Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahojiano Maalum: Tumaini Kilangwa

                    “Tumeuwona mkono wa Mungu, Tumeuona uwezo wake”2015-03-25 05.57.39Tumaini Kilangwa: Mama, Mke, na  Mjasiriamali Binafsi nakufahamu toka mwaka 2003, ambapo wote tulikuwa tunaishi katika mji wa Wichita, Kansas State. Lakini kuna wengi ambao hawakufahamu na wangependa kujua wewe ni nani, na unafanya nini? Mimi naitwa Tumaini Kilangwa. Nimezaliwa na kukulia Morogoro. Shule ya msingi nimesoma Mzumbe Primary School. Masomo ya secondary nimesoma Msalato Secondary School kuanzia Form one (I)...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

"Muumbaji wa ndoa ni Mungu peke yake............Hakuna mwalimu wa ndoa hapa duniani" - Tumaini Kilangwa

Tumaini Kilangwa au da Tuma, yeye ni mama wa watoto wawili, mke, na mfanyabiashara. katika mahojiano haya ambayo yote amerekodi na unaweza sikiliza (audio), ameongelea mambo mabali mbali kuanzia alipotokea, maisha yake ya elimu, maisha kama mama, maisha kama mke, na maisha kama mfanyabiashara. Ni mahojiano mazuri sana ambayo yanafundisha na kutia moyo kuwa hakuna lisilo wezekana kwa Mungu  (kama unaamini kuna Mungu). Tafadhali chukua muda wako umsikilize wala hutojutia...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano Maalum: Zawadi Kakoschke

Zawadi Kakoschke     Blogger wa  www.maisafari.com Zawadi KakoschkeBlogger  wa http://maisafari.com Naomba utueleze Historia yako kwa ufupi: Naitwa Zawadi Owitti Kakoschke, mama wa watoto wawili Amani na Malaika na mke wa Bart Kakoschke. Nimezaliwa miaka 39 iliyopita huko Songea, Tanzania. Ni mtoto wa pili wa marehemu Fatuma ambae anatokea mkoani Iringa. Mimi ni mjaluo baba yangu anatokea Shirati Rorya mkoani Mara. Kwa sasa makazi yangu yako kwenye nchi za kiarabu ambapo mume wangu anafanyia kazi.
Wewe ni mmiliki wa blog ya ...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano Maalum: Zawadi Owitti Kakoschke

  Zawadi KakoschkeBlogger wa http://maisafari.comNaomba utueleze Historia yako kwa ufupi:Naitwa Zawadi Owitti Kakoschke, mama wa watoto wawili Amani na Malaika na mke wa Bart Kakoschke. Nimezaliwa miaka 39 iliyopita huko Songea, Tanzania. Ni mtoto wa pili wa marehemu Fatuma ambae anatokea mkoani Iringa. Mimi ni mjaluo baba yangu anatokea Shirati Rorya mkoani Mara. Kwa sasa makazi yangu yako kwenye nchi za kiarabu ambapo mume wangu anafanyia kazi.Wewe ni mmiliki wa blog ya maisafari.com,...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano maalum: Mahmoud Zubeiry a.k.a binzubeiry blog

"Kuna wakati nilikuwa nakwenda kwenye jalala la soko dogo pale Keko kuokota vilivyotupwa na kutafuta vyenye nafuu ili twende nyumbani kupika kupata chakula."
Najua mimi na wewe tunafamiana toka tukiwa wadogo lakini kwa faida ya wasomaji naomba ujitambulishe majina yako halisi:  Asante, mimi ninaitwa Mahmoud Ramadhan Zubeiry, mtaani walizoea kuniita MudiUnaweza ukatuelezea kidogo kuhusu elimu yako?  Shule ya msingi nilisoma pale Mgulani, baadaye nikaenada Rutabio sekondari kabla ya kufanya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Usikose kuperuzi modewjiblog katika mahojiano maalum na Mwanasheria mwenye ‘Albinism’ Dk. Ally Possi

DSC_0391

Mwanasheria mwenye Albinism Dk. Ally Possi akiwa ndani ya ofisi za modewjiblog.

Na modewji blog team

“JAMII  yenye ushirikina ndio yenye kuamini suala la mauaji ya watu wenye ulemavu wa  ngozi ambao wana alibinisimu, hivyo ilikuondoa imani hii potofu ni kutoa elimu katika maeneo yote na kuwalinda popote pale, Jambo hili ni jukumu letu sote” anaeleza Dk. Ally Possi.

Hata hivyo alibainisha kuwa, licha ya kuwapo kwa vitendo hivyo vya kikatili vikiwemo vya mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago

Tabu Obago, akiwa nyumbani kwake MbagalaTabu Obago, akiwa nyumbani kwake Mbagala
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif: Tumaini la Wazanzibari

Maalim Seif Changamoto mbali mbali zinazowakabili wananchi wa Zanzibar na jinsi Chama Cha Wananchi CUF chini ya uongozi wa Maalim Seif Sharif Hamad walivyojipanga kuzitatua changamoto hizo endapo watapata ridhaa ya kuwaongoza wananchi wa Zanzibar.

The post Maalim Seif: Tumaini la Wazanzibari appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Tumaini Saccos yazidi ‘kumwaga’ mikopo

Chama cha kuweka na kukopa cha Tumaini Saccos kilichopo Kata ya Mamba Kusini wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro kimetoa mikopo ya Sh1.4 bilioni kwa kipindi cha miaka saba.

 

10 years ago

Vijimambo

TUMAINI MAKENE: YANAYOJIRI NJOMBE - BVR

PRESS BRIEFING;CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO -CHADEMA


YANAYOJIRI NJOMBE - BVR


1. Ikiwa zoezi la uandikishaji limeanza leo tarehe 23 Feb na likitarajiwa kuzinduliwa rasmi kesho tarehe 24 Feb na Waziri Mkuu Pinda, Naibu Katibu wa CHADEMA upande wa Tanganyika ameanza Operesheni R2R BVR ambapo asubuhi mpaka mchana alikuwa katika Mji wa Makambako akipitia mitaani pamoja na msafara wa viongozi wa chama hicho ngazi mbalimbali kuhamasisha wananchi kujiandikisha.
Aidha, Operesheni hiyo imehusisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani