Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSICHANA WA MIAKA 21 AUAWA NA MPENZI WAKE KISHA KUMFUKIA CHINI YA KITANDA





Tukio moja lilimeibua hisia kubwa kwa wakazi wa kijiji cha Isyongo kaunti ya nyamira nchini Kenya, baada ya Polisi kufukua maiti ya msichana mmoja Feidhi Omega 21, iliyokuwa imezikwa chini ya uvungu wa kitanda.

Taarifa zinasema kuwa binti huyo alimtembelea mpenzi wake wiki mbili zilizopita lakini hakurudi nyumbani kwao ndipo mama yake alipoanza kumtafuta na kuelekezwa kwa mpenzi wake Daniel Nyabuti, huku akiwa na matumaini ya kumkuta mtoto wake akiwa hai, walipofika nyumbani kwa kijana huyo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Achinja mpenzi wake kisha ajiua

MKAZI wa Kijiji cha Migori mkoani Iringa, Alex Sihayo (38) amemchinja kwa kumkata koromeo na kumua mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake kisha kujiua kwa kunywa sumu. Kamanda wa Polisi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kupigana Chini na Bushoke, Jini Kabula Amutambulisha Mpenzi Wake Mpya!!

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ambae hivi karibuni aliripotiwa kuachana  na mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke ambae alikuwa mpenzi wake wa muda mrefu.

Hivi majuzi Jini Kabula alitupia picha mtandaoni, akiwa na jamaa  katika pozi la kimahaba huku macho yake ameyalegeza  kama inavyo onekana hapo juu, na kuandika maneno  ya kumtambulisha huyo jamaa kuwa ndie mpenzi wake.

“With my beiby...morning TANZANIA...” Kabula aliandika.

Mashabiki wake walimpongeza...

 

11 years ago

Bongo5

Chris Brown apigwa chini tena na mpenzi wake Karrueche Tran kisa Rihanna!

Button ya uhusiano wa mwimbaji Chris Brown na mrembo wake Karrueche Tran imewekwa ‘Off’ kwa mara nyingine na sababu ni Rihanna. Siku chache zilizopita kuna shabiki mmoja alipost picha ya Chris Brown akiwa kitandani na Rihanna na kumtag Breezy ambaye naye ali ‘like’, kwa mujibu wa TMZ hiyo ni moja ya sababu ya Karrueche ku’switch […]

 

10 years ago

GPL

MWANA HIP HOP FLABBA AUAWA KWA KUCHOMWA KISU NA MPENZI WAKE AFRIKA KUSINI

Nkululeko Habedi maarufu kwa jina la Flabba enzi za uhai wake. Flabba (wa kwanza kushoto waliochuchumaa ) akiwa na wanamuziki wenzake wa Skwatta Kamp. MWANA Hip hop wa Afrika Kusini, Nkululeko Habedi maarufu kwa jina la Flabba (38) ameuawa kwa kuchomwa kisu na mtu anayedaiwa kuwa mpenzi wake akiwa nyumbani kwake Alexandra jijini…

 

9 years ago

Bongo5

Diva amlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse amemlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita. Diva ametumia Instagram kuandika ujumbe mrefu unaosikitisha kueleza ni kwa kiasi gani anamkosa mtu huyo: 12 years My Love 12 years , hata siamini, kama ni kitabu yaan naandika nashindwa Malizia, wanasema kwenye Maisha unapenda Mara Moja tu, ama kweli Mara […]

 

10 years ago

CloudsFM

UHUSIANO WA YOUNG KILLER NA MPENZI WAKE WATIMIZA MIAKA NANE

p>Ni mara chache sana kwa masupastaa kufunguka kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi, ni wachache sana ambao wako tayari kuweka mambo wazi kama msanii Young Killer ambaye ana ameweka wazi uhusiano wake na mwanadada Halimaty.‘’Halimaty ni mpenzi wangu nipo naye zaidi ya miaka nane,amekuwa zaidi ya rafiki’’alisema Young Killer kwenye shoo ya After Skul Bash iliyofanyika Jumamosi iliyopita kwenye viwanja vya Escape One,Mikocheni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Msichana auawa kwa kumtetea babake India

Polisi nchini India wanasema kuwa msichana mmoja ambaye alijaribu kumtetea babake kwenye baraza moja la kijiji amepatikana akiwa amekufa.

 

9 years ago

Habarileo

Msichana miaka 15 jela miaka 8 kwa kuua

MSICHANA wa miaka 15 (jina limehifadhiwa) amehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kifungo cha miaka minane jela.

 

11 years ago

CloudsFM

HUYU NDIYE MTOTO ALIYEFICHWA UVUNGUNI MWA KITANDA MIAKA SITA

SAKATA la mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa baada ya kufichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa muda wa miezi mitatu huko Matongolo, Dumila,Tarafa ya Magole wilayani Kilosa limeibua mambo mapya, baada ya kubaini kuwa aliyesababisha kuokolewa ni mume wa mama wa binti huyo.
Mashuhuda waliokuwepo wakati wa kufichuliwa kwa mtoto huyo, wakiwemo majirani na wapangaji wa nyumba aliyokuwa akiishi, walisema mpangaji wa chumba hicho, Masumbuko Mkwama (25),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani