Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Khloe Kardashian azungumza kwa mara ya kwanza toka Lamar Odom apate matatizo

Mdogo wake Kim Kardashian, Khloe amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza toka aliyekuwa mume wake, mcheza kikapu wa Marekani Lamar Odom kupata matatizo ya afya baada ya kudaiwa kutumia kiasi kikubwa cha Cocaine. Khloe ambaye amekuwa hospitali akimuangalia Lamar muda mwingi toka alipolazwa, ametumia website yake kuwashukuru mashabiki, marafiki na familia kwa support […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mimi na Lamar Odom hatujarudiana! — Khloe Kardashian

Khloe Kardashian ameibuka na kuweka mambo sawa kuhusu uhusiano wake na Lamar Odom licha ya ripoti kuwa wawili hao wameamua kuipa ndoa yao nafasi nyingine. Akizungumza kwenye mahojiano na jarida la People, Khloe amesema kuwa licha ya kufuta kesi ya kudai talaka kwa mume wake Lamar Odom ambaye ni mgonjwa, lakini haimaanishi kuwa wamerudiana. “Taarifa […]

 

9 years ago

GPL

WATOTO WA LAMAR ODOM WAMLIPA FADHILA KHLOE KARDASHIAN

 Staa wa mpira wa kikapu, Lamar Odom. Las Vegas, Marekani
WATOTO wa staa wa mpira wa kikapu,Lamar Odom, 35, Lamar Jr na Destiny hivi karibuni wamelipa fadhila kwa kumshukuru mama yao wa kufikia,Khloe Kardashian kwa mapenzi ya dhati aliyoyaonesha kwa baba yao tangu alipozidiwa Oktoba 13, mwaka huu. Akichonga na mtandao maarufu wa burudani nchini Marekani mtu wa karibu kutoka ndani ya familia hiyo alisema watoto hao wamefikia...

 

9 years ago

Bongo5

Khloe Kardashian amfanyia birthday party mumewe Lamar Odom hospitali alipolazwa

lamar-odom-and-khloe-kardashian

Mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu katika ligi ya NBA nchini Marekani, Lamar Odom Ijumaa ya Nov 6 alisheherekea birthday yake ya 36 akiwa hospitali alikolazwa, Cedars-Sinai Medical Center iliyoko Los Angeles.

lamar-odom-and-khloe-kardashian

Chanzo kimoja kimeliambia jarida la PEOPLE kuwa mke wa mchezaji huyo wa zamani, Khloe Kardashian alimuandalia sherehe ndogo iliyohudhuriwa na ndugu wa Khloe akiwemo mama yake Kriss Jenner, dada zake Kourtney, Kendall, Kim Kardashian, Kylie na boyfriend wake Tyga pamoja na Kanye West...

 

9 years ago

Bongo5

Khloe Kardashian na Lamar Odom wafuta kesi yao ya talaka ili kuipa ndoa nafasi ya pili

Kufuatia kuugua kwa mcheza kikapu wa NBA Lamar Odom, hali hiyo imewaunganisha tena na mke wake Khloe Kardashian ambapo sasa couple hiyo kwa pamoja imeamua kufuta kesi yao ya talaka ili waendelee kuwa mume na mke. Kwa mujibu wa TMZ, mwanasheria wa Khloe aitwaye Laura Wasser Jumatano Oct 20 alienda kwa hakimu kuomba kusitisha kesi […]

 

9 years ago

Bongo5

Khloe Kardashian asema atadai tena talaka kama Lamar Odom atarudi kwenye matumizi ya madawa ya kulevya

Shemeji wa Kanye West, Khloe Kardashian amekuwa bega kwa bega na mumewe Lamar Odom toka alipolazwa hospitali mara ya kwanza baada ya kukutwa hajitambui kutokana na kuzidisha dawa za kulevya huko Las Vegas. Hali ya Lamar ilimfanya Khloe kuamua kuachana na aliyekuwa boyfriend wake James Harded, na kufuta kesi ya kudai talaka na kuipa ndoa […]

 

9 years ago

GPL

KHLOE ATAKA MTOTO NA LAMAR ODOM

Lamar Odom akiwa na aliyekuwa mkewe Khloe Kardashian. California, Marekani
KWA sasa Khloe Kardashian amesitisha ishu yake ya kufuatilia talaka ya kuachana na mumewe wa ndoa, Lamar Odom na anataka kuhakikisha ndoto zake zinatimia kwa kuzaa naye mara atakapokuwa sawa. Lamar ambaye aliwahi kuwa mcheza kikapu wa NBA, kwa sasa yupo hospitali amelazwa baada ya kupoteza fahamu kwa takriban siku tatu kutokana na kuzidisha matumizi ya...

 

9 years ago

GPL

LAMAR AMTIMUA KHLOE KARDASHIAN HOSPITALI

Staa wa kikapu Lamar Odom. WAKATI ikielezwa kuwa Khloe Kardashian amekuwa karibu na staa wa kikapu Lamar Odom ambaye amelazwa, habari ni kuwa Odom amemtimua mrembo huyo ambaye ni mke wake kutoka hospitali kutokana na kutumia ugonjwa wake kujipatia umaarufu.  Khloe Kardashian. Taarifa zinaeleza kuwa mara baada ya Lamar kupata nafuu na kujitambua, alipata malalamiko ya kuwa Khloe anatumia hali ya… ...

 

9 years ago

Bongo5

Rob Kardashian ajitolea kumchangia figo Lamar Odom

Rob Kardashian, mdogo wao Kim na Khloe Kardashian amejitolea kumchangia figo Lamar Odom. Kwa mujibu wa ripoti, Rob yupo tayari kumsaidia shemeji yake kwa lolote awezalo. Afya ya mchezaji huyo wa zamani wa NBA ambaye ni mume Khloe bado haijakaa sawa baada ya kukutwa akiwa hajitambui kwenye danguro, mapema mwezi huu. Figo za Lamar ziliharibika […]

 

11 years ago

CloudsFM

KIM KARDASHIAN APOST PICHA ZAKE ZA HARUSI NA KANYE WEST KWA MARA YA KWANZA KWENYE INSTAGRAM

Kim Kardashian na Kanye West wakiwa wameshikana mikono baada ya kufunga ndoa mwishoni mwa wiki iliyopita huko Forte di Belvedere Florence, Italia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani