KHLOE AMUACHA LAMAR, AREJEA KWA MPENZI WAKE
![](http://api.ning.com:80/files/SJHyuKr55TN1aZr5WgJ4Xdb00ALiThzN2vUBwrW7Z4E6mqsGg30H93*wj7tq54TrIVPdahEg8bdzgcFu830GrziNmaEN8SlZ/khloekardashianamericanmusicawards2014amasftr.jpg?width=650)
Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Khloe Kardashian. Los Angeles, Marekani UBUYU mpya umepenyezwa kuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Khloe Kardashian, wiki iliyopita aliamua kumtelekeza aliyekuwa mumewe, Lamar Odom na kwenda kuhudhuria mechi ya NBA ambapo timu ya mpenzi wake wa sasa, James Harden, Houston Rockets ilikuwa inacheza. Akichonga na mtandao maarufu wa burudani...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Oct
Khloe Kardashian azungumza kwa mara ya kwanza toka Lamar Odom apate matatizo
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3r*H3JtUV-faBTO6QuQLLUqSS6l5ncD9*ef5FzsRv5TXsrINa1v5xx4F5pZQw576V-iMufu-nxcd06wINnuv3FWUe8v3a1qs/1389641920_lamarodomzoom.jpg?width=650)
LAMAR AMTIMUA KHLOE KARDASHIAN HOSPITALI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hnZ2zBlGGNWuuzygKwJeFDIMEHKgY8eSW9YX5qm2AqOyzQkqNPlNqKFIqUPDOsVThg7dXhIa8P2AqL6ol3cPc8nyHgzTLIft/1445477596_lamarodomkhloekardashianzoom.jpg?width=650)
KHLOE ATAKA MTOTO NA LAMAR ODOM
9 years ago
Bongo528 Oct
Mimi na Lamar Odom hatujarudiana! — Khloe Kardashian
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4bIsJDjFjL5Ekr-tOHgPN5RgT9t*SNsStPYcfwJvQUPYRWpzd7*ShPwxN8nUgz5vJ3gPVGelACHq3a6USns*fPLBWxgwoB3J/1445887802_lamarodomarticle.jpg?width=650)
WATOTO WA LAMAR ODOM WAMLIPA FADHILA KHLOE KARDASHIAN
9 years ago
Bongo507 Nov
Khloe Kardashian amfanyia birthday party mumewe Lamar Odom hospitali alipolazwa
![lamar-odom-and-khloe-kardashian](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/lamar-odom-and-khloe-kardashian-300x194.jpg)
Mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu katika ligi ya NBA nchini Marekani, Lamar Odom Ijumaa ya Nov 6 alisheherekea birthday yake ya 36 akiwa hospitali alikolazwa, Cedars-Sinai Medical Center iliyoko Los Angeles.
Chanzo kimoja kimeliambia jarida la PEOPLE kuwa mke wa mchezaji huyo wa zamani, Khloe Kardashian alimuandalia sherehe ndogo iliyohudhuriwa na ndugu wa Khloe akiwemo mama yake Kriss Jenner, dada zake Kourtney, Kendall, Kim Kardashian, Kylie na boyfriend wake Tyga pamoja na Kanye West...
9 years ago
Bongo522 Oct
Khloe Kardashian na Lamar Odom wafuta kesi yao ya talaka ili kuipa ndoa nafasi ya pili
9 years ago
Bongo528 Oct
Khloe Kardashian asema atadai tena talaka kama Lamar Odom atarudi kwenye matumizi ya madawa ya kulevya