kilimo cha Ngoro kilianzishwa miaka 300 iliyopita Mbinga
Na Albano Midelo NGORO pichani juu ni aina ya kilimo kinachohifadhi mazingira kwa njia ya asili ambacho kinaaminika kilianza kutumika na wakulima wa kabila la wamatengo wilayani Mbinga mkoani Ruvuma zaidi ya miaka 300 iliyopita. Kilimo cha ngoro kilianzishwa na wazee maarufu wa kabila la wamatengo waliotokea nchini Malawi katika karne ya 17 ambapo tayari vizazi zaidi ya 10 vimepita hivi sasa tangu kilimo cha ngoro kilipoanzishwa wilayani Mbinga. Moja ya madhumuni ya kuanzisha kilimo hiki ni...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
JK afungua kituo cha afya na kukagua kilimo cha Kahawa Mbinga, afungua soko la kimataifa mkenda
.jpg)

5 years ago
Michuzi
WANANCHI WASHAURIWA KULIMA KILIMO CHA MATONE BADALA YA KILIMO CHA MAZOEA KINACHOHARIBU MAZINGIRA
Na Pamela Mollel, Arusha.
KUELEKEA kilele Cha maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika Juni 5 ya kila mwaka wananchi wameshauriwa kulima kilimo cha matone badala ya kilimo cha mazoea ambacho kimekuwa kikiharibu mmomonyoko wa ardhi na kusabisha uharibifu wa mazingira
Hayo yameelezwa leo Juni 4,2020 na Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini Lweis Nzali alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaomba kutumia vyombo vya habari kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya...
10 years ago
Bongo528 Oct
Diva amlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita
10 years ago
Mwananchi26 Aug
CCM itakumbukwa kwa lipi miaka MITANO iliyopita?
10 years ago
Michuzi
Chikawe: Niliamua kugombea urais miaka mitano iliyopita

Waziri Chikawe, ambaye amekamilisha kazi ya kusaka wadhamini katika mikoa 15 ya Tanzania Bara na Zanzibar kama taratibu zinavyoelekeza, amesema uamuzi wake wa kugombea nafasi hiyo aliufanya baada ya...
9 years ago
Mwananchi29 Nov
DARUBINI YA MTATIRO :Nchi hii haikuwa na kiongozi miaka 10 iliyopita?
10 years ago
GPL
AFGHANISTAN YASEMA MULLAH OMAR ALIKUFA MIAKA MIWILI ILIYOPITA
10 years ago
Michuzi
5 years ago
BBCSwahili19 May
Wazazi wampata mtoto wao aliyeibiwa miaka 32 iliyopita China