Mahojiano maalum: Mahmoud Zubeiry a.k.a binzubeiry blog
![](http://1.bp.blogspot.com/-uvKJXO455ow/Va8-m1qL6WI/AAAAAAAACXo/S8sCqDB9aqc/s72-c/FB_IMG_1437541501275.jpg)
"Kuna wakati nilikuwa nakwenda kwenye jalala la soko dogo pale Keko kuokota vilivyotupwa na kutafuta vyenye nafuu ili twende nyumbani kupika kupata chakula."Najua mimi na wewe tunafamiana toka tukiwa wadogo lakini kwa faida ya wasomaji naomba ujitambulishe majina yako halisi: Asante, mimi ninaitwa Mahmoud Ramadhan Zubeiry, mtaani walizoea kuniita MudiUnaweza ukatuelezea kidogo kuhusu elimu yako? Shule ya msingi nilisoma pale Mgulani, baadaye nikaenada Rutabio sekondari kabla ya kufanya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/dQZgH-n4K_o/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog13 Aug
Salamu maalum za shukurani kutoka Mbeya Yetu Blog
![](http://3.bp.blogspot.com/-HgDewPqvTII/U-tKmIrC7XI/AAAAAAAAolc/O7ut6rJHcTo/s1600/doc2.jpg)
![IMG_6003](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_6003.jpg)
Hili ndilo Banda la Mbeya yetu Blog lililokuwa ndani ya Maonesho ya Nane nane Mbeya.
Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog na Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Multimedia Company Limited Joseph Mwaisango kulia Akikabidhiwa Cheti cha ushindi wa tatu cha vyombo vya habari kikanda katika kurusha matukio yote ya Nane nane Jijini Mbeya na Mgeni Rasmi wa Maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Rajabu Mwambungu wa Pili...
10 years ago
Vijimambo20 Feb
Mahojiano Maalum: Zawadi Kakoschke
![Zawadi Kakoschke Blogger wa www.maisafari.com](http://alphaigogo.com/wp-content/uploads/2015/02/Zawadi-Kakoschke-225x300.jpg)
Wewe ni mmiliki wa blog ya ...
10 years ago
Vijimambo25 Mar
Mahojiano Maalum: Tumaini Kilangwa
![2015-03-25 05.57.39](http://alphaigogo.com/wp-content/uploads/2015/03/2015-03-25-05.57.39.jpg)
10 years ago
Vijimambo08 Feb
Mahojiano Maalum: Zawadi Owitti Kakoschke
![](http://alphaigogo.com/wp-content/uploads/2015/02/Zawadi-Kakoschke-225x300.jpg)
10 years ago
Dewji Blog04 Mar
Usikose kuperuzi modewjiblog katika mahojiano maalum na Mwanasheria mwenye ‘Albinism’ Dk. Ally Possi
Mwanasheria mwenye Albinism Dk. Ally Possi akiwa ndani ya ofisi za modewjiblog.
Na modewji blog team
“JAMII yenye ushirikina ndio yenye kuamini suala la mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi ambao wana alibinisimu, hivyo ilikuondoa imani hii potofu ni kutoa elimu katika maeneo yote na kuwalinda popote pale, Jambo hili ni jukumu letu sote” anaeleza Dk. Ally Possi.
Hata hivyo alibainisha kuwa, licha ya kuwapo kwa vitendo hivyo vya kikatili vikiwemo vya mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/dQZgH-n4K_o/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo11 Feb
Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago
![Tabu Obago, akiwa nyumbani kwake Mbagala](http://alphaigogo.com/wp-content/uploads/2015/02/Tab-Obago-169x300.jpg)
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...
9 years ago
Daily News11 Sep
Sheikh Zubeiry is new Mufti
Daily News
Daily News
THE National Muslim Council, BAKWATA, which met in Dodoma, has elected Sheikh Abubakary Zubeiry as Chief Mufti. Sheikh Zubeiry was picked Acting Chief Mufti on June 22 following the death of Mufti Issa Shaaban Bin Simba. According to BAKWATA ...