Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHOJIANO YA ANKAL NA VIJIMAMBO BLOG WASHINGTON DC, MAREKANI, MIAKA 7 ILIYOPITA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA UTALII NA MIAKA 4 YA BLOG YA VIJIMAMBO

Mhe. Lazoro Nyalandu Waziri wa Maliasili na Utalii akiingia ukumbini huku akiongozana na Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani kushoto ni Luke Joe ambaye ni mwendeshaji wa Blog ya Vijimambo siku ya Jumamosi Sept 13, 2014 katika ukumbi wa Crowne Plaza iliyopo Rockville, Maryland nchini Marekani.Mhe. Lazaro Nyalandu ambaye ndiye aliyekua mkeni rasmi akifurahi jambo siku ya Tamasha la Utalii na miaka 4 ya Blog ya Vijimambo kulia ni Luke Joe mwendeshaji wa Blog ya Vijimambo.

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA UTALII NA MIAKA 4 YA BLOG YA VIJIMAMBO‏


Mhe. Lazoro Nyalandu Waziri wa Maliasili na Utalii akiingia ukumbini huku akiongozana na Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani kushoto ni Luke Joe ambaye ni mwendeshaji wa Blog ya Vijimambo siku ya Jumamosi Sept 13, 2014 katika ukumbi wa Crowne Plaza iliyopo Rockville, Maryland nchini Marekani.
Mhe. Lazaro Nyalandu ambaye ndiye aliyekua mkeni rasmi akifurahi jambo siku ya Tamasha la… ...

 

10 years ago

Vijimambo

DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.

· 
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano maalum: Mahmoud Zubeiry a.k.a binzubeiry blog

"Kuna wakati nilikuwa nakwenda kwenye jalala la soko dogo pale Keko kuokota vilivyotupwa na kutafuta vyenye nafuu ili twende nyumbani kupika kupata chakula."
Najua mimi na wewe tunafamiana toka tukiwa wadogo lakini kwa faida ya wasomaji naomba ujitambulishe majina yako halisi:  Asante, mimi ninaitwa Mahmoud Ramadhan Zubeiry, mtaani walizoea kuniita MudiUnaweza ukatuelezea kidogo kuhusu elimu yako?  Shule ya msingi nilisoma pale Mgulani, baadaye nikaenada Rutabio sekondari kabla ya kufanya...

 

10 years ago

Michuzi

4TH ANNIVERSARY OF VIJIMAMBO BLOG, PROMOTING TANZANIA TOURISM EXPO IN THE USA

Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Jamhuri ya Muunagano wa Tanzania ikiwemo Jumuiya ya Watanzania DMV inawaletea miaka 4 ya Vijimambo ikiutangaza Utalii wa Tanzania na kukemea ujangili siku ya September 13, 2014. Njoo ujivunie maliasili na utalii wa nchi yako sote kwa pamoja yunaweza kuitangaza nchi yetu na kukemea ujangili kwa kauli moja yenye nguvu inayosikika kimataifa.Juu na chini ni Ukumbi wa sharehe ya mchana kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 11 jioniadd ni 3 Reserch...

 

10 years ago

Michuzi

HUYU NA YULE YA KWANZA PRODUCTION NA VIJIMAMBO: Mahojiano na Dr Crispin Semakula

Karibu katika kipindi cha HUYU NA YULE ambapo wiki hii tumeongea na Dr Crispin Semakla. Daktari wa mahgonjwa ya kisukari, shinikizo la damu na pia Mwalimu wa Afya katika Chuo Kikuu nchini Marekani. Pia ni mwanzilishi wa Access Medical and Dialysis Center iliyopo Dar Es SalaamAmeeleza mengi kuhusu maradhi anayoshughulika nayo na pia kituo chake.
Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog na kuzalishwa na Kwanza ProductionKwa mawasiliano, maoni ama ushauri, tafadhali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani