Moyes kwa sasa yupo nchini Qatar, ambapo anafanya kazi BeIN Sports, na inaeleweka kuwa anafikiria nafasi […]

 

9 years ago

BBCSwahili

David Moyes afutwa kazi Real Sociedad

David Moyes amefutwa kazi kama meneja wa klabu ya Real Sociedad, siku moja kabla yake kuadhimisha mwaka mmoja katika klabu hiyo.

 

9 years ago

StarTV

David Moyes atupiwa virago  Real Sociedad.

Kufuatia matokeo mbaya ya klabu ya Real Sociedad kwenye ligi kuu ya Hispania La liga , kocha David Moyes ametupiwa virago ikiwa ni siku moja aadhimishe mwaka mmoja ndani ya klabu hiyo.

Moyes mwenye miaka 52  aliyechukua wadhifa huo  Novemba 10 2014 na kuiwezesha timu ya Real Sociedad kushikam nafasi ya 12 msimu uliopita,mambo yamekuwa magumu msimu huu baada ya kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Las Palmas jumamosi iliyopita.

Mtandao wa klabu hiyo umesema kuwa umefikia uamuzi wa kusitisha ajira ya...

 

10 years ago

Bongo5

David Moyes akamata kazi ya kuinoa Real Sociedad

Kocha wa zamani wa Manchester, David Moyes ametajwa kuwa meneja mpya wa klabu ya Hispania, Real Sociedad. Hiyo ya kwanza tangia atimuliwe kama meneja wa United mwezi April mwaka huu baada ya kufanya kazi kwa miezi 10. Moyes amechukua nafasi ya Jagoba Arrasate, aliyeachishwa kazi na Sociedad kutokana na kuwa na matokeo mabaya. Raia huyo […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Real Sociedad wamtimua kazi Moyes

David-Moyes-First-Real-Sociedad-training

Kocha wa zamani wa Real Sociedad, David Moyes.

Kocha mpya wa Real Sociedad, Eusebio Sacristan

Kocha mpya wa Real Sociedad, Eusebio Sacristan.

aperribay-da-pistas-sobre-la-real-2015-16

Rais wa Real Sociedad, Jokin Aperribay.

Na Rabbi Hume

Kocha wa zamani wa Manchester United na Everton, David Moyes amefukuzwa kazi kutoka katika klabu ya Real Sociedad baada ya kupokea kichapo cha goli mbili(2) kwa bila kutoka Las Palmas.

Habari za kufukuzwa kwa kocha huyo zilisambaa katika mitandao ya kijamii tangu jana baada ya  kufungwa na Las Palmas lakini hakukuwa na taarifa kamili hadi...

 

11 years ago

BBCSwahili

David Moyes atimuliwa na Manchester U

Mkufunzi mkuu na meneja wa klabu ya Manchester United David Moyes ametimuliwa baada ya kushikilia usukani kwa miezi 10

 

11 years ago

Dewji Blog

David Moyes atimuliwa rasmi na Manchester United

_67490240_165110124

 

Moyes amekuwa na Man U kwa miezi kumi pekee

Na Mwandishi Wetu

MKUFUNZI Mkuu na Meneja wa Klabu kongwe duniani Manchester United David Moyes ametimuliwa rasmi na klabu kutokana na kufanya vibaya baada ya kushikilia usukani wa klabu hiyo kwa miezi kumi tu.  

Klabu hiyo hapo awali ilikuwa imekataa kuzungumzia udaku wa magazeti ya Uingereza kwamba Moyes atafutwa kazi kabla ya msimu kumalizika mwaka huu.

Moyes, mwenye umri wa miaka 50, aliteuliwa na Ferguson kumrithi alipostaafu mwaka jana...

 

9 years ago

Bongo5

David Moyes ametoa mtazamo wake kuhusu kocha Louis van Gaal

2FAFDCED00000578-3379123-David_Moyes_has_placed_his_support_behind_Manchester_United_bele-a-108_1451493821789

Kocha wa zamani wa Everton na Manchester United, David Moyes ameeleza mtazamo wake kuhusu kocha wa sasa wa United Louis van Gaal. David Moyes amesema Van Gaal anastahili kupewa muda zaidi huku akiamini kuwa Manchester United inaweza kuzoa mafanikio chini ya Mdachi huyo.

2FAFDCED00000578-3379123-David_Moyes_has_placed_his_support_behind_Manchester_United_bele-a-108_1451493821789

Mashabiki wa United tayari wamepoteza imani kwa Van Gaal huku wakishuhudia klabu yao iliyokosa soka la kuburudisha ikifunga magoli 13 tu msimu huu kwenye Premier League. Lakini licha ya shutuma za mashabiki na wachambuzi wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sociedad wamwita Moyes

Kocha wa zamani wa timu ya Manchester United David Moyes ametajwa kuwa meneja mpya wa timu ya kutoka Hispania,Real Sociedad.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani