Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makene agombea ubunge Kinondoni

Mwanasheria Emmanuel Makene.MWANASHERIA wa siku nyingi na kada wa Chama Cha Mapinduzi, Emmanuel Makene amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kinondoni katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mwanasheria wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote. Makene ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu hiyo leo, Ofisi za Chama Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam. Makene akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu hiyo leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni.

 Makene...

 

10 years ago

Michuzi

WAKILI EMMANUEL TAMILA MAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wakili  wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote. Makene ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu hiyo leo, Ofisi za Chama Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam.Makene akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu hiyo leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni.

 Makene...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE, WAKILI MAKENE WACHUKUA FOMU UBUNGE KINONDONI DAR

Steve Nyerere akijaza jina lake kwenye daftari la wagombea ubunge kabla ya kukabidhiwa fomu. Wasanii wa maigizo Bongo, Catherine Rupia 'Cathy' (katikati) pamoja na Ndumbagwe Misayo 'Thea' wakishudia uchukuaji fomu hiyo. Steve Nyerere (kulia) akionesha fomu baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi,…

 

10 years ago

Michuzi

MWANASHERIA MAKENE AREJESHA FOMU KUGOMBEA JIMBO LA KINONDONI

Mwansheria na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Emmanuel Makene (katikati) akiwa ameambata na mkewe Dk. Sarah Makene kurejesha fomu za kuomba ridhaa ya wana CCM Kinondoni kuteuliwa kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni. Anaepokea fomu hizo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athuman Sheshe. Wengine ni wapambe wa mgombea huyo waliomsindikiza kurejesha fomu hizo leo.Emmanuel Tamila Makene ambae ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya na Katibu wa Usalama na Maadili taifa wa Umoja wa vijana...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Akanusha Kugombea Ubunge Kinondoni

Staa mkubwa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ amekanausha taarifa za kutaka kugombea ubunge jimbo la kinondoni ambazo zimekuwa zikienea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii.

JB ameeleza kuwa japo watu mbali mbali wamekuwa wakimfuata na kumtaka agombee yeye amekuwa akiwashukuru na kuwaeleza kuwa anaipenda sana kazi yake ya uigizaji.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram aliyaeleza hayo akiwa anatolea ufafanuzi kile ‘mrekebishatabia’ alichokiandika kwenye mtandao...

 

9 years ago

Habarileo

Kalapina kuwania ubunge Kinondoni

MWANAMUZIKI wa Hip Hop, Kalama Masoud ‘Kalapina’ aliyekuwa amewekewa pingamizi ya kuwania ubunge katika Jimbo la Kinondoni, ameshinda rufani yake katika Tume ya Uchaguzi na kwa sasa ni mgombea rasmi wa jimbo hilo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere Atikisa Ubunge Kinondoni

MWIGIZAJI Nyota katika tasnia ya filamu Swahilihood Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ amekuwa kivutio kikubwa kati ya wagombea waliotangaza nia kugombea Jimbo la Kinondoni, msanii mahiri katika uchekeshaji na uigizaji wa sauti mbalimbali za watu maarufu Ulimwenguni ametangaza nia kugombea Jimbo hilo.

Steve akiwa na baadhi ya wasanii wenzake kutoka Bongo Movie waliingia ofisi za CCM Mkwajuni Wilaya ya Kinondoni na kupokelewa na kundi la wanahabari tofauti na wagombea wengine walioingia katika...

 

9 years ago

GPL

MGOMBEA UBUNGE KINONDONI ACT-WAZALENDO KWENDA MAHAKAMANI

Aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama Cha ACT Wazalendo jimbo la Kinondoni, Kalama Masoud 'Kalapina' (kulia) akizungumza na wanahabari, kushoto kwake ni Afisa Habari wa ACT Wazelendo, Khamis Abdallah. Kalapina akionesha msisitizo wa jambo wakati akiongea na wanahabari (hawapo…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani