TASWIRA ZA MAZIKO YA MAREHEMU SPIKA MSTAAFU WA BARAZA LA WAWAKILISHI MAREHEMU ALI KHAMIS ABDALLAH
![](http://2.bp.blogspot.com/-FsbI7diFASg/VA3Z4xuKHCI/AAAAAAAGiF4/y9o7GiRW89Y/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika kumswalia Marehemu Ali Khamis Abdallah, Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, katika Masjid Makhfoudh ulioko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar jana
Makamanda wa jeshi la Polisi Zanzibar wakilibeba jeneza la Marehemu Ali Khamis Abdalla Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar aliyezikwa Fuoni jana,maziko yake yaliyoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo21 Feb
MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADH UKIINGIZWA BARAZA LA WAWAKILISHI KWA KUAGWA
mwili wa marehemu Salimin Awadh ukiwa ndani ya jeneza, ukipelekwa mbele ya wajumbe wa baraza la wawakilishi na viongozi wa serikali kwa ajili ya kuagwa
![IMG_7793](http://mzalendo.net/wp-content/uploads/2015/02/IMG_7793-564x272.jpg)
ukiwa tayari umewekwa katika meza kuu mbele ya ukumbi wa baraza, jeneza likiwa na bendera ya baraza la wawakilishi
viongozi wa serikali na wajumbe wa baraza la wawakilishi wakiwa wamesimama wakitoa heshima zao za mwisho marehemu Salmin Awadh
Sala ya kusalia maiti ikiendelea, pamoja dua na mawaidha yaliokuwa yakisikilizwa kwa makini na viongozi...
10 years ago
Dewji Blog20 Feb
Viongozi wauwaga mwili wa marehemu Salmin Awadh Salmin Baraza la Wawakilishi
Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Lowassa akiingia katika ukumbi wa baraza la wawakilishi kuuwaga mwili wa aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Marehemu Salmin Awadh Salmin aliefariki ghafla jana. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Makamu wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kuuwaga mwili wa Marehemu Salimn Awadh.
Mwili wa Marehemu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-qEoiD0sC0WQ/XkbN7OFErTI/AAAAAAALdbM/H8H700epV3EqlV3EoNbPG0YC4PwT6xofwCLcBGAsYHQ/s72-c/8b7d75d3-8935-4a7a-9d21-6f678c552e28.jpg)
RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AHUDHURIA MAZIKO YA MAREHEMU ALI SALIM HAFIDH NA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA IKULU ZANZIBAR.
![](https://1.bp.blogspot.com/-qEoiD0sC0WQ/XkbN7OFErTI/AAAAAAALdbM/H8H700epV3EqlV3EoNbPG0YC4PwT6xofwCLcBGAsYHQ/s640/8b7d75d3-8935-4a7a-9d21-6f678c552e28.jpg)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ali Salim Hafidh, aliyekuwa Msaidi wa Rais Hutuba , maziko hayo yamefanyika katika makaburi ya family Fuoni Mambosasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/f4aaa3cf-e447-42d0-abfa-d6e575f60f00.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RdXm9csnEOg/VT4XdqTQI-I/AAAAAAAHTec/g5ERYI6UPmM/s72-c/Ali-Hassan-Mwinyi.jpg)
Salam za Rambirambi kutoka kwa Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa Familia ya Marehemu Brigedia Hashim Mbita
![](http://3.bp.blogspot.com/-RdXm9csnEOg/VT4XdqTQI-I/AAAAAAAHTec/g5ERYI6UPmM/s1600/Ali-Hassan-Mwinyi.jpg)
10 years ago
MichuziVIONGOZI MBALI MBALI WAUWAGA MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADH SALMIN BARAZA LA WAWAKILISHI,ZANZIBAR LEO
11 years ago
Michuzi14 May
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamad Akutana na Waandishi wa Habari
![](https://3.bp.blogspot.com/-FxanAV72SRc/U3Iibyd1oeI/AAAAAAACxTs/CrkZs-dweDU/s1600/0006.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-U_-PqvFm1ig/U3IicKoYrbI/AAAAAAACxT0/TZyUAAqoZTs/s1600/0010.jpg)
10 years ago
Vijimambo19 Nov
Tunamkumbuka Msomi Marehemu Idrissa Abdallah Majura
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGi6BABg5XWEF--KCpyOyGJv3Yyqog33P4GGNNRX9tYG1YIzJRcvE8IXC9EfKMfD1haHXGqqvciheaz4VJ2GsJ6a/majura.jpg)
TUNAMKUMBUKA MSOMI MAREHEMU IDRISSA ABDALLAH MAJURA
9 years ago
VijimamboMAREHEMU MKUU WA WILAYA YA MICHEWENI MHE. JABU KHAMIS MBWANA AZIKWA PEMBA