TUMAINI MAKENE: YANAYOJIRI NJOMBE - BVR
PRESS BRIEFING;CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO -CHADEMA
YANAYOJIRI NJOMBE - BVR
1. Ikiwa zoezi la uandikishaji limeanza leo tarehe 23 Feb na likitarajiwa kuzinduliwa rasmi kesho tarehe 24 Feb na Waziri Mkuu Pinda, Naibu Katibu wa CHADEMA upande wa Tanganyika ameanza Operesheni R2R BVR ambapo asubuhi mpaka mchana alikuwa katika Mji wa Makambako akipitia mitaani pamoja na msafara wa viongozi wa chama hicho ngazi mbalimbali kuhamasisha wananchi kujiandikisha.
Aidha, Operesheni hiyo imehusisha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Mwananchi22 Feb
UANDIKISHAJI: Njombe hawana taarifa za BVR
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Mar
Uandikishaji BVR Njombe bado tatizo
Na Michael Katona, Njombe KAZI ya uandikishaji wa daftari ya kudumu la wapigakura kwa Mfumo wa Kielektroniki (BVR) katika mkoa wa Njombe, limeanza rasmi katika kata za Mjimwema, Yakobi na Kifanya.Hata hivyo, uandikishaji huo umeanza kwa kulalamikiwa na wananchi kwamba unasuasua na kusababisha wananchi wachelewe kwenye vituo, kutokana na mtu mmoja kutumia muda mrefu kujiandikisha.Mwandishi wa habari hii alitembelea kata ya Mjimwema, katika vituo vya Melinze, Mjimwema, NJOSS, Mpechi na Joshoni...
10 years ago
Mwananchi07 Mar
Uandikishaji wa BVR Njombe kumalizika Aprili
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Wananchi wa mkoa wa Njombe ni mfano wa kuigwa katika zoezi la BVR
Kazi ya kuandikisha wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kupitia mfumo wa Biometrick Voters Registration (BVR), ambao huhusisha uchukuaji wa alama za vidole na picha, jana iliingia siku ya tatu, huku baadhi yao wakipongeza utendaji wake.
Kwa mujibu wa ripoti iliyokusanywa na mwandishi wetu inasema kuwa tokea siku ya kwanza lilipoanza zoezi hilo lilionyesha matumaini maana wananchi wetu walijitokeza kwa wingi.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi katika vituo vya...
10 years ago
Vijimambo
MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA NDANI YA WILAYA YA NJOMBE MKOANI NJOMBE.



10 years ago
Habarileo17 Jul
Makene agombea ubunge Kinondoni
MWANASHERIA wa siku nyingi na kada wa Chama Cha Mapinduzi, Emmanuel Makene amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kinondoni katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
10 years ago
Vijimambo25 Nov
10 years ago
VijimamboMAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI
Makene...