Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Octopizzo hakudanganya tu kumshirikisha August Alsina, upo ushahidi hata wimbo ‘This Could Be Us’ ameuiba!

Rapper wa Kenya Octopizzo anazidi kuumbuka kutokana na wimbo wake wa ‘This Could Be us’ ambao hapo awali alidai kuwa amemshirikisha staa wa Marekani, August Alsina. Baada ya uongozi wa August kukanusha msanii wao hakushirikishwa kwenye wimbo huo, lilibaki fumbo la ile sauti kwenye ya kiitikio ni ya nani kama si muimbaji huyo wa Marekani, […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Update: Octopizzo azungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kudanganya kumshirikisha August Alsina, sikiliza alichojibu (Audio)

Octopizzo anaendelea kutawala vichwa vya habari Afrika Mashariki, kitu ambacho ndio lengo lake haswa kwasababu inampa ‘kiki’ hasa wakati huu ambao ameachia video mpya. Kinachomfanya azidi kuzungumziwa ni kuhusu swala la wimbo ambao mwanzo alidai amefanya na August Alsina mpaka uongozi wa msanii huyo ulipokuja kukanusha, na ukapatikana ushahidi wa wimbo mwingine unaofanana na huo […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Octopizzo aachia video ya wimbo aliomshirikisha staa wa Marekani, August Alsina

Rapper anayeiwakilisha Afrika Mashariki, Octoppizo kutoka Kenya ameachia rasmi video ya wimbo wake uliovuja mwaka jana “This Could Be Us”, ambao amemshirikisha mwimbaji wa R&B kutoka Marekani, August Alsina. Habari mbaya kwa mashabiki waliokuwa na hamu ya kumuona August Alsina katika video hii ni kuwa, kwa bahati mbaya mtaisikia sauti yake tu kwasababu hajaonekana katika […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: August Alsina Ft. Lil Wayne — Why I Do It

August Alsina reunites with fellow New Orleans native Lil Wayne for his latest single “Why I Do It.” It’s got a butter-soft, horn-driven instrumental that matches Alsina’s smooth R&B vocals. As for Wayne’s verse, he may have just come up with the new “fanute” when he tells us to stop “boogling” on him. Try getting […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: August Alsina – Song Cry

august-song-cry2

Mwanamuziki wa R&B August Alsina ametoa video mpya ya wimbo “Song Cry” kutoka kwenye albamu yake ya pili “This Thing Called Life” iliyozinduliwa Desemba 11 mwaka huu.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: August Alsina — Song Cry

Msanii wa muziki wa R&B Marekani, August Alsina amechia wimbo wake mpya unaitwa “Song Cry”. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Rick Ross Ft. August Alsina — She Wanna F**k

wimbo mpya wa Rapper Rick Ross amemshirikisha August Alsina unaitwa “She Wanna F**k” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: August Alsina Feat. Chris Brown – Been Around the World

aa-cb

In just one week, August Alsina will release his sophomore album This Thing Called Life. The album is now available for pre-order on iTunes with two new songs including “Dreamer” and “Been Around the World” featuring Chris Brown.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Barnaba hajatoa hata senti kumshirikisha Jose Chameleone

chameleone and Barnaba

Tumekuwa tukisikia juu ya ugumu wa wasanii wakubwa kukubali kufanya collabo na wasanii ambao wako chini yao, hususani collabo zinazokuwa zinahusisha wasanii kutoka nchi tofauti, na wengine hutoza pesa nyingi kama malipo ya kushiriki kwenye collabo hizo.

chameleone and Barnaba

Baada ya wimbo mpya wa Barnaba ‘Nakutunza’ aliomshirikisha Jose Chameleone kutoka Jumatatu wiki hii, amezungumzia jinsi Chameleone alivyojitolea kumsaidia bila kumtoza chochote.

“Sijamlipa hata mia moja, hakuna gharama kubwa ambayo Jose...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani