Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUNAMKUMBUKA MSOMI MAREHEMU IDRISSA ABDALLAH MAJURA‏

SIKU ya leo yaani tarehe 19.11 ni siku maalumu na ya kumbukumbu ulimwenguni kote kwa wapenda amani na maendeleo ya jamii, wapigania amani na haki za binadamu. Ni siku ambayo alizaliwa mwanazuoni Idrissa Abdallah Majura, tarehe 19.11.1938 katika kijiji cha Gera, Mkoani Kagera nchini Tanzania. Ndugu Majura alikuwa miongoni mwa wanafunzi wachache toka Tanganyika wakati huo waliobahatika kupata scholarship ya kwenda masomoni huko...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Tunamkumbuka Msomi Marehemu Idrissa Abdallah Majura

Siku ya leo yaani tarehe 19.11. ni siku maalumu na ya kumbukumbu ulimwenguni kote kwa wapenda amani na maendeleo ya jamii, wapigania amani na haki za binadamu. Ni siku ambayo alizaliwa mwanazuoni Idrissa Abdallah Majura, tarehe 19.11.1938 katika kijiji cha Gera, Mkoani Kagera nchini Tanzania. Ndugu Majura alikuwa miongoni mwa wanafunzi wachache toka Tanganyika wakati huo waliobahatika kupata scholarship ya kwenda masomoni huko Zanzibar. Baada ya kufuzu masomo yake alitunukiwa shahada ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mtangazaji maarufu nchini Abdallah Idrissa Majura ajitosa kuwania ubunge jimbo la kawe


Mwandishi wa habari na mtangazaji maarufu nchini Abdallah Idrissa Majura (pichani) jana ameahidi kufanya mapinduzi ya michezo katika jimbo la kawe ambao utakuwa ni mfano kwa maeneo mengine na taifa kwa ujumla.Akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kurejesha fomu za kuomba kugombea ubunge jimbo la kawe kupitia chama cha mapinduzi, amesema endapo atapendekezwa na ccm kisha kuchaguliwa kuwa munge wa jimb hilo ataanza na michezo mitano ambayo ni soka, mpira wa kikapu,netiboli, wavu na...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA MAZIKO YA MAREHEMU SPIKA MSTAAFU WA BARAZA LA WAWAKILISHI MAREHEMU ALI KHAMIS ABDALLAH

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika kumswalia Marehemu Ali Khamis Abdallah, Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,  katika Masjid Makhfoudh ulioko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar jana Makamanda wa jeshi la Polisi Zanzibar wakilibeba jeneza la Marehemu Ali Khamis  Abdalla Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar aliyezikwa Fuoni jana,maziko yake yaliyoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

9 years ago

Michuzi

RATIBA YA MSIBA WA MAREHEMU MHE. DKT ABDALLAH OMARY KIGODA

RATIBA YA MSIBA WA MAREHEMU MHE. DKT ABDALLAH OMARY KIGODA (MB) WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA TAREHE 13 - 15 OKTOBA, 2015.
JUMATANO TAREHE 14 OKTOBA, 2015

NYUMBANI KWA MAREHEMU – UPANGA


Muda

Tukio

Mhusika

Saa 1.00 – 2.00Asubuhi

Chai

Wote

Mshereheshaji

Saa 6.00 – 7.00 Mchana

Chakula cha Mchana

Wanafamilia na Waombolezaji

Saa 8.30 – 9.00 Mchana

Viongozi na Waombolezaji kuwasili JNIA Termibal I


Viongozi/Waombolezaji

Saa 9.00– 9.30Asubuhi

Mwili ...

 

9 years ago

Vijimambo

PROFESA MARK MWANDOSYA ATOA YA MOYONI KUHUSU MAREHEMU DR. ABDALLAH OMARI KIGODA

Na Profesa Mark MwandosyaImenichukua muda wa zaidi ya saa ishirini kuandika machache kuhusu Dr. Abdallah Omari Kigoda, aliyetutoka akiwa Hospitali ya Apollo, New Delhi, India baada ya kuugua kwa muda mfupi.  Katika kipindi hicho nimekuwa nikitafakari maneno gani yanaweza kumwelezea Dr. Abdallah Omari Kigoda, maneno ambayo yanaweza kumtendea haki, kuonyesha masikitiko yangu na familia yangu, na kutoa pole kwa familia yake, mkewe, watoto na ukoo wote wa Kigoda, wakiwa Handeni na popote...

 

11 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA MAREHEMU JOACHIM BWANAMPINI LEBABU KIRAMBATA‏

KUZALIWA 02/02/1945 KUFA 04/05/2013 TAREHE 04/05/2014 UMETIMIA MWAKA MMOJA KAMILI TANGU MWENYEZI MUNGU AKUITE. ILIKUWA SIKU YA MAJONZI MAKUU KATIKA FAMILIA YETU. KIFO KILITOKEA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI DSM. UNAKUMBUKWA SANA NA FAMILIA YAKO, MKE WAKO BI MARY KIRAMBATA, WATOTO WAKO LILIAN, JOSEPH, FILBERT, FLORENSO, FLORA, JANUARY, OCTAVIAN WAKWE ZAKO ENGELBERT, VIRGINIA, & DEVOTHA WAJUKUU ZAKO CELINE, MARYANNE, MELISA,...

 

11 years ago

GPL

KISOMO CHA MAREHEMU ZAINAB BUZOHERA DMV‏

Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly akiongea kwenye kisomo cha mpendwa wetu Zainab Buzohera kulichofanyika jana Jumanne Jan 7, 2013 katika ukumbi wa mirage uliopo Langeley Park, Maryland na kuhudhuriwa na Watanzania wa DMV na majimbo mengine kama New York, New Jersey, Massachusetts, Georgia, Ohio, Pennsylvania na kwingineko. Mwili utaondoka leo Jumatano Jan 8, 2014 na kufika Ijumaa Dar ses Salaam, Tanzania siku ya...

 

10 years ago

GPL

MAREHEMU ELIAS ANTHONY MAPUNDA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI‏

Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda wakiwa wamesimama mbele ya jeneza la marehemu Anthony tayari kwa kiungia katika kanisa katoliki la Mtakatifu Matha Mikocheni kwa ajili ya misa maalum ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana Fullshangwe inampa pole Ndugu Nesto Mapunda pamoja na ndugu na jamaa kwa kuondokewa na ndugu yao mpendwa marehemu Elias...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani