LAMAR AMTIMUA KHLOE KARDASHIAN HOSPITALI
![](http://api.ning.com:80/files/3r*H3JtUV-faBTO6QuQLLUqSS6l5ncD9*ef5FzsRv5TXsrINa1v5xx4F5pZQw576V-iMufu-nxcd06wINnuv3FWUe8v3a1qs/1389641920_lamarodomzoom.jpg?width=650)
Staa wa kikapu Lamar Odom. WAKATI ikielezwa kuwa Khloe Kardashian amekuwa karibu na staa wa kikapu Lamar Odom ambaye amelazwa, habari ni kuwa Odom amemtimua mrembo huyo ambaye ni mke wake kutoka hospitali kutokana na kutumia ugonjwa wake kujipatia umaarufu. Khloe Kardashian. Taarifa zinaeleza kuwa mara baada ya Lamar kupata nafuu na kujitambua, alipata malalamiko ya kuwa Khloe anatumia hali ya… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo507 Nov
Khloe Kardashian amfanyia birthday party mumewe Lamar Odom hospitali alipolazwa
![lamar-odom-and-khloe-kardashian](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/lamar-odom-and-khloe-kardashian-300x194.jpg)
Mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu katika ligi ya NBA nchini Marekani, Lamar Odom Ijumaa ya Nov 6 alisheherekea birthday yake ya 36 akiwa hospitali alikolazwa, Cedars-Sinai Medical Center iliyoko Los Angeles.
Chanzo kimoja kimeliambia jarida la PEOPLE kuwa mke wa mchezaji huyo wa zamani, Khloe Kardashian alimuandalia sherehe ndogo iliyohudhuriwa na ndugu wa Khloe akiwemo mama yake Kriss Jenner, dada zake Kourtney, Kendall, Kim Kardashian, Kylie na boyfriend wake Tyga pamoja na Kanye West...
9 years ago
Bongo528 Oct
Mimi na Lamar Odom hatujarudiana! — Khloe Kardashian
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4bIsJDjFjL5Ekr-tOHgPN5RgT9t*SNsStPYcfwJvQUPYRWpzd7*ShPwxN8nUgz5vJ3gPVGelACHq3a6USns*fPLBWxgwoB3J/1445887802_lamarodomarticle.jpg?width=650)
WATOTO WA LAMAR ODOM WAMLIPA FADHILA KHLOE KARDASHIAN
9 years ago
Bongo521 Oct
Khloe Kardashian azungumza kwa mara ya kwanza toka Lamar Odom apate matatizo
9 years ago
Bongo522 Oct
Khloe Kardashian na Lamar Odom wafuta kesi yao ya talaka ili kuipa ndoa nafasi ya pili
9 years ago
Bongo528 Oct
Khloe Kardashian asema atadai tena talaka kama Lamar Odom atarudi kwenye matumizi ya madawa ya kulevya
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hnZ2zBlGGNWuuzygKwJeFDIMEHKgY8eSW9YX5qm2AqOyzQkqNPlNqKFIqUPDOsVThg7dXhIa8P2AqL6ol3cPc8nyHgzTLIft/1445477596_lamarodomkhloekardashianzoom.jpg?width=650)
KHLOE ATAKA MTOTO NA LAMAR ODOM
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SJHyuKr55TN1aZr5WgJ4Xdb00ALiThzN2vUBwrW7Z4E6mqsGg30H93*wj7tq54TrIVPdahEg8bdzgcFu830GrziNmaEN8SlZ/khloekardashianamericanmusicawards2014amasftr.jpg?width=650)
KHLOE AMUACHA LAMAR, AREJEA KWA MPENZI WAKE
9 years ago
Mtanzania30 Dec
Khloe Kardashian ammwaga James Harden
NEW YORK, MAREKANI
MWANAMITINDO Khloe Kardashian, ameweka wazi kuachana na mpenzi wake, James Harden ambaye ni nyota wa kikapu wa timu ya Houston Rockets ambayo inashiriki Ligi Kuu ya NBA nchini Marekani.
Uhusiano wa wawili hao ulianza kuvunjika Novemba 8, baada ya hapo hadi sasa hawajaonekana pamoja.
Hata hivyo, Khloe ameweka wazi kwamba ataendelea kumuheshimu na kutoka naye kama rafiki wa kawaida.
“Kumekuwa na mambo mengi ambayo yalikuwa yanatokea kwenye uhusiano wetu, ila kwa sasa...