WAKILI EMMANUEL TAMILA MAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wakili wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote. Makene ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu hiyo leo, Ofisi za Chama Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam.
Makene akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu hiyo leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni.
Makene...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI
Makene...
10 years ago
GPLSTEVE NYERERE, WAKILI MAKENE WACHUKUA FOMU UBUNGE KINONDONI DAR
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-zKXFe75aiM4/VP09kACb-_I/AAAAAAAHIyo/Z4Fmf8Out5k/s72-c/unnamed%2B(35).jpg)
Mdau Abdulaziz Ahmed ajitosa kuwania Ubunge Jimbo la Lindi Mjini
![](http://2.bp.blogspot.com/-zKXFe75aiM4/VP09kACb-_I/AAAAAAAHIyo/Z4Fmf8Out5k/s1600/unnamed%2B(35).jpg)
Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu,Mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel ten,Abdulaziz Ahmed leo Ametangaza nia yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Lindi mjini katika uchaguzi mkuu ujao kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,Abdulaziz ambae pia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoani Lindi alisema kuwa amefikia uamuzi huo baada ya kujitathimini na kugundua...
10 years ago
Dewji Blog16 Jul
Wakili Elias Nawera achukua fomu za kuwania Ubunge jimbo la Kawe Jijini Dar
10 years ago
VijimamboWAKILI ELIAS NAWERA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2ca8LfcTNzo/Vawn2u5zj1I/AAAAAAAHqmE/6ejJOc_bZ1Y/s72-c/IMG_0155.jpg)
Mtangazaji maarufu nchini Abdallah Idrissa Majura ajitosa kuwania ubunge jimbo la kawe
![](http://2.bp.blogspot.com/-2ca8LfcTNzo/Vawn2u5zj1I/AAAAAAAHqmE/6ejJOc_bZ1Y/s640/IMG_0155.jpg)
Mwandishi wa habari na mtangazaji maarufu nchini Abdallah Idrissa Majura (pichani) jana ameahidi kufanya mapinduzi ya michezo katika jimbo la kawe ambao utakuwa ni mfano kwa maeneo mengine na taifa kwa ujumla.Akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kurejesha fomu za kuomba kugombea ubunge jimbo la kawe kupitia chama cha mapinduzi, amesema endapo atapendekezwa na ccm kisha kuchaguliwa kuwa munge wa jimb hilo ataanza na michezo mitano ambayo ni soka, mpira wa kikapu,netiboli, wavu na...
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Wandili wa SEMA ajitosa kuwania ubunge jimbo la Singida mjini kwa tiketi ya ACT
Mfanyakazi wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani Singida, Jeremiah Paul Wandili, (katikati) akitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Singida mjini kupitia tiketi ya ACT Wazalendo. Kulia ni Mwakilishi wa mwenyekiti wa ACT Wazalendo mkoa wa Singida, Peter Mkenyi na kushoto ni Mratibu wa harakati za Wandili za kugombea jimbo Peter Lisu.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
KIJANA mfanyakazi wa Shirika lisilo la kiserikali la SEMA Singida Mjini, Jeremiah Paul Wandili...
10 years ago
Habarileo17 Jul
Makene agombea ubunge Kinondoni
MWANASHERIA wa siku nyingi na kada wa Chama Cha Mapinduzi, Emmanuel Makene amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kinondoni katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-e__cDQ2OYMs/VadpA1cl39I/AAAAAAAHqCo/JW6LKMfwuIk/s72-c/unnamed%2B%252829%2529.jpg)
IDD AZAN na Jumaa Mhina 'Pijei' wachukua fomu kuwania ubunge Jimbo la Kinondoni na Kawe
![](http://1.bp.blogspot.com/-e__cDQ2OYMs/VadpA1cl39I/AAAAAAAHqCo/JW6LKMfwuIk/s640/unnamed%2B%252829%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-IHXpBFgfMiQ/VadpBfaUzfI/AAAAAAAHqCw/Tca_fYKf7pQ/s640/unnamed%2B%252830%2529.jpg)