David Moyes atimuliwa rasmi na Manchester United
Moyes amekuwa na Man U kwa miezi kumi pekee
Na Mwandishi Wetu
MKUFUNZI Mkuu na Meneja wa Klabu kongwe duniani Manchester United David Moyes ametimuliwa rasmi na klabu kutokana na kufanya vibaya baada ya kushikilia usukani wa klabu hiyo kwa miezi kumi tu.
Klabu hiyo hapo awali ilikuwa imekataa kuzungumzia udaku wa magazeti ya Uingereza kwamba Moyes atafutwa kazi kabla ya msimu kumalizika mwaka huu.
Moyes, mwenye umri wa miaka 50, aliteuliwa na Ferguson kumrithi alipostaafu mwaka jana...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
David Moyes atimuliwa na Manchester U
11 years ago
Michuzi21 Apr
David Moyes: Manchester United 'no comment' on boss reports
![Moyes and Manchester United's turbulent season](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/73242000/jpg/_73242403_474853041.jpg)
Manchester United say David Moyes has not been sacked but declined to comment when asked about the manager's longer-term future.
National newspapers say the club will dispense with the Scot's services following a poor season. However a United spokesperson would only confirm Moyes has not been sacked. When pressed on whether the manager would leave before the end of the season, the spokesperson added, "we do not comment on speculation". None of the newspapers are...
9 years ago
Bongo510 Nov
David Moyes atimuliwa kama kocha wa Real Sociedad
![Moyes2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Moyes2-300x194.jpg)
David Moyes ametimuliwa kama kocha wa klabu ya Real Sociedad ya Hispania, mwaka mmoja baada ya kuinoa.
Kocha huyo mwenye miaka 52 aliyefanya timu yake imalize msimu uliopita wa ligi ya La Liga katika nafasi ya 12, alijiunga nayo November 2014.
Maelezo kutoka Sociedad yamedai kuwa imeamua kuusitisha mkataba wa Moyes. Kocha msaidizi, Billy McKinlay naye amefungashiwa virago.
Moyes alichukuliwa na Sociedad baada ya kutimuliwa kama kocha wa Manchester United April 2014.
Jiunge na Bongo5.com...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MOYES ATIMULIWA NA MAN UNITED
11 years ago
BBCSwahili02 Feb
Moyes:Manchester United haina habati
10 years ago
TheCitizen20 Oct
Manchester United were wrong to sack me, says Moyes
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KfEqIWZTt62TdjhbSUeproprnE6WEAQmvzfWF2WDMH4N9NhXHRSeYARmccQe4rXWGT8TtbAKcfKehi*01wJAXOyspOQ80mZc/DM_1725235a.jpg?width=600)
BARUA YA WAZI YA MOYES KWENDA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED