Mtangazaji maarufu nchini Abdallah Idrissa Majura ajitosa kuwania ubunge jimbo la kawe

Mwandishi wa habari na mtangazaji maarufu nchini Abdallah Idrissa Majura (pichani) jana ameahidi kufanya mapinduzi ya michezo katika jimbo la kawe ambao utakuwa ni mfano kwa maeneo mengine na taifa kwa ujumla.Akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kurejesha fomu za kuomba kugombea ubunge jimbo la kawe kupitia chama cha mapinduzi, amesema endapo atapendekezwa na ccm kisha kuchaguliwa kuwa munge wa jimb hilo ataanza na michezo mitano ambayo ni soka, mpira wa kikapu,netiboli, wavu na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo19 Nov
Tunamkumbuka Msomi Marehemu Idrissa Abdallah Majura
10 years ago
GPL
TUNAMKUMBUKA MSOMI MAREHEMU IDRISSA ABDALLAH MAJURA
10 years ago
VijimamboMAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI
Makene...
10 years ago
MichuziWAKILI EMMANUEL TAMILA MAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI
Makene...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Mdau Abdulaziz Ahmed ajitosa kuwania Ubunge Jimbo la Lindi Mjini
.jpg)
Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu,Mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel ten,Abdulaziz Ahmed leo Ametangaza nia yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Lindi mjini katika uchaguzi mkuu ujao kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,Abdulaziz ambae pia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoani Lindi alisema kuwa amefikia uamuzi huo baada ya kujitathimini na kugundua...
10 years ago
Dewji Blog16 Jul
Wakili Elias Nawera achukua fomu za kuwania Ubunge jimbo la Kawe Jijini Dar
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Wandili wa SEMA ajitosa kuwania ubunge jimbo la Singida mjini kwa tiketi ya ACT
Mfanyakazi wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani Singida, Jeremiah Paul Wandili, (katikati) akitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Singida mjini kupitia tiketi ya ACT Wazalendo. Kulia ni Mwakilishi wa mwenyekiti wa ACT Wazalendo mkoa wa Singida, Peter Mkenyi na kushoto ni Mratibu wa harakati za Wandili za kugombea jimbo Peter Lisu.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
KIJANA mfanyakazi wa Shirika lisilo la kiserikali la SEMA Singida Mjini, Jeremiah Paul Wandili...
10 years ago
VijimamboWAKILI ELIAS NAWERA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
VijimamboJUMAA MHINA 'PIJEI' ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE, ATAJA VIPAUMBELE VYAKE