WATOTO WA LAMAR ODOM WAMLIPA FADHILA KHLOE KARDASHIAN

Staa wa mpira wa kikapu, Lamar Odom. Las Vegas, Marekani WATOTO wa staa wa mpira wa kikapu,Lamar Odom, 35, Lamar Jr na Destiny hivi karibuni wamelipa fadhila kwa kumshukuru mama yao wa kufikia,Khloe Kardashian kwa mapenzi ya dhati aliyoyaonesha kwa baba yao tangu alipozidiwa Oktoba 13, mwaka huu. Akichonga na mtandao maarufu wa burudani nchini Marekani mtu wa karibu kutoka ndani ya familia hiyo alisema watoto hao wamefikia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo528 Oct
Mimi na Lamar Odom hatujarudiana! — Khloe Kardashian
9 years ago
Bongo507 Nov
Khloe Kardashian amfanyia birthday party mumewe Lamar Odom hospitali alipolazwa

Mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu katika ligi ya NBA nchini Marekani, Lamar Odom Ijumaa ya Nov 6 alisheherekea birthday yake ya 36 akiwa hospitali alikolazwa, Cedars-Sinai Medical Center iliyoko Los Angeles.
Chanzo kimoja kimeliambia jarida la PEOPLE kuwa mke wa mchezaji huyo wa zamani, Khloe Kardashian alimuandalia sherehe ndogo iliyohudhuriwa na ndugu wa Khloe akiwemo mama yake Kriss Jenner, dada zake Kourtney, Kendall, Kim Kardashian, Kylie na boyfriend wake Tyga pamoja na Kanye West...
10 years ago
Bongo521 Oct
Khloe Kardashian azungumza kwa mara ya kwanza toka Lamar Odom apate matatizo
10 years ago
Bongo522 Oct
Khloe Kardashian na Lamar Odom wafuta kesi yao ya talaka ili kuipa ndoa nafasi ya pili
10 years ago
Bongo528 Oct
Khloe Kardashian asema atadai tena talaka kama Lamar Odom atarudi kwenye matumizi ya madawa ya kulevya
10 years ago
GPL
KHLOE ATAKA MTOTO NA LAMAR ODOM
9 years ago
GPL
LAMAR AMTIMUA KHLOE KARDASHIAN HOSPITALI
10 years ago
Bongo528 Oct
Rob Kardashian ajitolea kumchangia figo Lamar Odom
10 years ago
Bongo519 Oct
Lamar Odom apata fahamu baada ya tatu